Habarini wanajamvi, kama tittle inavojieleza, sina amani ndani ya ndoa kwa muda mrefu sasa najikuta nina stress hadi afya imeanza kuzorota.
Nipo kwenye ndoa mwaka wa 10 sasa, nilifurahia mapenzi ya mke kwa miaka 2 tu ya kwanza ya ndoa. Wakati namwoa mke wangu alikuja na mtoto ambaye alidai ni...