chuo

  1. B

    Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
  2. R

    Keneth Nollo: Serikali ifute ada Vyuo Vikuu

    Akichangia bungeni mbunge Keneth Nollo, amesema serikali ifikirie kuondoa ada kwa wanafunzi wa chuo nchini sababu umasikini na mkubwa na wengi hawawezi kumudu. Badala yake wanafunzi wa nje pekee ndio wawe wanalipa ada.
  3. Ego is the Enemy

    Kiengereza kitumike shule za umma tokea msingi mpaka chuo

    Habari zenu. Nimekaa hapa nimewaza Ni kwa Nini elimu yetu kingereza kisitumike kuanzia chekechea mpaka elimu ya juu. Shida Ni Nini yaani Kuna watu wamekaa huko wakaona kuwa maarifa mengi yamevumbuliwa na waswahili ama Ni Nini. Maarifa mengi mno yapo kwa lugha ya KIENGEREZA. Mtoto akifika...
  4. TTCC_TECNO

    Changamoto gani wanapata wahitimu baada ya kumaliza chuo?

    Wote tunajua maisha baada ya kuhitimu ni safari iliyojaa fursa na changamoto. Kwa kutambua na kufanya kazi kwa bidii kuzishinda changamoto hizi, wahitimu wapya wanaweza kujenga njia ya kufanikiwa na kazi yenye kuridhisha. Kukumbatia sura hii mpya kwa azimio, uvumilivu, na mtazamo wa kukua...
  5. A

    DOKEZO Serikali itusaidie Wanafunzi Chuo cha Mbeya Training College, Chuo hakijasajiliwa kinatoa vyeti feki

    Sisi Wanafunzi wa Chuo cha Mbeya Training College kilichopo Uyole Mkoani Mbeya ambacho kinatoa Kozi 4 ambazo ni Laboratory Assistant, Secretary, Business Operator na Hotel Management. Mwaka jana (2022) wakati tunajiunga na chuo hiki ada ilikuwa ni Shilingi Milioni 1.36 na mmiliki wa chuo...
  6. BARD AI

    Sheria ya Vyuo Vikuu inakataza Wanafunzi kujihusisha na Siasa ndani Chuo

    Je, wajua Sheria ya Vyuo Vikuu ya mwaka 2005 na Kanuni za Mwaka 2013 zimepiga marufuku Wanafunzi kujihusisha na shughuli za Chama cha Siasa ndani ya Majengo ya Chuo? Kifungu cha 57 cha Kanuni ya Vyuo Vikuu inasema "Mwanafunzi yeyote au Mfanyakazi wa Chuo Kikuu anayejihusisha katika shughuli za...
  7. benzemah

    Chuo cha Bahari (DMI) chaingia mkataba wa kubadilishana uzoefu na chuo cha Italy

    Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Chuo cha Italian Shipping Academy Kilichopo nchini Italy ya kubadilishana uzoefu katika mafunzo ya ubaharia na kushirikiana katika tafiti na miradi ya maendeleo ya uchumi wa buluu MOU hiyo imesainiwa nchini Italy na...
  8. ushahd

    Second batch HESLB 27/10/2023

    Salaam wana jamvi Kesho ndiyo siku inayotarajiwa board kutoa awamu ya pili Samahani wakuu kwa wale waliopata awamu ya kwanza account zenu zilianza kubadilika siku hiyo hiyo walipotangaza? Maana naona ujumbe ni ule ule WAIT FOR ALLOCATION PROCESS
  9. mtwa mkulu

    Naomba kujua namna ya kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Diplomasia

    Ndugu samahanini kwa usumbufu. Nimeomba kujiunga na chuo cha Diplomasia ngazi ya diploma katika dirisha la awamu ya tatu. Lakini kama inavyoonyesha hapo chini website yao haijawa na taarifa za kujitosheleza sana kuhusu walio chaguliwa kujiunga na chuo hicho. Wameweka walio chaguliwa awamu ya...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Askofu Sylvester Gamanywa kutunukiwa u Profesa wa heshima na Chuo cha Mipango Dodoma

