chumba

Chumba is a traditional form of music and dance performed by the Garifuna people in several Central American countries. Like punta (another type of Garifuna music), chumba songs are highly polyrhythmic, but have a slower tempo.The chumba dance is a solo dance performed by a woman, often exhibiting a large degree of individual style.

View More On Wikipedia.org
  1. Uliza swali lolote kuhusu Maisha ya mtaani

    Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend . Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7...
  2. Nimeandaa milioni 1, nataka kujenga chumba na Sebule

    Habari wa nzengo (salaam kutoka Jijini Mwanza) Mimi ni kijana mpambanaji. Nimekua katika hustles kwa muda mrefu sasa naona milango ya baraka inafunguka na mimi sitaki kuchezea nafasi. Mwisho wa mwezi uliopita nilibahatika kununua kiwanja kwa bei ya kugalaliza vibaya sana. Size ya kiwanja ni...
  3. Q

    Gharama za kufanya finishing chumba kimoja (self contained)

    Naomba kujua makadirio ya gharama za kufanya finishing chumba kimoja Vitu vya kufanya Rough Floor Mlango wa mbao Mlango wa Alminium kwa ajili ya toilet Plaster Skimming Blandering Gypsum board Rangi Tiles chumbani Tiles toilet - juu na ukutano (toilet ina ukubwa wa 2.5m x 2.7m) Choo cha kukaa...
  4. M

    Wakusanya taka Ubungo Kibangu watoza elfu 3 kwa kila chumba

    Kwa hali ya kushangaza nilimtembea rafiki yangu maeneo ya Ubungo Kibangu, wakati tunapiga story tukasikia mtu anagonga mlango, rafiki yangu wa muda mrefu tangu tupo A-level akafungua mlango ili atambue nani anabisha, alipofungua alikuwa mama wa makamo akiwa anakusanya hela za kuzolea taka...
  5. Ukimkaribisha mtu kinywaji ni jukumu lako kumfharamia.

    Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea...
  6. Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

    Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton. Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba. Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo...
  7. L

    Mwanaume kupanga nyumba au chumba na kukuta kuna mpangaji mwanamke

    Habari wana JF, Kupanga sehemu mpya na kukuta jinsia tofauti na yako kwanini huwa mahusiano yaanze. Ukipanga sehemu mpya unaweza kujizuia kuanzisha mahusiano na mpangaji mwenzio? Nina nyumba ya 3 sasa nahamia na zote nakuta wadada na mahusiano yanaanza na wengine wana watu wao japo hawaishi...
  8. Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

    Leo nimehudhuria msiba wa waluguru nimeona mambo ya kushangaza naomba mnisaidie maelezo. Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake. Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani. Kilichotokea wamechimba shimo...
  9. Nafatuta chumba cha kupanga (Self contained) - Mwanza

    Habari, Natafuta chumba single self cha kupanga Mwanza maeneo ya Airport road au njia ya Nyasaka. Kisiwe mbali na kituo cha daladala. Kisizidi Tsh. 80,000/=
  10. Kama umepanga na huna ‘subwoofer’chumba ni chako atmosphere ni ya jirani

    Nyumbani ni sehemu ambayo katika jamii zetu ndio sehemu za kutukiliza akili,kufikria na kupanga mambo muhimu kuhusu maisha . Kwa akili ya kawaida huwezi kujenga sehemu zote na nyumba hazihamishiki nyingi labda uamue uishi kwenye kontena. Alafu nyumba iendane na idadi ya watu mimi tu nikodi...
  11. Hakimu akamatwa akiwa na binti mdogo kwenye nyumba ya kulala wageni

    Hakimu akamatwa akiwa na binti wa chini ya umri wa miaka 18 akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni Afisa huyo wa mahakama ambaye jina lake limehifadhiwa alinaswa akiwa na msichana huyo wa umri wa miaka 17 katika nyumba ya kulala wageni katika Kituo cha Kaplong huko Bomet. Kamanda wa Kaunti ya...
  12. F

    Nipeni ushauri wadau

    Wakuu, Leo ni Ijumaa? Kama kawa nimetoka..nipo na Pic kali nakumbukia ujana. Kama kawaida yangu napiga bia zangu za buku sh tano...ila pic I napiga savana. Pic ishakunywa kama savana 4 afu tushapata mbuz choma yaani mambo ni fresh...ila muda huu kuna savana mbili zimekuja mezani..sijajua...
  13. Siwezi kupanga chumba mimi sio mwanamke😬😬

    Mwanaume kwanza unalalaje ndani😜😜
  14. Mwanza: Uwekezaji wa hoteli Mkubwa, gharama ndogo

    Hiki chumba kinapatikana ukanda wa maziwa makuu nchini Tanzania pembezoni mwa Ziwa Victoria jijini Mwanza na kinagharimu USD 70 takribani shs za kitanzania 150,000 kwa usiku mmoja tu, room hiyo ni kwa wageni wawili as mke na mume au mtu mmoja. Kulingana na uwekezaji aliofanya huyu mtu nahakisi...
  15. Una mshauri nini huyu mwenye hiki chumba?

    Huyu atakuwa kijana wa chuo, hebu weka neno moja la kumshauri.
  16. Single room needed Maeneo ya Tabata shule hadi Segerea

    Habari madalali wa Bongo, na wenye nyumba. Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita. Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea. Sehemu nyingine naweza kuja endapo bei ni pungufu na Mazingira mazuri ya eneo la makazi. Nb; Nina...
  17. Hili joto kupikia jiko la gas kwenye chumba na sebule ni mateso

    Siku hizi zile foleni za kungojea mafiga kwenye nyumba za kupanga zimepungua sana. Siku hizi wengi wana majiko ya gas chumbani. Kwa kweli yanasaidia sana kuokoa misitu, kurahisisha maisha. Hata hivyo joto unalopambana nalo kwenye chumba wakati unapika ni kadhia nyingine. Unaishi kwenye chumba...
  18. U

    Nahitaji chumba Self cha Kupanga Arusha

    Habari Natafuta chumba cha kupanga Arusha, maeneo ya Moshono au Njiro. Kiwe chumba kimmoja ambacho ni self , kiwe kina nafasi na jiko dogo Chumba kiwe katika mazira masafi yenye ulinzi na karibu na barabara. Budget ni 100k
  19. Boxer yangu katika chumba cha mpangaji mwenzangu

    Habari wana JF. Ninaomba ufahamu ili niiokoe ndoa ya watu. Wiki iliyopita nilimtembelea dada yangu anayeishi Dodoma mjini - Chang'ombe Extension. Yeye na MR. wake na watoto 2 wana chumba na sebule. Kwakuwa nilikuwa na majukumu binafsi mbali na kuitembelea familia hii na kutokana na ufinyu...
  20. Natafuta Chumba cha Kupanga Kigoma Mjini

    Habari, Natafuta chumba cha kupanga Kigoma mjini isiwe Ujiji wala uswahilini. Nitapendelea maeneo kama Kilimahewa,mjimwema,nazareth,maweni na viunga karibu na hivyo Chumba self cha nje napendelea zaidi Nyumba iwe ya kisasa (Presentable) Maji umeme na huduma zingine za muhimu usalama fence
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…