Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa kabisa.
Nimehisi huenda labda limeletwa na mojawapo kati ya haya mambo mawili lakini bado sioni...
Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) umekuwa na tabia za Kipuuzi na Kishamba mno hasa za kupenda Kujitokeza kutolea Ufafanuzi wa Hukumu na Sheria za TFF na Kamati za Maadili hasa pale ikiwa inaihusu Klabu ya Yanga.
Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) kama kweli una...
Habari ya wakati huu ni matumaini yangu nyote mpo salama.
Moja kwa moja niende kwenye mada husika.
Najua binadamu tuko tofauti lakini ningependa kupata comments tofauti tofauti kujua nini hasa hupelekea. Chuki, visasi, roho za kutendeana ubaya, malipizi, na mengineyo yasiyopendeza huletwa na...
Ni rahisi tena mno kuona watu wakisambaza maneno ya chuki kwa jamii juu ya watu fulani hivyo hupelekea watu hao kujidhuru kwa kushindwa na maneno ya dhihaka.
Kama mwana jukwaa huwa una mbinu gani juu ya watu wanaokuletea dharau, majivuno na chuki.
Let's share ideas.
Mwanasaikolojia wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Mkoani Dar es Salaam, Zainabu Rashid amezungumzia kuhusu migogoro ya wapendanao wakiwemo wanandoa na wapenzi.
Zainabu anasema: "Sababu inaweza kuwa ni mrundikano wa migogoro. Mtu anapolimbikiza matatizo, yale matatizo ni kama kidonda, kile kidonda...
Mambo mengi mnafanya kwa mihemuko bila kujua backstage ishu ziko vipi.
Ndio maana mwamba analamba asali huku mkibaki mnapiga miayo.
Sasa mlidhani mtawakomoa?
Subirini mpaka mtapokuwa na akili timamu ndio mtajua siasa sio mihemuko
Acheni mihemuko ya kisiasa
Wakuu,
Muda huu M/Kiti wa CHADEMA na viongozi waandamizi 9 wa chama hicho wapo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Tutarajie jambo gani jipya? Ndo ukurasa mpya wa Siasa za Tanzania?
UPDATE:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha majadiliano pamoja...
chadema
chamwino
chuki
dodoma
furaha
ikulu
ikulu chamwino
kali
kitaifa
mbowe
picha
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
suluhu
tujifunze
viongozi
viongozi wa chadema
wakutana
wasaliti
Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa.
Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona...
Wakuu hebu leo tuongelee hili swala. Katika mitandao ya kijamii tunaweza ona anti China movement ni nyingi kuliko anti west movements. Au ni kwa sababu wachina wako simple. Kwanini tuna attack sana wachina japokua wote tunajua historia na tunajua ni nini tulifanyiwa, nani alitufanyia na...
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki na mtu ambae hawezi kukujibu Kwa lolote
Jamaa zetu Chadema wanakasumba mbaya sana. Walishazoea siasa za kubebwa. Wakikutana na mtu anayejua kuwabana kisiasa kama Paulo Makonda au Mwita Waitara wao huwa wanaleta chuki zisizo na mashiko.
Mtu hata kama hana hatia za ujambazi watafurahi tu aingie lupango kisa tu wameshamchukia.
Tuweke...
Fadhili Mpunji
Mgogoro wa Ukraine unaendelea kufichua hali ya umwamba kwenye siasa za kimataifa, ambao sasa umefikia hatua ya nchi moja kuzilazimisha nchi nyingine kufuata msimamo wake, na kufanya vitendo vya kulenga nchi zisizokubaliana na hali hiyo. Kwa baadhi ya nchi za magharibi, dhana...
Leo nimekaa nimetafakari sana jambo na kuona bado tunaweza kurudisha tabia njema, ukarimu na ustaarabu ambao ndio ilikuwa sifa kubwa ya sisi watanzania ikitutofautisha na watu wa nchi nyingine
Kila uchwao changamoto ya ajali za barabarani imekuwa kubwa sana kila leo tunapoteza ndugu, jamaa na...
Nimefuatilia kwa miaka mingi sana, kuna ukanda unahisi unatengwa, hawajatoa rais, na wana kiu sana ya kupata rais wa kutoka ukanda wao. wamesahau wamewahi toa mawaziri wakuu wawili.
Ukanda mwingine, wao wamepata bahati ya kupata mtu wa ukanda wa kwao aliyekuwa anawapendelea kwa kupeleka miradi...
Alitumbuliwa Marehemu Mwele Malechela kwa kusimamia tu profession yake ikapelekea kutumbuliwa eti ateseke
Akatumbuliwa Rawrence Mafuru kwa kusema tu serikali kujiondoa kwenye mfumo wa benki binafsi kungeweka sekta ya fedha matatani. Ingawa aliondolewa Ila maneno yake yalitimia. Kwa miaka 3...
Kwema wakuu
Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako.
Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na...
Kampuni ya Meta ambayo ni mmiliki wa Facebook na Instagram imelegeza sera yake dhidi ya machapisho ya chuki ili kuruhusu maneno ya chuki dhidi ya Urusi.
Katika tamko lao wamesema wataruhusu sentensi za chuki kama ‘Death to Russian Invaders’ lakini hawataruhusu maneno ya chuki dhidi...
Jeshi la polisi KAZI mnayofanya Sasa hivi inatia kichefuchefu hasa Kwa mtu anayetambua ugumu wa maisha uliopo. Kukamata pikipiki na Bajaji Katika Hali hii ya ukata nikudhibiti Watu wasitafute riziki.
Mmewanyima vijana ajira ya pikipiki na Bajaji matokeo yake wizi umeshamiri Kwa Kasi kubwa Sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.