Wanasema shamba la bibi hauhitaji ruhusa kuvuna.
Leo nimepokea ujumbe wa SMS kuhusu postcode, ikinitaka kubonyeza *152*00# ili kuona posti kodi yangu. Ajabu ni kuwa postcode hii ni sawa na iliyotumika katika NIDA, najiuliza kwa serikali itumie pesa kufanya jambo ambalo tayari lipo katika mfumo...
Kuna mtu anajiita "Bongo Zozo" na kaulimbiu yake "Fujo Isiyoumiza". Binafsi huyu mtu ananitatiza sana. Anafanya akili yangu iwaze na kuwazua beyond its ordinary scope.
Hivi huyu Bongo Zozo ni nani haswa? Ana mission gani hapa nchini? Ni mzalendo kweli kwa nchi yetu ama ametake cover ili aweze...
Habar wadau
Mdogo wenu bado nakimbizana na mambo ya programming huku sasa nataka nirahisishe mambo kuna mda nadownload source code files in my phone naziextract vzr tu sasa kuna mafile yenye source code yanaishia na extensions km vile
.c,.c++,.h.lib,.py, .vb nk
Nikitaka kuopen haya mafile ili...
Habari wadau !!
Hope mpo poa sisi tupo bado tunapambana na maisha sasa naomba kujuzwa niwezaje kuload au kurun site as site in PHP using XAMPP nota s index of site
Niliwahi kusoma coment moja ya mdau kuna wakati ni lazima usome code za watu ili uwe improved na kurahisisha kazi sasa hio php...
Habari wana jamii Forum
Mimi bado najifunza coding sijaiva sana wala sio mtupu nimejifunza vitu vingi sana katika coding na nashukuru mungu mambo yanaenda vizuri sasa katika kujifunza nikaona itakuwa vyema km nikianza kudownload code za watu na kuzipitia ili niwe na ufahamu mpana zaidi maana...
Habari wana JF
Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) .
Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.