Salaam wana jukwaa!
Miaka ya nyuma nikiwa shule nilikuwa na mpenzi (ambae tulianza mahusiano tukiwa kidato cha 3), huyu mpenzi alinipenda kwa kuwa nilikuwa napata mia kwenye hisabati na fizikia na kemia na bayolojia n.k
Tuliishi kikavu kavu mpaka kidato cha 4 tukamaliza bila kutikisa...