Tafadhali rejea kichwa Cha habari tajwa hapo juu.
Nina mdogo wangu amemaliza form four anataka aende kusoma diploma ya C.O, je chuo gani ni kizuri nimsaidie kuapply?
Namaanisha uzuri wa mazingira ya ufundishaji na pia ufaulishaji.
Nasikia vyuo vya government ndio hufaulisha kuliko private je...
Habari za Leo wadau,
Mimi ni Wakala. Leo dada wa kazini amekosea kulipia control number ambayo ni ada ya mwanafunzi wa CBE akamlipia mwanafunzi mwingine wa CBE ambae sio alietoa pesa.
Naomba kuuliza hatua za kufuata Ili nitatue changamoto hii, naomba kuwasilisha.
MREJESHO:
Nilifuta ushauri wa...
Nchi yetu kila kitu kinahitaji ubinafsishaji; mfano mdogo sana na chuo kikongwe cha Dar es salaam. Mwezi wa pili tuliona wanafunzi wakilalamika hadi kutaka kuandamana ndipo wakatoa vyeti. Leo tena kampuni yetu inafanyisha usahili wanafunzi wa UDSM wanakuja na matokeo. Ukiuliza wanakujibu...
Wasalaam...
Nilikuwa naomba kujua utaratibu ukoje kwa wanafunzi wanaotaka kuhama chuo kimoja kwenda chuo kingine.
Conditions
1. Course ni ile ile, let say natoka DIT nikiwa nimesoma mechanical engineering mwaka wa kwanza. Lakini nataka nisome mechanical engineering mwaka wa pili nikiwa MUST...
Kama wewe ni Mwanafunzi wa chuo chochote nchini Tanzania, basi naomba tushare Application kabambe unayotumia katika kufanya kazi zako na inakurahisishia kiutendaji kazi.. mfano Assignments, Research na mambo mbalimbali...
Maana kwa Sasa kumekuwa na App nyingi ambazo mwanafunzi anaweza kuingiza...
Bamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi.
kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae...
Habar wakuu
Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs
Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba...
Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
SHILINGI BILIONI 18.4 SUA KUJENGA CHUO CHA KILIMO KATAVI HALMASHAURI YA MPIMBWE
Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Mhe. Martha Festo Mariki ameuliza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maswali yaliyojibiwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
MWINYIMBEGU ( MWINYI) DIBIBI si jina geni masikioni mwa watu wa Tanganyika ya kale na hususan wenyeji wa Upwa wa Pwani ya Tanganyika.
Huyu ni Babu yangu ambaye wanamwita kama ni uzao Mkuu ambaye alifanikisha kwa kushinda mapambano ya Uhuru wa Tanganyika katika ardhi ya asili yetu.
Miongoni...
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga kiasi cha Shilingi Bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi (VETA) cha kwanza kitakachojengwa Wilaya ya Rorya.
Chuo hicho kitajengwa kwa awamu mbili ambapo kwa awamu ya kwanza ni ujenzi wa majengo 9.
Mkuu wa...
Chuo Kikuu cha Iringa kimelazimika kuwafukuza wanafunzi zaidi ya 50 baada ya kudukua mfumo wa malipo ya ada na kugoma kulipa ada ya kozi ya teknolojia ya habari (IT).
Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Ndilirio Urio amesema wanafunzi 256 walifanya udanganyifu wa malipo na Chuo kiliagiza matokeo ya...
Familia moja katika Kijiji cha Kabuboni, Kaunti ya Tharaka-Nithi, inapambana kutafuta haki ya binti yao mwenye umri wa miaka 21, aliyeuawa kikatili.
Mwili wa Ann Kambura ulikutwa umetupwa kisimani huku mikono yake ikiwa imefungwa kwa nyuma wakati blauzi na sidiria yake vikiwa vimefungwa kwa...
Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako.
Leo nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu.
Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na nikajiunga...
MBUNGE DKT. PIUS CHAYA AMEIOMBA SERIKALI CHUO CHA AFYA NGAZI YA CHETI
Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya akiuliza swali lake kwenye wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Jumatatu Mei 22, 2023 bungeni jijini Dodoma.
Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya ameomba...
Habari wana jf,
Moja kwa moja kwenye mada, katika pita pita hapa na pale nikiwa mkoani manyara alimaarufu kama mkoa wa Wambulu mix Wamasaai na wengine wanajiita Wairaq sijui kwanini wanajiita hio ila ni walewale Wambulu lugha ni moja kila kitu.
Siku moja ilikuwa ni siku ya mnada ndani bahati...
Hii nchi ina faculty ambazo zinaitwa za biashara, zikiwa na wasomi kedekede, kwa nini hawatoi muda wao kufanya research kwenye maeneo nyeti ya nchi kibiashara? Imagine, eneo linalokusanya Kodi karibu 150 billions kwa mwezi, Chuo Kikuu hakijichimbii kufanya tafiti au monitoring. Wao wanamjua...
MHE. MARTHA GWAU MGENI RASMI KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA CAMPUS YA SINGIDA.
Mhe. Martha Nehemia Gwau Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida amekuwa mgeni Rasmi kwenye kongamano la wanawake pamoja na kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.