chura maziwa kuharibika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania KWELI Chura akiwekwa kwenye maziwa huzuia yasiharibike/kuganda

    Nauliza kuna ukweli wowote kwamba wazee wa zamani waliweka chura kwenye maziwa kuyazuia yasigande? Je kama ni kweli ni wazee wa makabila yapi? Kama ni kweli chura ana properties gani kitaalamu ambazo humsababisha kufanya hivyo?
Back
Top Bottom