christmas

  1. O

    Paschal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga heri ya Christmas na mwaka mpya

    Merry Christmas and happy new year, Hao watu niliowa mention hapo juu Pascal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga nawatakia heri ya fanaka katika sikukuuu hizi za mwisho wa mwaka naomba mungu awaendelee kuwapigania muendelee kupata mafanikio zaidi kwa mwaka ujao. Naomba mungu mwakani bwana pascal...
  2. Kinengunengu

    MERRY CHRISTMAS KWENU, MTOTO AMEZALIWA

  3. TODAYS

    Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

    Jamaa ame_tweet hii picha sasa hizo comments kutoka kwa jamii ya kiislam wamegoma kumuelewa jamaa wakidhani anataka kuokoka!.
  4. Carlos The Jackal

    Mtumie Ujumbe wa Merry Christmas Mkeo/Mpenzi, Screenshot Alichojibu leta hapa

    Jana nilimnunua Gauni nikiwa nataka nimsupriz , Sasa nikafika nikaliweka kabatini bila yeye kujua . Leo nimetoka Mapema sana Alfajiri kufata Kamfugo ndanindani huko , Sasa nikaingia na wazo la kumtumia Meseji ya kumuwish Mama watoto Heri ya Christmas . Najua una Wife unaishi naye Home au...
  5. B

    Ipo siku tutaandaa mechi siku za sikukuu ya Christmas au Idd el Fitr Uwanja wa Taifa

    TUJIULIZE MAMLAKA ZINAZOHUSIKA ZINAFAHAMU UNYETI UNAOENDA NA WATU WENYE IMANI KATIKA DINI Shirikisho la cha Mpira Tanzania TFF kuamua kuendelea na ratiba zake bila kujali imani za wachezaji wake kuadhimisha imani zao katika katika siku muhimu kiimani ni bahati mbaya au ni muelekeo wa kudumaza...
  6. E

    Merry Christmas & happy new year

    Wadau wote wa jukwaa la uchumi, wapambanaji wote, waumini wote wa kesho bora, wafuasi wa mawazo chanya, timu ya JF na wadau wengine , kwa niamba ya film Evigt_water tunawatakia christmas njema na mwaka mpya wenye furaha. Bila kuwasahau wateja waliotusupport kufika tulipo,ASANTENI SANA.
  7. Wilhelm Johnny

    Ndugu zangu wa Dodoma naomba mualiko Christmas hii

    Ndugu zangu kulingana na huu ukata wa maisha nimeshindwa kuambatana na ndugu zangu kuelekea mgombani kula sikukuu naombeni nyinyi mlioko Dodoma mnialike nije kula ubwabwa.
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nani kaenda Christmas Moshi?

  9. MamaSamia2025

    Kumbe wasabato (SDA) ni ruksa kusherehekea Christmas? Soma hapa alichosema mwasisi Mama Ellen G White

    JE! WASABATO HUSHEHEREKEA KRISMAS? RAIS WA SDA DUNIANI, PASTOR TED WILSON ANAJIBU. SWALI: Mchungaji Wilson, najiuliza ikiwa Wasabato husherehekea Krismasi? JIBU: "Kama kanisa, hatuna taarifa rasmi au msimamo kuhusu kusherehekea Krismasi, badala yake tunamwachia muumini mmoja mmoja. Lazima...
  10. TECNO Tanzania

    Kampuni ya Tecno imezindua rasmi zigo la Disemba

    Kampuni ya Simu ya Tecno yazindua rasmi promosheni ya kufunga mwaka kwenye makao makuu yao Jijini Dar es Salaam wakiwa na balozi Kibwana Ally Shomari. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Meneja masoko wa kampuni ya TECNO Bi Salma Shafi amesema katika msimu huu wa Kombe la Dunia na sikikuu za...
  11. B

    Christmas alikuwa mahabusu, Mwaka Mpya mahabusu, Kwaresma mahabusu; ila haachi kutabasamu na kuonesha Imani thabiti kwa Mungu wake

    Tunapoanza Ibada ya Kwaresma tunapaswa kutambua ibada hii inalenga Toba. Tumesimama kizimbani kumfurahisha Mwanadamu tukamsau Mungu; tumetafsiri vibaya neno lake tukaacha kuwaeleza ukweli wanasiasa tukiamini wao Wana nguvu kuliko Mungu; tulikaa Kimya tukiamini ayatuhusu Hadi tulipobaini kwamba...
  12. S

    Hakuna Christmas isiyonyesha mvua

    Christmas zote lazima mvua inyeshe.
  13. P

    Greetings: Happy merry christmas and happy new year 2022. To all JF users

    Habari zenu wapendwa watumiaji wa jamii forum. Nipende kuwatakieni nyote heri ya siku ya kuzaliwa kwa Masihi (Christmas) na heri ya mwaka mpya 2022. Ibada njema
  14. Kasomi

    25/12/2021 Christmas day: Fahamu Historia ya Christmas

    Krismasi (pia Noeli) ni sikukuu ambayo Wakristo wengi husheherekea kuzaliwa kwake Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Kuna majina mawili yaliyo kawaida kwa Kiswahili kwa ajili ya sikukuu hii: 1- Krismasi inatokana na neno la Kiingereza lenye maana ya "Christ`s Mass" yaani misa au ibada...
  15. bafetimbi

    Hivi ndivyo nilivyo mjibu leo tarehe 24/12/2021 siku moja kabla ya christmas

    Wanazoea vibaya sana mamaeeeee mtu hatujawasiliana toka mwezi wa sita leo from no where, goooooog daamnnnnnn, bora nibaki singo kuliko hawa kupe
  16. V

    Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    1: Hivi kuna kabila lengine linaloongoza kwa kwenda vijijini kwao mwezi desemba kama wachagga? 2: Ni kwanini kila mwaka mwezi huu desemba, unakuta wachagga wanapeleka magodoro nyumbani(vijijini), yale mwanzo walopeleka huwa yanakuwa yameenda wapi? 3: Ushajiuliza kwanini wachagga wengi na...
  17. Nyamayanguruwe

    Nauza Watoto wa Nguruwe wa Kisasa na nyama

    Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60 Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro. Wapo Majike 9 na Madume 9 Wote Wanauzwa Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu Tuwasiliane +255738141339 Text, Call or Whatsapp...
  18. Sky Eclat

    Mfalme Henry VIII alitumia £ 13.5 M kwa kusheherekea Christmas mwaka 1509

    Alifanya sherehe, aligharamia chakula na kununua zawadi. Wajakazi wake wote walipata zawadi. Mama aliyeleta mpira wenye marashi alipewa £488 na aliyeimba shairi alipewa £2,400. Pesa aliyotumia kwa Christmas ya mwaka huo ilikua sawa na makusanyo ya kodi ya mwaka mzima. Huwezi kuwalaumu...
  19. Zanzibar-ASP

    Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

    Mwaka huu niliamua kufanya tour trip huko Kilimanjaro ili kujifunza na kujionea shamrashamra za Wachaga wakisheherekea sikukuu ya Christmas. Mpaka sasa bado nipo Uchagani. Nimefanikiwa kufika maeneo ya Rombo, Mwika, Marangu, Old Moshi, Kibosho na Machame. Sijafanikiwa kufika maeneo ya Kirua...
Back
Top Bottom