Habari zenu ndugu zangu wa jf 🖐, Mimi shida yangu kubwa iliyonileta hapa ni uhitaji wa chumba cha kuishi maeneo ya kigamboni ila kisiwe mbali sana na kivuko cha feri.
Sababu iliyopelekea kuja kuomba huku ni baada ya kuhangaika bila mafanikio, ila nina uhakika wakupata chumba moja kwa moja...