chongolo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mnada wa Mhunze

    Chongolo ana muiga Magufuli kwa mambo mengi

    Ukimsikiliza anavyoongea, kutenda na kuamua Katibu Chongolo ni aina ya Magufuli ki utendaji kwa maana ya hapo na papo kwa kwa NIA NJEMA YA JAMBO LIENDE. mfano ni ziara yake kule Iringa hakika unaweza kutamani uendelee kuwashuhudia viongozi wachache majasiri wa aina yake waliobaki hapa nchini...
  2. J

    Iringa: Ziara ya Chongolo yampa nyumba Balozi wa Nyumba Kumi

    ZIARA YA CHONGOLO YAMPA NYUMBA BALOZI WA NYUMBA 10 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba ya makazi ya Mwenyekiti wa shina (Balozi) namba saba katika Kijiji cha Ilambilole Kata ya Kising'a iliyopo Jimbo la Isimani katika...
  3. MNIACHEEE

    Chongolo, tunaomba Katibu wa CCM kata ya Wazo achunguzwe kwa kusajili eneo la chama kwa jina lake

    - AMESAJILI ENEO LA CHAMA KWA JINA LAKE Mheshimiwa Katibu Mkuu wetu mpendwa Daniel Chongolo, sisi wanachama cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Wazo tunaomba uunde timu maalumu ya kuchunguza ubadhilifu mkubwa au matumizi mabaya ya madaraka ‘Ufisadi’ unaofanywa na Katibu wetu wa CCM Kata ya...
  4. B

    Chongolo awasili Geita kuzindua vitega uchumi vya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo leo tarehe 15 Mei, 2023 amewasili wilayani Bukombe mkoa wa Geita kwa ziara ya siku moja na kuzindua majengo mbalimbali ya Chama Cha Mapinduzi ikiwemo ukumbi wa mikutano, nyumba ya kupumzika wageni (Rest House) na mgahawa (Restaurant)...
  5. B

    Mjema: Ziara ya Chongolo na Ujumbe wake nchini China italeta Wawekezaji na faida nyingi sana kwa Taifa

    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wamefanya ziara ya takribani siku 10 nchini China iliyoanza Aprili 17, 2023 na kutamatika Jana Aprili 28, 2023. Chongolo aliambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema, Katibu wa Oganaizesheni...
  6. S

    Kauli ya Chongolo ni ufedhuli kwa wasomi wa vyuo vikuu. Ipingwe!

    Chongolo amewataka wasomi wa vyuo vikuu kwenda veta ili wakapate uwezo wa kujiajiri. Kauli hii inatoa tafsiri hasi nyingi sana dhidi ya wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu vyenyewe. Mosi, inatoa tafsiri kwamba elimu ya vyuo vikuu ni dhaifu ukilinganisha na ile ya veta. Kama hivi ndivyo. Je...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mtaturu - Ikungi yatekeleza agizo la Katibu mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwa 100%

    Maji ni Uhai hatimaye Wananchi wa kitongoji cha Songoloji wapata huduma ya Maji baada ya maagizo ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipofanya ziara yake tarehe Februari 28, 2023 na wananchi wa Shina namba 13 walimwelezea kero ya ukosefu wa huduma ya maji ambapo...
  8. JanguKamaJangu

    Chongolo: Kwa Afrika Mashariki, nchi ambayo haina mzigo wa mikopo kuliko nyingine zote ni Tanzania

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Tanzania haina mzigo wa mikopo ikilinganishwa na nchi nyingine za Afrika Mashariki na kusema hakuna nchi duniani isiyo na mikopo. Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amesema baadhi ya watu wanapiga kelele kuwa Tanzania inakopa na akasema katika nchi za Jumuiya...
  9. commonmwananchi

    Lema, hii siyo kuomba Asali CCM kiaina?

    Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni rasmi sasa umemuomba katibu mkuu wa CCM Ndugu na komredi Chongolo akukumbuke pindi utakapofika nchini...
  10. M

    Chongolo tambua kubeti kupo halali kisheria

    Kuwa mkweli ndugu katibu. Betting ipo halali kisheria. CcM ilipitisha sheria inayoruhusu michezo ya kamari ya kubahatisha. CcM haina sera nzuri za kulinda na kutengeneza ajira mahususi kwa vijana. Hata kama wakimaliza Veta. Sasa unategemea nini? Biashara zinakufa tu. Acha vijana wabeti
  11. Ziroseventytwo

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yupo mjini Ifakara. Nashangaa kuona ulinzi ni mkali

    Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama. Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali. Tufike mahali viongozi wa...
  12. B

    DOKEZO Mgogoro wa Ardhi, Rushwa yawapofusha Viongozi Wilaya ya Kilombero

    Licha ya yote hayo leo tena Kambenga aendelea kunyang'anya mbegu za wakulima hadi ikatokea vurugu kubwa kijijini Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wa wilaya ya Kilombero wamepofushwa macho na familia ya Kambenga katika mgogoro wa ardhi Namawala. Licha ya mkuu wa mkoa aliyepita Martin...
  13. saidoo25

    Chongolo umewasahau waliokufisha ulipo unaanza kuwadhalilisha

    Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo amekunuliwa akionyesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi. Kwa ambao hamfahamu masuala ya CCM Bashe ndani ya Chama ni Kiongozi mkubwa kuliko Chongolo na...
  14. chiembe

    Chongolo, Anza mkakati wa scouting, andaa mkakati maalum wa Siri wa kutafuta vijana wenye vipaji vya Siasa,wapate mafunzo maalum ya chama

    Chama kina vijana wengi tu ila hawajapata mtu wa kuwaona, kuanzia vijijini, mijini, vyuoni, Ofisi za umma. Nashauri Chongolo awe na mkakati maalum wa kuwa na mijadala na vijana, yeye au maafisa wake, Kila Mkoa akienda atenge siku moja ya kuongea na vijana wa chama. Huko ndio ataibua vipaji...
  15. saidoo25

    Naomba Clip ya Kinana, Chongolo au Shaka inayompongeza SSH kuruhusu mikutano ya hadhara

    Sikuwa kwenye eneo la mtandao ila hadi sasa sijaona Clip ya Mzee Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM wala Shaka Hamdu Shaka Mwenezi wa CCM wakimpongeza Rais Samia kwa uamuzi wa kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara. Kama ndugu zangu kuna yeyote mwenye nayo...
  16. Ngungenge

    Calculation haziko sawa CCM maybe Chongolo na Idara ya Organization mmeshindwa

    Team Samia Suluhu Hassan was not observed during general meeting kosa ni kuwa Chongolo umefeli kutengeneza team Mama kwenye huu uchaguzi sijui ulikua unafanya nini maybe you don't know your power au you are buzzy for nothing angalia zimebaki team lakezone inayoungwa mkono na kusini na team Msoga...
  17. Suzy Elias

    Chongolo: CCM ni kubwa kuliko mtu mmoja

    CCM ni kubwa kuliko mtu. Wapo watu wanatengeza safu za watu dhaifu ili waje kuwasaidia huko mbele ya safari. CCM si ya watu dhaifu bali chagueni watu wenye weredi na wachapakazi ili wakijenge chama chetu. Chongolo.
  18. Suzy Elias

    Daniel Chongolo ni mtu muungwana na asiye mjivuni

    Ndiye Katibu Mkuu wa CCM asiyejivuna na ni mtu muungwana sana! Daniel ni moja ya vijana waliokuzwa na kulelewa na CCM na kuiva hasa. Ucha Mungu wake pia ni ushahidi tosha Daniel anaiishi misingi ya kiimani. Namna anavyozungumza na kujali hakika unaweza kuona wazi huyo bwana si mtu aliye na...
  19. A

    Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala, M/kiti wa Wazazi Wilaya na Mbunge mmeharibu uchaguzi Ukonga na kusababisha fujo zinazoendelea

    Mpaka usiku huu mkubwa bado watu wanatupigia makelele kisa kudhulumiwa matokeo au kukataa kutolewa matokeo kwa uongo wa simu /maelekezo kutoka juu. Maelekezo yenyewe yana kanganya hivyo huenda hayajatoka juu. Kata ya Ukonga wamelazimisha kupita Batenga ilhali haishi ukonga. Mgombea mwenzake wa...
  20. CM 1774858

    DG Chongolo: Wasaliti wote watoswe CCM

    Chongolo: Wasaliti wafukuzwe CCM. Imeelezwa kuwa usaliti ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ndiyo chanzo kikubwa cha matokeo mabaya kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo alipokuwa akizungumza na wanachama wa chama hicho...
Back
Top Bottom