Madarasa mengi na Maabara za Chuo cha DIT yana changamoto ambazo zinafanya tunashindwa kusoma tukiwa na utulivu, nazo ni; AC na feni nyingi hazifanyi kazi.
Mfano mimi ninasoma ETE, Jengo la mawasiliano kuna Maabara 4, zote hakuna AC wala feni tunapoingia kunakuwa na suffocation sana na joto...