Wakuu Naomba Msaada wa kujua chuo kinachotoa Elimu ngazi ya Diploma Upande wa Masomo ya Biasahara yaani Commerce na Bookkeeping.
Naomba kujua pia kama ni chuo cha Serikali AMA cha Binafsi naomba kiwe kinatambulika yaani kilichosajiriwa na Mamlaka husika.
Aksanteni Sana
Habari zenu wakuu. Mwanafunzi mwaka jana aliomba vyuo viwili akapata vyote CBE na TIA. Aka-confirm CBE. Shida ikatokea mkopo hakupata hivyo hata chuo hakuripoti kabisa sababu mpaka batch zote zinatoka hakufanikiwa kupata kabisa na anapoishi ni mkoani.
Sasa mwaka huu wakati dirisha...
Wadau poleni na majukumu kuna dogo home kamaliza HKL na ana division 1 ya 5 ni kozi gani nzuri anaweza kusomea na chuo kipi ili akimaliza aweze kujiajiri maana uwezekano wa ajira kwa sasa ni mdogo sana naomba mawazo yenu wadau.
UTANGULIZI
Ndugu msomaji wa MAKALA hii Utakubaliana nami kwamba neno "KUJIAJIRI" sio geni masikioni mwako, hususa ni pale linapo kugusa moja Kwa moja. Huenda Kwa nyakati fulani umelisikia neno hili likitamkwa na Watu mbalimbali wakiwemo viongozi pamoja na watu maarufu na kulipokea Kwa mtazamo...
Ushauri wangu kwa vijana wa form 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya chuo kikuu.
Tanzania ya sasa haihitaji Degree, zimeshakuwa nyingi sana mtaani mpaka copy za vyeti zinafungiwa vitumbua. Yaani degree ni luxury sio hitaji muhimu.
Tanzania ama dunia ya sasa inahitaji stadi na...
Baada ya chuo kusajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/VTC/0845 mafunzo ya salon kuanzia kusuka nywele mitindo mbalimbali na masuala yote ya urembo sasa yatakuwa katika mfumo rasmi ambapo wahitimu watapata cheti kinachotambuliwa na serikali tofauti na hapo awali.
Chuo cha ufundi JITA...
Naomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuanzisha na kumiliki chuo kinachotoa certificates program. Pa kuanzia, unavyohitaji kuwa navyo, idadi ya waalimu na elimu yao na mamlaka zinazo husika na utaratibu wote.
Shukran
Kama binadaamu kuna wakati mtu unapitia magumu mpaka hujui nani wa kukusaidia hata kimawazo.
Leo nimeanzisha thread hii ili tushare mambo au changamoto mbalimbali ambazo tunapitia sisi viumbe wa Mungu.
Orodhesha changamoto na jinsi ulivofanikiwa kutatua ili umsaidie mtu mwingine huko aliko...
Na Gaspary Charles
WANAWAKE wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi wametakiwa kuelewa mbinu sahihi za kufanya ushawishi katika siasa na uongozi ili kukabiliana na vikwazo vinavyoweza kuwakwaza kushika nafasi hizo katika ngazi mbalimbali.
Wito huo umetolewa na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna...
MBUNGE ASSA MAKANIKA AMESEMA SERIKALI IMEPELEKA SHILINGI BILIONI 11.6 KUJENGA CHUO CHA TIA MKOA WA KIGOMA
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika ameendelea na ziara yake katika maeneo ya Kidahwe, Mungonya na Ziwani kufuatilia shughuli za maendeleo, kuonana na Makundi na...
Unapozungumzia Kanda ya ziwa ndiko wasomi wengi wanakotoka
Kagera
Mwanza (Hususan kisiwa cha ukerewe)
Mara
Mwanza ndio makao makuu ya mikoa ya kanda ya ziwa, Watu wa Kagera na Mara ni rahisi kufikia hapa lakini jiji hili la pili kwa ukubwa hapa nchini halina chuo kikuu, kwanini ?
Dar kuna...
Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) Mkoani Mtwara aliyetambulika kwa jina moja la Regan ambaye amekuwa akiishi Mtaa wa Chikongola, Manispaa ya Mtwara- Mikindani anadaiwa kujinyonga hadi kufariki na mwili wake kukutwa ndani ya chumba chake.
Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa jana July...
BURUA YA WAZI KWA MKUU WA CHUO CHA KILIMO CHA SOKOINE (SUA)
SERIKALI KUTO ITAMBUA SHAHADA YA MAENDELEO VIJIJINI (BACHELOR OF RURAL DEVELOPMENT) KATIKA AJIRA ZINAZOTOLEWA NA UTUMISHI WA UMMA KITENGO CHA SECRETARIET YA AJIRA TANGU SHAHADA HIYO ILIPO ANZISHWA MWAKA 2004.
Kwako Mheshimiwa Mkuu wa...
Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa na hii ni kutokana na wingi wa wanafunzi wanaohitimu kila mwaka huku serikali ikishindwa kutoa ajira kwa wahitimu wote, Katika kukabiliana na tatizo hili serikali imekuwa ikipendekeza njia ya kujiajiri na sio kusubiri kuajiriwa swali la msingi hapa ni...
Naomba kuuliza wadau kuhusu hilo suala la transcript zinazotolewa vyuoni, hizi transcript ni haki ya Mwanafunzi kupatiwa na Chuo au ni mpaka mwanafunzi afukuzane na uongozi wa Chuo ndio wampe transcript?
Nasema hivi sababu kuna Chuo X kilichopo maeneo ya Mkoa wa Dar es Salaam kinamzungusha...
Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Ndaki ya Sayansi ya Jamii
Kitivo kikongwe cha chuo kikuu cha UDSM chajadili kwa pamoja na jamii nzima mkataba wa bandari
Mwenyekiti wa mjadala wa leo Dr. Ng'wanza Soko Kamata wa kitivo cha CoSS UDSM aliwakaribisha wote waliojumuika ukumbini na wale walioshiriki...
Tarehe 21 Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) walitembelea chuo kikuu cha wazi cha Jinhua, mkoani Zhejiang, China, ambapo walijifunza utamaduni wa sikukuu ya jadi ya China –Duanwu.
Sikukuu ya Duanwu ni moja ya sikukuu nne...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) limekutana na Chuo cha Polisi Kurasini kujadiliana kuhusu elimu ya masuala ya Mazingira kwa wanafunzi wao na namna ya kushirikiana nao katika utekelezaji wa majukumu baina ya taasisi hizi (NEMC na Chuo cha Polisi) ili kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.