chongolo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngaliwe

    Machifu wa Ufipa waomba Makumbusho ya Wafipa, wakimsimika Uchifu Chongolo

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Godfrey Chongolo amesimikwa Uchifu na Wazee wa Kabila la Wafipa mkoani Rukwa na kukabidhiwa mkuki na upinde na kuvalishwa mgolole, huku wakiomba wajengewe Makumbusho ya Kabila la Wafipa. Tukio hilo liliongozwa na Chifu wa Kabila la Wafipa, Chifu...
  2. ChoiceVariable

    Katavi: Chongolo, amebaini kusimama Kwa mradi wa skimu ya umwagiliziaji kutokana na uchakavu wa miundombinu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ,(CCM), Daniel Chongolo, amebaini kusimama Kwa mradi wa skimu ya umwagiliziaji kutokana na uchakavu wa miundombinu uliokithiri, mradi huo upo katika Kata ya Ugalla Kijiji cha Katambike, mkoani Katavi. Chongolo amesema mradi huo haufanyi kazi tangu mwaka 2007...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Ataja Muarobaini wa Kumtua Mama Ndoo Kichwani Katika Ziara ya Chongolo Mkoa wa Katavi

    MBUNGE MARTHA MARIKI ATAJA MUAROBAINI WA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI MKOA WA KATAVI KATIKA ZIARA YA CHONGOLO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameshiriki katika ziara ya Katibu Mkuu CCM, Ndugu Daniel Chongolo katika Mkoa wa Katavi iliyolenga kukagua utekelezaji wa...
  4. S

    Kijana Mzalendo amtuhumu Chongolo kuwa chawa wa DP World

    Kijana Mzalendo Nkindikwa David amemvaa Katibu Mkuu wa CCM, Chongolo kushabikia Mkataba wa Bandari licha ya kupingwa kila kona ya nchi. Niwaombe watanzania tuendelee kushikamana kutetea rasilimali zetu na kamwe tusikubali kugawanyishwa na mtu au kikundi cha watu kwa misingi ya dini, itikadi za...
  5. Ngaliwe

    Chongolo: Watanzania wako tayari uwekezaji wenye tija na mabadiliko bandarini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesema Watanzania kwa ujumla wao wameonesha utayari na uhitaji mkubwa wa kuona uwekezaji na uendeshaji utakaoleta maboresho, ufanisi na kuongeza mapato katika Bandari ya Dar Es Salaam, hivyo ameielekeza Serikali ya Chama Cha...
  6. Jidu La Mabambasi

    CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
  7. B

    Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Chongolo anaunguruma Dar es Salaam kujibu hoja za Bandari

    29 Julai 2023 Dar es Salaam, Tanzania MKUTANO WA KATIBU MKUU WA CCM, KUUTETEA KWA NGUVU MKATABA WA BANDARI CCM yaanda mkutano uliowakusanya wana CCM kutoka mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam unaoendelea katika viwanja vya Kawe mjini Dar es Salaam KISHINDO CCM KANDA YA MASHARIKI Kama...
  8. saidoo25

    Kinana atofautiana na Chongolo mkataba wa bandari

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana ametofautiana msimamo na Katibu Mkuu wa CCM kuhusu mkataba wa bandari. Kinana anasema wamejitokeza watu wameanza kuhoji, wako wanaohoji kwa nia njema ya kujenga ya uzalendo, hatuwezi kusema kila anayehoji anania mbaya, wako wanaotetea mkataba na wametoa...
  9. S

    Chongolo simamisha ziara yako fanya tathmini msimdanganye Rais

    Katibu Mkuu Chongolo ni vizuri ukasimamisha ziara yako ukapata muda wa kufanya tathmini ili kujua kama hiyo mikutano yako iko connected na wananchi kwa kiasi gani. Msitafute picha za mahudhurio feki na kumtumia DP World na Mh. Rais Samia mkimdanganya kwamba wana CCM wamekubali mkataba huo...
  10. S

    Mbona hatukumuona Chongolo akifanya ziara ya kulaani ufisadi wa CAG? Kwanini anatetea Mkataba tu wa DP World?

