Leo tarehe 02 Desemba 2021ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi nchini Ndg. Daniel Chongolo.
Chama Cha Mapinduzi katika akaunti za mitandao ya kijamii kimeandika ujumbe ufutao;
"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakutakia heri katika kuadhimisha kumbukumbu ya siku...
KATIBU MKUU CCM TAIFA NDG DANIEL CHONGOLO AFUNGA KAMBI LA UVCCM WILAYA MULEBA.
Kagoma, Muleba.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Daniel Chongolo Katika ziara yake pamoja na Sekretrieti ya CCM Taifa Amefunga kambi la UVCCM lilioandaliwa na Uongozi wa UVCCM Wilaya Muleba Chini ya Mwenyekiti wake...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Halmashauri ya Chato kukamilisha Ujenzi wa stendi katika Halmashuri hiyo ili kuwezesha wananchi kuingia na kuanza Biashara.
Katibu Mkuu Ndg. Chongolo ametoa agizo hilo leo tarehe 16 Novemba, 2021 wakati akiongea na...
KATIBU MKUU WA CCM NDG. CHONGOLO AITAKA UVCCM KUACHA KUWA WAPAMBE BINAFSI WA VIONGOZI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewataka viongozi wa mikoa na wilaya kutumia umoja wa vijana wa chama hicho kujenga miundombinu pamoja na miradi ya maendeleo wanayoanzisha...
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na Serikali,
Katika ziara yake ya siku 12 katika mikoa sita Mhe Chongole amewaasa viongozi na wanachama kuwa...
Hawa ni makatibu wakubwa wa vyama viwili vikubwa vya kisiasa nchini,Hawa ni wabeba maono na wasimamizi wakuu wa mwendo wote wa kisiasa ndani ya vyama vyao.
Tangu wateuliwa ni kama wamepigwa ganzi,speed yao ni mwendo wa kobe.
Il nimewaza tu,kweli hizi nafasi wamepewa KWA uwezo wa kuzitumikia au...
DANIEL CHONGOLO, KATIBU MKUU WA CCM
CHONGOLO AKEMEA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOCHELEWESHA KUIDHINISHA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kukagua miradi na...
Akihojiwa na mwandishi wa Dar mpya katika mjadala uliomhusisha Sosop na Heche juu ya kauli ya katibu mkuu CCM kuhusu hitaji la KATIBA MPYA kwamba.
1. Wanaodai Katiba mpya ni wanasiasa wanaotaka madaraka na sio wananchi.
Heche; Amemuuliza Chongolo ni muimbaji wa kwaya?au alitoa kauli hiyo kama...
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani.
Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akiambatana na wajumbe wengine wa Sekretarieti ya CCM Taifa ameendelea na ziara katika Mkoa wa Mbeya akitokea Songwe.
Akiwa katika kikao cha ndani jijini Mbeya Katibu Mkuu amesisitiza wanaCCM kuhudhuria vikao vya mashina ikiwa ndio...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba na kumuahidi kukitumikia, kukisimamia na kukiimarisha zaidi Chama Cha Mapinduzi.
Chongolo amemhakikishia Mzee Msekwa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma.
=====
KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU
CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
Wanabodi, hili andiko ni kutoka kwa Mwandishi Nguli Bollen Ngetti FaceBook page yake. Naisukuma kwenu.
_____________________
Daniel Chongolo, anza na haya kuepuka usaliti wa Bashiru
Na Bollen Ngetti
KWAMBA Katibu Mkuu mpya wa CCM Ndugu Daniel Chongolo ni mtu sahihi kwa nafasi hiyo, halina...
Ndugu Chongolo Katibu mkuu wa CCM, ninakueleza haya kama mwanaCCM mwenzangu lakini zaidi kama mwana usharika mwenzangu, binadamu tunarithi baraka na kamwe haturithi dhambi na laana.
Kuna hao wabunge 19 yaani Halima James Mdee na wenzake, tafadhali usijishughulishe nao kwa sababu hiyo dhambi...
Udugu hazina kubwa.
Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini.
Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.