christmas

  1. Kasheshe la Christmas, hapa kijijini kwetu wageni wameamka bila makeup ikabidi watambulishwe upya

    Kasheshe la Christmas, hapa kijijini kwetu wageni wameamka bila makeup ikabidi watambulishwe upya Walipokuja walitambulishwa na sura zao kila mmoja akazishika ila ilipofika asubuhi hali ikawa tofauti ikabidi kiongozi wa familia aitishe kikao cha dharura kwaajili ya kutambulisha wageni upya
  2. Serikali kuombwa christmas iwe inafanyika kitaifa Moshi-Kilimanjaro.

    Sikukuu ya Christmas ambayo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo [Mungu] ambaye alizaliwa Israel katika mki wa Bethlehemu , miaka 2024 iliyopita. Wachagga, katika kikao chao cha Mwisho wa mwaka 2024 wameomba vijana wao Bungeni akina Mkenda, Tarimo, Mollel na Ndakidemi waiombe serikali...
  3. Wasambazaji wakubwa wa bidhaa za Christmas duniani.

    Wasambazaji/wauzaji wakubwa wa bidhaa za Christmas duniani. Population ya ukristo nchini China -According to a 2023 Pew Research Center analysis, about 2% of Chinese adults identify as Christian, which is roughly 28 million people. China ndio taifa kubwa la ukana mungu duniani. Wachina kwao...
  4. Kwanini tunasherehekea Christmas? Sababu 10 za kiroho na kiafya

    1. Kuzaliwa kwa Yesu ni habari njema ya furaha kuu(Luka 2:10-11). Malaika walipoleta habari ya kuzaliwa kwa Yesu walisema hiyo ni habari ya FURAHA KUU. Na kwamba furaha hii kuu itakuwa kwa watu wote. Kusherehekea Christmas ni udhihirisho kuwa tumeipata furaha kuu katika mioyo yetu. 2. Kutimizwa...
  5. Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

    Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari.. Location Gongo la mboto... Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu.. Nakuja na vitendea kazi vyangu Kama Kijiko Ndizi Kachumbari Maji na soda... Ahsante sana Update:: 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Sema mood jau sana mi title sijaweka...
  6. Happy Christmas wadau wa kutoa lock

    Maini, mabandama figo na ndugu zao wote leo wajiandae vema kuupokea huu mzigo hevi😂
  7. Christmas yote hii halafu mashabiki wa Yanga wamejaa malalamiko

    Inafikirisha sana, dunia nzima ipo katika shamrashamra za birthday ya Yesu Kristo, hawa ndugu zetu vyura wanaharibu mood yetu kwa kujaa malalamiko yasiyo na kichwa wala mguu. Ukiwauliza wanalalamika nini hawana jibu la kueleweka. Mara refa, mara analalamikiwa mchezaji wa JKT, wanamlaumu hadi...
  8. SPECIAL THREAD: Heri Ya Sikukuu ya Christmas 2024 Na Mwaka Mpya 2025.

    Welcome On board... Nawatakia wadau wote wa JamiiForum, wakiwemo members na non members na Uongozi mzima Wa JF, ukiongozwa na Director Maxence Melo, heri ya sikukuu ya Christmas 2024 na mwaka mpya 2025. Bwana Yesu amezaliwa kwa ajili yetu, basi tuende tukahubiri upendo na amani, kwetu na kwa...
  9. Sema mwenyewe Mjini hapa una Christmas ngapi?

    Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24 Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
  10. Zanzibar kwenye sikukuu ya Idd mwezi Aprili walilipwa mshahara tar 16. Huku Tanganyika Christmas mshahara hakuna

    Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!! Ila ona huku mpaka leo kimya.. Tujikumbushe hapa Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
  11. Kwa wale mnaokuja kula Christmas vijijini, zingatieni yafuatayo

    1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka. 3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
  12. U

    Nyimbo maalufu za msimu wa sikukuu ya Christmas, tupia wimbo mmoja na uweke na maneno ya husika na jina la mtunzi

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni Jim reeves: •Seno Santa Claus •Jingle bells •Silent night •Mary's boy child SILVER BELLS: "City sidewalks, busy sidewalks Dressed in holiday style In the air There's a feeling Of Christmas Children laughing People passing Meeting...
  13. Anayefahamu kuchimbua Agano la kale na Jipya kabla na baada ya Kristo kuzaliwa ilikuaje mpaka tunasherehekea Krisimasi?

    Mimi ni mkristo tangu nimeingia /kuzaliwa nasherehekea kitu nisichojua maana yake zaidi yakufuata mkumbo tu basi naomba anaefahama kuchimbua agano la kale kabla ya kristo kuzaliwa ilikuaje na baada ya kristo kuzaliwa ikawaje mpk tunasherehekea. Hivi miaka yote sikukuu ya kidunia na katika...
  14. Christmas 2024🎄 umejipangaje?

    Kipi umekiandaa kuhusu KRISMASI? NINI Umuhimu wa KRISIMASI MAISHANI MWAKO?
  15. Mind Bending Blowing Movies Special Thread

    Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie. kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films films ni aina ya filamu zenye lengo la...
  16. USHAURI: Nifanye nini ili nipate mpenzi ifikapo siku ya Christmas?

    Mimi ni introvert nisiyejichanganya sana na watu,huwa siendi club wala sehemu zingine za starehe muda wangu mwingi huwa natumia kuongeza knowledge sababu kazi yangu inahitaji creativity ya hali ya juu hivyo hunifanya niwe bize. Sasa ifikapo X Mass nataka nijaribu kuhudhuria kumbi ya starehe na...
  17. Christmas Special

    CHRISTMAS SPECIAL🎁 Date: 25th, DEC 2024 The Horizon Beach 🏖️ Karibu kwenye safari ya kusimumua ya kutembelea fukwe za "The Horizon" ndani ya mji wa "Bagamoyo" ikiambatana na kusherehekea sikukuu ya "Christmas", ikitukutanisha wadau kutoka kona mbalimbali. Ikiambatana na kufanya "Utalii wa...
  18. Je Wajua, Japo Christmas Ina Sheherekewa kwa Sharmashamra Sana, Pasaka Ndio Sikukuu Kuu ya Wakristu Kwasababu ya Fumbo la Paska. Happy Easter!.

    Wanabodi Japo Sikukuu ya Christmas inasherekewa kwa shamra shamra sana, wengi wakidhani ndio sikukuu kubwa ya Wakristo, ukweli ni kuwa Pasaka ndio sikukuu kubwa ya Wakristo kutokana na fumbo la Paska, hakuna mtu yoyote aliyemshuhudia Yesu Kristo akifufuka, na baada ya kufufuka alikaa duniani...
  19. Nikilima miti ya Christmas inaweza kunilipa?

    Kilimo cha miti ya Christmas hapa bongo kinaweza kulipa?
  20. Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

    Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu. Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo zaidi ya 100 katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria Mashambulizi yalifanyika kwenye vijiji 20 vya wakristo usiku wa manane kwa kuzichoma nyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…