Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023.
Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 181 katika madaraja mawili ambapo daraja la kawaida “economyclass” itabeba...
Nimeona niulize huku labda naweza pata msaada wa mawazo tofauti kwa watu wanaopitia hii changamoto.
Nna ndugu yangu amesotea Diploma pale MUST Mbeya kwa miaka mitano badala ya mitatu na mpaka sasa hivi bado hajatoboa, na tatizo sio kufeli. Ni mifumo yao.
Wanaambiwa mfumo umebadilika so mwalimu...
Kuna kila sababu ya kupeleka lawama Kwa IGP Tanzania kuhusiana ba barabara za kuingia chuo cha polisi Moshi, ikiwa ni pamoja a barabara zilizopi ndani ya chuo hicho.
Barabara zote ni mashimo na gari yakiingia chuo ni hapo yanakuwayanavunjakila kifaa Kwa sababu ya mashimo na viraka vya lami...
Kijana alichaguliwa Mwal Nyrere na IRDP (chuo cha mipango) Dodoma. Aka confirm Dodoma. Sasa anataka kubadili kwenda Mwl. Nyerere.
Taratibu za kubadili ni zipi (kama inawezekana)?
NAIBU WAZIRI KIHENZILE ASIFU KASI YA MAENDELEO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amefanya ziara katika Chuo cha Taifa cha Usafirisha (NIT) ili kujionea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya Serikali katika Chuo hicho.
Mhe...
NAIBU WAZIRI KIGAHE AFANYA ZIARA CHUO CHA CBE & TRIDO
Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la Metrology Annex unaoendelea katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam.
Hayo yamebainishwa wakati wa ziara ya...
Baada ya malalamiko kutoka kwa memba wa JamiiForums kuwa kuna Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe ambao walijilipia Ada wakati wa kujisajili kabla Bodi ya Mkopo kuingiza malipo ya mkopo wao, hivyo wakaahidiwa kurejeshewa kiasi cha fedha kilichozidi lakini hali imekuwa tofauti, ufafanuzi...
Kwa namna elimu yetu hapa bongo ilivyo na inavyoleta matokeo yasiyo tarajiwa kwa kundi kubwa la wasomi na vijana.
Nadiriki kusema kwa asilimia kubwa elimu ya Tanzania ina umuhimu mkubwa kwa shule ya msingi pekee( awali mpaka darasa la 7) ila sekondari na chuo ni kupoteza muda tu.
Elimu ya...
Dunia sasa hivi imehamia kwenye ( computer technology) nataka nisome IT, chuo gani kizuri?
UCC au VETA? Kama ni ucc branch gani wapo vizuri? (Udsm au Posta?)
Nataka kwanza nisome kozi yupi fupi za IT then baada ya hapo ndo nitafikiri nisome certificate then Diploma.
Vitu vyangu vingi (...
Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana.
Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni...
Habari za Saizi wana jukwaa.
Nimeleta mada hapa jukwaani nikiamini mamlaka husika wataona na kulishughulikia haraka.
Ni zaidi za miezi kadhaa imepita dogo alinigusia habari kuwa alikuwa amelipa ada na amemaliza ada yote lakini baadae alikuja kujua kuwa bodi pia walimlipia kiasi cha ada, na...
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi ambapo tayari wengine walikuwa wamelipa ada, hivyo ikabidi chuo kirudishe fedha za Wanafunzi ambao...
Anonymous
Thread
bodi
bodi ya mikopo
chuo
fedha
kutoka
mikopo
mwalimu
mwalimu nyerere
nyerere
udsm
wanafunzi
zao
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita ameendelea na ziara yake Kata ya Partimbo kutembelea eneo la ujenzi wa Chuo cha VETA kukagua maendeleo yake. Amewapongeza wasimamizi na mkandarasi wa mradi huo kwa kazi kubwa inayoendelea
Mhe. Edward Lekaita amezungumza na Wananchi wa Kata ya...
Naitwa Richard M. Philemon, Mwaka 2008 baada ya kuhitimu form six, niliomba vyuo mbalimbali kikiwemo UDSM, lakini wakanipanga Mkwawa University College of Education (MUCE Iringa), sikwenda katika chuo hicho kutokana na sababu kadhaa za kifamilia na nilitoa taarifa.
Mwaka mmoja baadaye nikaomba...
Ujumbe kutoka kwa kati ya mwanafunzi aliyehitimu na kuomba kupaziwa sauti.
"Mimi ni muhitimu wa stashahada ya computer science chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Mbeyaa
Kumekuwa na tatizo la mfumo yaani SIMS (student information management system) kwa muda wa takribani wiki 3 mpaka sasa...
Kesho ndio mwsho wa ku confirm chuo gani unajiunga, short of that unakosa vyoye.
Msaada: Je nikiconfirm kwenda chuo fulani, lkn bado my preference sikuchaguliwa nataka kujaribu second window/round. Je inawezekana nikafanya application?
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi bado yuko Chunya kwa ziara ya kikazi, ambako ameendelea kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya ambayo itazaa Tume huru ya Uchaguzi.
Sugu ambaye sasa anajulikana pia kama Jeshi la Mtu mmoja, anashangaza wengi kutokana na uwezo wake wa...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Kwenda kwa:
Makamu Mkuu wa Chuo
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO
Husika na kichwa cha habari
Sisi ni Wanafunzi wa Department of Mathematics, Information and Communication Technology kwa ngazi mbalimbali...
Anonymous
Thread
barua
chuochuo kikuu
chuo kikuu huria
huria
kikuu
utendaji
walimu
wanafunzi
wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.