Kama Binadamu (Mwanadamu) tulivyo Mimi na Wewe hatujakamilika kama walivyo Watakatifu na Malaika wa Mbinguni.
Tokea Kifo chake GENTAMYCINE nimekuwa nikiona Lawama nyingi Kwake (Hayati Rais Dkt. Magufuli) kutokea humu Mitandaoni na hata katika Vichochoro (Vijiwe) ambavyo huwa najivinjari navyo...
Hivi sheria gani ya Soka ambayo FIFA pia wanaitambua isemayo Kona ikiwa inapigwa huku Mabeki Wawili wakiwa katika Milingoti halafu Mchezaji wa Timu Pinzani akatokea mbali na Kuruka hadi Kufunga zuri ni Kuotea?
TFF, Bodi ya Ligi na Chama cha Waamuzi nchini Tanzania endeleeni tu Kuulea huu Upuuzi...
Natoa tu ushauri kwa kiti cha Spika kwamba siyo vema wala haki kuruhusu wabunge kuchochea chuki na fitna kwa jamii tena kwa watu ambao hawako bungeni.
Nilivyomsikia Mbowe ni kwamba biashara zake zimefungwa na TRA baada ya kushindwa kulipa kodi ya tsh 2 bilioni ambayo anaipinga.
Mbowe aliongea...
Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge (Mwana Yanga SC lia lia) kaja na 'Majungu' yake yale yale.
"Kwanini Simba SC...
1. Dr. Nyambura Moremi
Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii.
Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya kware, mbuzi na mapapai vikakutwa na virusi vya corona.
Kimsingi, Dr Nyambura hakuwa na kosa bali...
Anaandika Mtozi Alloyce Nyanda
Nimeona Video ya Mfanyabiasha Cathbert imepostiwa na @kumbushodawson
Kumbuso ni rafiki yangu sana na kwa kuwa sisi sote huwa ni waumini wa ujenzi wa hoja basi kabla ya kuingia katika mjadala wa msingi napenda maswali haya yajibiwe kisha tuje sasa kwenye Hoja hiyo...
1. Heri James
2. Ole SABAYA
3. Jery Muro
4. Ali Hapi
5. Chalamila mkuu wa mkoa wa Mbeya
6. Cipirian Msiba
7. Makonda
8. Mbunge Msukuma
9Spika NDUGAI
Enzi za jiwe hawa jamaa walikuwa na siasa za chuki kweli
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi.
Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi mno kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "Eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha...
Wanabodi ni wazi kabisa pamoja na kuwa tuko kwenye msiba mkubwa kitaifa lakini bado kuna tofauti kubwa na chuki ndani ya jamii yetu.
Ni katika utawala wa awamu ya tano ile ngwe ya kwanza kulitokea sintofahamu ambazo kwa ujumla zilileta kilio na maumivu katika jamii yetu. Maana kuna watu...
Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao.
Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani...
Kuna Mtu Mmoja mpo nae sana huko Serikalini na katika ile Ofisi yako nyingine ya UNOKO UMBEA pale Oysterbay mkabala na St. Peter's Church aliwahi kuniambia kuwa una Dharau na Kujisikia sana nikamkatalia, ila kwa ulichofanya Leo nimemuamini kwa 100%.
Leo ukiwa Dodoma umefanya Press Conference...
Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC limeshtumiwa kwa uchochezi wa chuki dhidi ya 'Uislamu na wanawake Waislamu'.
Katika kipindi kimoja cha "Wakati wa Mwanamke" kwenye Redio ya BBC 4 kilichohudhuriwa na watu 100 nchini Uingereza akiwemo mchekeshaji maarufu Deborah Frances-White na wabunge...
Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC.
Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona...
“ Wasafi Tv wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie, Wizara inaendelea na jitihada za kuona hili linapata mwelekeo utakaolinda ajira zilizozalishwa, uwekezaji uliofanyika bila kuvunja sheria za Nchi"-Waziri wa Habari Innocent Bashungwa
Taarifa: Darmpya Blog
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela amewataka watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara mkoani humo, kutojenga mazingira ya chuki wakati wa ukusanyaji kodi.
Alitoa jana rai hiyo wakati wa kikao cha wadau wa kodi, ambao alisema kuwa iwapo pande zote mbili zitafanya kazi...
Tupo nchini kwetu tumeiba cha nani, nchi ni ya kila mtu na kila mtu ana haki ya kuishi, kwanini tunafuatiliwa kimya kimya na kupewa kesi ambazo hatuna na hatuja wahi kuzifanya, wanataka watuue wote tuishe?
Naomba kwa anayejua jinsi ya kupata hifadhi (asylum) na kufika atusaidie kama ni...
Nawasalimu, amani iwe juu yenu wanajukwaa!
Naapa kwa aliyeumba, huyu ataenda kuwa Rais ambaye atavunja historia tangu nchi hii ipate uhuru watu wataishi katika Chuki na visasi vya hapa na pale. CCM kitakua ndicho chama kitakachochukiwa na watu wote katika jamii na hata wao watachukua na wenyewe...
Wadau wa michezo toka enzi na enzi tunataniana na si kuvuka mipaka ya kuanza kutafutana matawi na kuanza kubomoleana vizimba vya matawi. Toka muda mrefu nimemfuatilia msemaji wa Simba kwa kauli zake yeye anaita za kukera ndizo chokochoko ambazo washabiki wa Simba nao wanazibeba kisha...
Huyu mjinga hapo kwenye video anajitapa eti maendeleo hayawezi kuja bila CCM, Huu ni upumbavu gani vijana wa CCM mnaongea? Nyie ndio mnaoiuwa CCM taratibu, inaonekana ni lichama la chuki na visasi. Viongozi waliotangulia wangefanya huu uzwazwa nchi ingekuwa ishagawanyika walitambua upinzani upo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.