chuma

Chukwuma Julian "Chuma" Okeke (born August 18, 1998) is an American professional basketball player for the Lakeland Magic of the NBA G League. A power forward, he was drafted 16th overall by the Orlando Magic in the 2019 NBA draft. He played college basketball for the Auburn Tigers.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa yaliyotokea jana, ni uthibitisho kuwa Mashabiki wa Yanga kwenda Uwanjani inahitaji moyo na uvumilivu wa chuma

    Mashabiki wa Yanga tunapenda kusapoti timu yenu na wengi jana kuanzia asubuhi walifika uwanjani. Wengine nyumbani wameacha familia, wengine wameaga wazazi kufanya angalau mtoko. Wengine walikuwa na watoto, na wengine wameacha watoto nyumbani. Watu wametoka Kimara, Kibaha, Tegeta, Chanika...
  2. Wanazi wa mabus tukutane hapa, chuma ipi ina mwaga moto road

  3. Natafuta banda la chuma la kununua mwanza au kukodi?? sharti bei iwe kitonga!

    Mwanza igoma Sharti bei iwe chini sana
  4. GWM wamezindua Wey Lanshan SUV: Chuma ina interior moja matata sana!

    Ni Plugin Hybrid kutoka China tena. Kampuni la magari kutoka China kwa jina la Great Wall Motors, kupitia sub-brand yake ya Wey, wamezindua SUV moja kali sana iitwayo Lanshan IDE (Intelligent Driving Edition). Hii ni SUV kubwa, ina size ya 5156/1980/1805 mm kwa vipimo vya urefu, upana na...
  5. Paul Makonda amkumbuka Hayati Magufuli, asema kilikuwa chuma. Asikitika fimbo kuondolewa mashuleni

    Paul Makonda akiwa kwenye mkutano jijini Arusha ameongelea mambo kadhaa ikiwemo kumkumbuka Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli jinsi alivyokuwa makini na mkali inapofika suala la uongozi. Paul Makonda: Ametoa takwimu hapo Ngorongoro girls watoto wanashindwa kuendelea na masomo, yaani...
  6. R

    Ufalme wa CHUMA usioshikamana na udongo siku za mwisho, ni ufalme wa aina Gani huu?

    Salaam, Shalom!! Imeandikwa katika siku za mwisho, kutainuka ufalme/ utawala uliofananishwa na CHUMA kilichojaribu kushikamana na udongo, lakini ilishindikana kuchanganyika na kushikamana. Kwamba, Daniel chapter 2, verse 43: Na kama vile ulivyokiona kile CHUMA kimechanganyika na udongo wa...
  7. O

    Niuzie Banda la chuma ninaloweza kulifanya kama kiofisi sio ya uwakala

    Banda lisiwe kubwa sana just size ya fut 5 x5 au 5x6 Location mwanza, lisiwe chakavu nitafurahi likiwa maeneo changamfu au kama bado halijaingia sokoni sio mbaya nicheki dm
  8. Rais wa Kenya Dr.William Samoe Ruto ni chuma imara zaidi ya hayati daniel arap moi alie wahi kua raos wa taifa hilo

    miongoni mwa marais Imara sana, wenye nguvu, ushawishi na maono ya mbali sana, na wasio tikiswa kisiasa nchini Kenya kwa wakati huu, na anae enjoy mass support, technical and economic support ya makundi mbalimbali, ya kitaifa na kimataifa ni pamoja na Dr. William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto...
  9. Tetesi: Mama Chuma Ulete ameibuka mitaa ya kaloleni Arusha

    Mama mmoja mweusi mfupi kiasi amekua kila ikifika jioni anapita kwenye maduka kuomba chenchi elfu moja au kuomba shilingi mia ili anunue pipi, ukimpa tu, baadae pesa zako zinasepa. Au anaweza kukuomba chenchi ya mia tano...🤣yaani mia mia...akisogea kidogo anakurudia umpe mia mbili mbili..😂 Au...
  10. Kutoka Utawala wa Chuma mpaka Utawala wa Chura Kiziwi

