chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shimba ya Buyenze

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati...
  2. livewise1

    Alisema tusitafutane...

    Salaam wana jukwaa! Miaka ya nyuma nikiwa shule nilikuwa na mpenzi (ambae tulianza mahusiano tukiwa kidato cha 3), huyu mpenzi alinipenda kwa kuwa nilikuwa napata mia kwenye hisabati na fizikia na kemia na bayolojia n.k Tuliishi kikavu kavu mpaka kidato cha 4 tukamaliza bila kutikisa...
  3. Remy Tem

    Unaweza kupata tena mkopo endapo utakuwa discontinued?

    Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu. Swali langu ni kwamba kama ulipata mkopo kutoka (HESLB) na uka Disco ni kweli unaweza pata tena baada ya kulipa 25 asilimia?
  4. L

    China: Mitihani ya kuingia chuo kikuu yabadilisha na kuamua maisha ya baadaye ya wanafunzi

    Hivi sasa wanafunzi wengi wapo katika kipindi muhimu sana hususan wale wanaomaliza masomo yao ya sekondari ya juu na ambao wanajiandaa kujiunga na taasisi za elimu ya juu au vyuo vikuu ili kuanza masomo yao katika kozi tofauti. Kuna wale ambao wanafurahia kumaliza hatua moja na kukaribisha hatua...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza MZUMBE mjomba alinihusia swala la kusave bumu

    Habarini za leo wakuu, Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa. Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la kusave bumu. Aliniita varandani akanisisitiza sana mjomba chondechonde ukipata Bumu uwe unalisave...
  6. kmbwembwe

    GPA 3.O kama hitaji la chini kuingia kuingia chuo kikuu sio sawa

    Nchi jirani ya uganda kwa wenye diploma kuanzia gpa 2.7 wanaweza kuomba kujiunga na vyuo vikuu lakini tanzania tumeweka gpa 3.0. Hata nchi za ng'ambo kama malaysia china na zingine wanakubali kuanzia gpa 2.7 kwa wenye diploma kama hizi zetu za nacte. Ingefaa kiwango cha tanzania nacho kishuke...
  7. Kanungila Karim

    Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

    Licha ya kufeli darasa la saba, mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanikiwa kuhitimu chuo kikuu akiibuka mwanafunzi bora aliyefaulu kwa kiwango cha juu zaidi. Kabla ya kwenda chuo kikuu, anasema alijifunza lugha ya Kiingereza mtaani, kama wengine wanavyojifunza lugha ya makabila. Shigongo...
Back
Top Bottom