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo anasema ni wajinga wanaokosoa mkataba wa IGA kauli hii ni kinyume cha Katiba na Sheria za nchi na Miiko ya Viongozi wa CCM kuhusu kuheshimu utu na uhuru wa kutoa maoni. Kauli yake nyingine ni ile aliyoitoa kwenye Mkutano wa hadhara wa mikoa ya nyanda za juu...
  11. saidoo25

    Mikutano ya Chongolo kutetea mkataba wa bandari kiini macho

    Mikutano ya Katibu Mkuu wa Ccm anayoifanya kikanda ni kiini macho kumdanganya Rais aone kwamba mikutano ya CCM inapata watu wengi na kwamba wana ccm wote wanaunga mkono mkataba wa bandari jambo ambalo ni kiini macho. Mikutano ya Chongolo mfano uliofanyika Singida unachukua viongozi wa CCM ngazi...
  12. Mr Sir1

    Chongolo atuma message binafsi kushukuru kuungwa mkono kwa Bandari

    Nahisi walikosea namba, message zimekuja kwangu. Hao walioshukuriwa hakuna hata mmoja ninaemjua. Swali linalofikirisha, ni kwanini atoe shukrani kwa jambo ambalo lilipaswa kuwa halali?? Kushukuru ni kama vile kila mtetezi anafanya msaada.
  13. S

    Tulia, Prof. Kitila, Chongolo, Prof. Kabudi jibuni hoja za Kijana Mzalendo mkataba wa Bandari

    Kijana Mzalendo, David Levi Nkindikwa amekuja na uchambuzi wa hoja lukuki zikihusisha matashi ya Spika wa Bunge Tulia, Prof Mkumbo, Katibu Mkuu Chongolo kuhusu mkataba wa Bandari uchambuzi ambao umesambaa katika mitandao mbalimbali ikiwemo JF. Lakini amehoji kuhusu ukimya wa Baba wa Mikataba...
  14. J

    Chongolo: Tunapigana vita vya kiuchumi, wana pa kukimbilia

    Tunapigana vita vya kiuchumi…wana pakukimbilia: Chongolo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo amesema Tanzania ikiwa sehemu ya dunia, iko katika mapambano ya vita vya kiuchumi asubuhi, mchana na jioni, akiwataka Watanzania kuwa makini na watu wachache, katikati ya...
  15. Li ngunda ngali

    Chongolo: Mradi wa bandari ni wa CCM sio mtu mmoja

    SG wa CCM ndugu Chongolo amesema mradi wa bandari ni wa CCM na waarabu na si vinginevyo. Na kama kuna yeyote anaye fikiri ataizuia CCM na waarabu kutekeleza huo mradi, anajidanganya. NB: CCM ndiyo wenye huo mradi na waarabu na siyo Watanzania.
  16. Mwl.RCT

    Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

    Video | Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote
  17. benzemah

    Chongolo Aonya "Uchawa" na Maslahi Binafsi UVCCM

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ameuonya Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) dhidi ya kukubali kuwa sehemu ya kubeba maslahi binafsi ya wat wachache. Chongolo alitoa onyo hilo lipohutubia wajumbe wa Baraza KUu la umoja huo, akisema CCM inategemea vijana hao kutumia...
  18. Li ngunda ngali

    Chongolo: Huwezi kuja na ndoto zako na ukawa kiongozi CCM

    "....CCM inawategemea ninyi vijana kukisemea na kuwalinda viongozi wake pasipo kubagua . Mkisimama kwenye msingi huo daima mtaendelea kufaidi fursa zaidi na zaidi." "....kaweni viongozi wa watu na siyo kuwa viongozi wa kiongozi. Wengi wenu mnatumika na hao wanaokuja CCM na ndoto zao za kuwa...
  19. Li ngunda ngali

    Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo asimikwa kuwa Chifu wa Wagogo

    Komredi Daniel Chongolo rasmi amesimikwa awe/kuwa Chifu wa kabila la Wagogo/Wanyambwa huko mkoani Dodoma. Ikumbukwe, bwana Chongolo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa bado anaendelea na ziara yake mkoani humo. Picha kwa hisani ya gazeti la Nipashe. ==== Katibu Mkuu wa CCM Daniel...
  20. Li ngunda ngali

    Chongolo: Wazazi wafundisheni watoto tabia njema

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ndugu Daniel Chongolo amewakumbusha wazazi kuwalea watoto wao kwa misingi ya uadilifu na tabia njema. Hayo ameyasema mbele ya hadhara aliposimama barabara huko Wilayani Kondoa anapoendelea na ziara yake Mkoani Dodoma. Kidumu Chama cha Mapinduzi!
Back
Top Bottom