Natumaini wote ni wazima wa afya,
Naomba kupata maeleze kuhusiana na IBAN na SWIFT CODE za bank, nimejaribu ku-Google Nimesoma maelezo lakini kuna points sijazielewa.
Natanguliza shukrani.
Habari za wakati huu,
Thread zangu napenda kuziweka huku sababu pako active kuliko majukwaa mengine.
Naombeni msaada wa code, nahitaji mtu fulani akinipigia nisipatikane, simdai hanidai ila sihitaji tu kuwasliana nae.
Mwenye anajua namna ya kufanya naomba unielekeze. Natanguliza shukrani.
Sometimes ni ngumu kuchora mstari katika matukio kwamba nguvu hii inaishia hapa na nguvu hii inaanzia hapa hadi pale ila matokeo ya kila kitu huwa yanakuwa wazi na kuacha kila mtu akiwaza na kujipa majibu karidi ya tathmini binafsi.
Ni vema kila jambo linalofanyika liwe kwa maslahi kwa taifa...
Habari za wakati huu ndugu zangu. Naamini humu ndani watu Wana maarifa mbali mbali katika nyanja tofauti tofauti.
Nipo na mahusiano na mwanamke mmoja ambae nmezaa nae mtoto mmoja. Siku kama mbili tatu nyuma nlikua nmetibuana nae ijapo sikuonyesha kwake ka amenikwaza Ila mawasliano nlipunguza...
Mimi naanza na hii
Wapo wanaosema kwamba:
1. Pana genge la uhalifu
2. Panauzwa madawa ya kulevya
3. Ishara ya kumkumbuka raia aliyefariki kitaa
Je ni ishara ipi ya mtaani unayoijua? Tujuzane.
Wakulu wa nchito, nipo Zanzibar kama 2 weeks hivi, ila sasa naona kabisa kama kuna ka kampani ka manzi kanamiss afu kuimport ndio miti yote imeteleza nyani wote chali.
Mwenye code nzuri tafadhali afanye mauchawi maana wanaume hatujaumbiwa mateso kwanini tukule perdiem pekeetu
Habari za usiku wakuu...
Naomba niende kwenye maada moja kwa moja..
Nimekuwa na changamoto ya kufahamu kama simu ni original au ni fake.. hususan kwenye makampuni ya samsung,oppo, iphone na baadhi ya simu..
Maana nasikiaga kuna code za kutest kujua ni org or copy.. naomba nizifahamu kwa...
Asalam aleykum!
Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi. Nilikuwa kama kuna mtu amenisimamisha anataka kuniambia jambo fulani, kwa mbalii nikawa kama nasikia...
Je, nini yatakuwa manufaa / hasara za kuweka QR code kwenye noti za BOT?
=========================
https://www.jamiiforums.com/threads/je-nchi-kuchapisha-pesa-zake-nje-ya-nchi-ni-sahihi.1877297/
===========================
==========================
Habari zenu wana JF wenzangu,
Kwanza nianze kusema kwamba mimi ni miongoni mwa watanzania waliozaliwa katika familia ya maisha ya kati, sio familia tajiri wala masikini.
Pilika pilika za hapa na pale, zilinifanya nihamishie maisha yangu Kaburu ili kuweka mambo fulan sawa. Nikiwa Kaburu...
Ndugu wanajopo,
Kuanzia juzi hadi sasa sijaweza kuingia menu ya MPESA inayofunguliwa kwa code hii *150*00#. Kikawaida nikibofya, ninapata maelezo haya: "USSD code is running" kisha menu inafunguka.
Lakini, kuanzia jana mambo yamegeuka, kanakuja kabox kanachohitaji nijaze "carrier info." Hiki...
Habari wakuu
Nahitaji swift code ya benki ya NMB .Inasomeka NMIBTZTZ. Hiyo character ya tatu ni namba 1 au ni herufi I ? Napiga namba zao za customer care hakuna option ya kuongea na mhudumu!
Habari wadau hope mpo poa
Niende kwenye mada sisi wengine kuclaim mambo ni mwiko tunataka kujua programming very in deep
Sasa km ww ni programmer hope umewah kutumia preprocessors like stdio.H conio.H math.H iostream nk hizo ni preprocessor ambazo zinadefine in built in functions like...
Kila mtu ni kiongozi wa maisha yake hapa duniani, so kuwa na code yako ni muhimu sana. Wote wanaume na wanawake wanapaswa kuwa nayo, tena haswa wa kiume usiishiishi tu. Mfano yangu ni hii hapa:
Mtu yeyote, mdudu yoyote, mmea, mjusi, hata kabakteria kakiishi hivyo katakuwa fresh na mimi kwa...
MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI
BEI: 450,000/=
Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA!
KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
bar
bidhaa
code
date
karanga
kukoboa
kusaga
kusaga na kukoboa
kutengeneza
logo
mahindi
mashine
mbili
mpunga
mpya
ndogo
number
print
printer
siagi
simu
ufuta
DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ...............
(retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi.
..
Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.