    Kwetu sisi wapiga kura je hii ni promotion au demotion??
  11. Nissan Juke 2nd Generation: Upgrade ya Kibabe

    Mwaka 2010, Nissan walitengeneza Nissan Juke 1st generation iliokuwa designed na Kenji Kawasaki na mwenzie, wakaja na hii design: Ni gari nzuri, nje na ndani, comfortability, efficiency na practicability. Sasa kuanzia 2019 kuna madesigner watatu wakaambiwa waunde 2nd generation ya hii Nissan...
  12. Toyota Hilux: Hi chuma TRA hawataki tuimiliki

    Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward. Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua. Gari ya kazi tunabaniana. Sasa ukigusa double cabin unakuta CIF kubwa na ushuru 30+
  13. Kuna chuma inaitwa Toyota Century: A Rolls Royce "Cullinan wanna be"

    Sijui nani amemcopy nani, ila kuna chuma nimeiona mitaa ya matajairi bwana, inaitwa Toyota Century 2023. Kwa mbali nikajua ni Rolls Royce Cullinan kumbe ni mali ya Wajapan aisee. Hii chuma ni SUV, engine 3.5L 2GR V6, model code yake ni G70, (sedan yake ndio G60). Unaweza angalia picha jinsi...
  14. Kula Chuma Hichoooooo!

    Tuskilize Muziki Mzuri. https://youtu.be/SwY1pFzE8gU?si=aNUig-Pu7mkWV5re
  15. D

    Chimbo la angle/trunk za chuma za kujengea dari pamoja na gypsum

    Wakuu naomba mwenye kujua bei za vile vyuma vinavyotumika kujengea dari. Huwa zinatumika pamoja na gypsum. Majina ya mafundi wanaziita angle au channel au trunk. Naomba kujua duka na bei zake.
  16. Sababu za kufubaza udhaifu wa viongozi waliopo, ni pamoja na kumsema Hayati Magufuli alikuwa mporaji

    Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana? Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia? Mimi nasema hivi, halina uhalisia kwa sababu nyingi tu, Moja ya sababu ni pamoja na kuwepo sababu za...
  17. L

    Pacome Zouzou ni legelege sana, amevunjika kwa sababu amekutana na chuma cha pua Yahya Zayd

    Huwa nashangaa sana kwanini makocha wa Stars hawamsajili Yahya Zayd, moja ya viungo hatari sana hapa nchini, kuna Yahya Zayd, Yussu Kagoma na dogo mmoja alikuwa JKT Ruvu, akaenda Geita na ss yuko Mtibwa, nimemsahau.Hawa ni viungo zaidi ya huyo Zuzu wenu. Nimewashauri sana Simba kama wanataka...
  18. Mbunge Saashisha Mafuwe asema kiwanda cha Kilimanjaro Machines Tools kinatengeneza aina zote za vifaa vya chuma, hakuna sababu ya kwenda China

    "Kiwanda cha Kilimanjaro Machines Tools karibu miaka 30 ni kama kilikuwa kimekufa. Nilienda Bungeni nikapiga kelele Serikali ikatuletea fedha, Mashine imejengwa imekamilika na Operation zinaendelea. Wateja wanaleta vifaa vya Makanika (Mechanics) vimeanza kutengenezwa hapa ndani ya Wilaya ya Hai"...
  19. Siku ya Mwanamke: Bi. Mwamtoro bint Chuma wa Mtaa wa Kariakoo

    Angalia hapo juu picha ya Bi. Mwamtoro bint Chuma mama yake Sheikh Haidar Mwinyimvua. Picha hii inamwonyesha Bi. Mwamtoro bint Chuma akipiga kura Uchaguzi Mkuu wa 1970. Bila ya shaka yoyote kura yake ilikwenda kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Haiwezi kuwa vinginevyo. Bi...
  20. INAUZWA Bed sofa ya chuma inauzwa, ipo Moshi Mjini

    Bed sofa ya chuma 5kwa6. Bei nafuu kabisa 250,000 rangi hiyo... Mawasiliano. 0672701329....au.....0756294771.... Asanteee.... Wako katika biashara mtandao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…