    Askofu Mkuu Dk. Sylvester Gamanywa wa Wapo Mission Tanzania 🇹🇿 atatunukiwa u Profesa wa heshima kutoka Chuo cha Mipango Dodoma. Hafla hiyo ya mahafali itafanyika Novemba 4 ambapo Waziri wa Fedha ndugu Mwigulu Nchemba atakuwa mgeni rasmi. Hayo yameelezwa kwenye ukurasa rasmi wa Askofu Gamanywa...
  11. Alves124

    Msaada kuhama chuo cha afya NACTE baada ya kuahirisha kwa Muda Mrefu

    Habari zenu ndugu zangu wa JF Hii ni mara yangu ya kwanza kushiriki na swali ni kama linavyojieleza hapo Niliwahi soma clinical medicine mpk Level 5 semester 1 changamoto za ada ikanilazimu nisimame nihangaike na mishe zingine nashkuru Mungu nimejipata kiasi Sasa juzi wakati nacheki student...
  12. ALPHA2012

    Fomu za kujiunga Chuo Kikuu Dar es Salaam

    Ndugu, naomba kufahamu kwa anayejua hizi Joining Instructions za kujiunga Chuo Kikuu cha Dar es salaam zinapatikanaje? Muda umeenda sana na masomo karibu yanakaribia. Nimeomba online na kujibiwa kuwa nimechaguliwa na pia nime confirm kwa kutumia code namba. Kwa sasa kwenye account yangu...
  13. ERoni

    Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

    https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi. Short description kwa wasio na bundle; Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu...
  14. M

    Wanafunzi wa Chuo cha Ushirka Moshi (MoCU) level ya Diploma kushindwa kufanya udahili kutokana na kucheleweshwa kwa matokeo ya supplementary

    Uongozi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) umechelewesha kutoa matokea ya supplementary kwa wanafunzi wa level ya Diploma na pia kutuma matokeo hayo NACTE kwa ajili ya utambuzi, Hivyo kusababisha zaidi ya wanafunzi 200 kushindwa kufanya maombi ya elimu (Degree) kwa mwaka wa masomo 2023...
  15. A

    DOKEZO Kero yangu kuhusu utaratibu wa 'refund' kwa Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT)

    Habari! Napenda kuleta kero yangu ili mnisaidie kufikisha kwa wahusika wa Chuo cha DIT. Kuna kero kubwa hususani kwa wanafunzi waliopata mkopo kupitia Bodi ya mkoppo ya elimu ya juu (HESLB) pale wanapokuwa wanaanza mwaka wa masomo huitajika kulipa ada kwanza kabla ya kufanyika usajili...
  16. C

    DOKEZO Taarifa kwa Serikali na Sekta za Elimu Tanzania kuhusu Katavi Institute and Development Studies (KISDES)

    kwa yeyote anaye weza saidia kufikisha ujumbe huu == Taarifa kwa Serikali na Sekta za Elimu Tanzania Nikiwa kama mhanga na mdau wa elimu, napenda kueleza mambo machache juu ya mwenendo mzima wa Chuo cha Katavi Institute and Development Studies (KISDES) kilichopo Mpanda, Katavi, kata ya...
  17. C

    Naomba anaejua kwanini Procurement imetengwa

    Habari wakuu, Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI. Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni...
  18. M

    India kujenga Chuo Kikuu Kizimkazi Zanzibar

    India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.
  19. Mhaya

    Shahada ya Uzamili ya Uchawi kutolewa chuoni Uingereza

    Uchawi sasa hivi unaenda kuwa kitu cha kawaida sana Duniani. Kozi mbalimbali zimeanza kuanzishwa zikifundisha uchawi na uganga wa jadj. Nchi ya uingereza inaweza ikawa nchi ya kwanza ya kutoa Elimu ya juu ya uchawi. Vivyo hivyo Sahada ya Uzamili ya uchawi itakayoanza kutolewa mwaka 2024...
  20. A

    DOKEZO Nimelipia marekebisho ya cheti cha Chuo, huu ni mwezi wa nne sasa, NACTVET wananizungusha tu

    Nina malalamiko yangu kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET). Kuna watu tupo wengi tuliomba tubadilishiwe matokeo ya Chuo kwa makosa ya kibinadamu katika Uandishi, tukalipia pesa kupitia “Control Number”. Mpaka sasa miezi minne imefika kila tukienda...
Back
Top Bottom