Kennedy Nyangige mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha udaktari Bugando anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujiteka na kisha kutuma meseji kwa wazazi, ndugu na viongozi wake wa chuo akidai ametekwa na inatakiwa milioni 3.5 ili aachiwe.
RPC Mwanza Wilbroad...
Ni mara kadhaa Sasa Chuo cha Wizara ya mifugo LITI Morogoro kimekuwa kinawafukuza wanafunzi ambao hawajamalizia ada ya semista ya Pili. Utaratibu huu ni kuwabagua kielimu hasa wanafunzi wanaotoka familia maskini. Watoto hawa wameskika wakimtaja mkuu wa Chuo kuwa kawambia kama hawana ada warudi...
Wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile.
Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye...
Imepita miaka takribani 12 sasa, tangia Tanzania ilipapata kumshuhudia mwanafunzi aliyeshindikana katika maswala ya Elimu hapa namzungumzia,Tanzania One (2006) Elias Kihombo katika matokeo ya Kidato cha Sita mwaka 2006 akitokea shule ya sekondari Tosamaganga wengi wanapenda kuiita Tosa Boy's...
Kama wanavyopelekwa Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Watendaji wengine nashauri pia watu watakaotaka kugombea Urais baada ya majina yao kupitishwa na tume waende kozi ya NDC hata kwa wiki tatu.
Hii inaweza kufanywa na hata kwa Baraza la Mawaziri.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambambana na Rushwa (TAKUKURU) imemfungulia kesi Leonard Wilson Chishomi katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora mkoani humo kwa makosa ya kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri kinyume na Sheria.
Makosa mengine ni Ubadhirifu na Ufujaji wa Mali ya Umma kinyume na...
Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Nikisema niandike hapa ukurasa hautoshi, Chuo pekee Dar cha walemavu Yombo Kiwalani kinapiga Uturn badala ya kusonga mbele tangu Nyerere alipokijenga na Mzee Mengi akawa anafadhili na akajenga madarasa.
Cha kusikitisha kuna mama anaitwa Mariam Chilangai yeye anakaimu ukuu wa Chuo sasa kwa miaka...
Chuo cha utalii nchini (NCT) kimewataka wadau wa uratibu wa matukio (events), kuongeza ujuzi wao kwa kujifunza chuoni ili kukuza weledi na kuacha tabia ya mazoea katika utendaji kazi wao wa kila siku.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano kati ya NCT na wadau wa uratibu wa matukio Kaimu...
Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu.
Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo.
Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
Serikali imeongeza kiwango cha posho ya kujikimu ya Wanafunzi wa elimu ya juu kutoka shilingi 8,500 hadi shilingi 10,000 kwa siku.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hayo leo April 05,2023 Bungeni Dodoma wakati akisoma hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya...
Yanga ni mwanafunzi aliefeli form two baada ya kushindwa kufikisha "D" mbili katika masomo yake,na ikabidi arudie darasa Tena kwa Mara ya pili, hii inajidhihirisha baada ya kufeli vibaya kweny lig ya mabingwa Africa.
Simba yeye ni mwanafunzi aliepass vizuri masomo yake na Yuko chuo kikuu...
Mwenyezi Mungu awe Pamoja nasi, malezi ya watoto wakike Pamoja na kiume wote kwa Pamoja ni magumu mno kama ukilegeza, namuelewa sana mzee wangu kwa kutupiga vipigo vya mbwa koko ukifanya makosa ya hovyo au akikukuta na kampani ya kijinga.
Nipo mkoani huku Kuna chuo Cha kati, kinachukua watoto...
Wahitimu 15 kati 162 wa Chuo cha Tiba cha Mtakatifu Fransis, Ifakara, waliofutiwa shahada zao kwa kukiuka agizo la Seneti ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (Saut) wamesalimisha taarifa za matokeo kunusuru shahada zao.
Uamuzi wa wahitimu hao umekuja siku tatu tangu Seneti ya Saut kupitia kwa...
Chuo kikuu cha St. Augustine kimebatilisha shahada ilizotoa kwa madaktari 162 waliohitimu chuo cha udaktari cha St. Franscis kuanzia mwaka 2015-2019.
St. Augustine imechapisha tangazo kwenye gazeti la Daily news ikitoa notisi kubatilisha shahada za wanafunzi hao 162 ambao inadai wamegoma...
Wakuuu salaaaam
Nimepata matokeo yangu ya UE nimesikitishwa. Kwa upangiliaji wa grade hizi sababu nilidhania A inaanzia 70 kumbe sio hapa chini ni muongozo wa grade hizo
A - 75 - 100
B+ - 65 - 74
B - 60 - 64
C - 50 - 59
D - 40 - 49
F / sup - below 40
Hii ni haki kweli wamangu by the way nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.