Hapa ndipo tulipopata misemo mingi sana kama ule wa kudadadeki (Nafikiri joti aliutoa katika msemo wa "kulaleki" ukikuwepo tangu 90s), umefulia, etc
miondoko ya aina yake, hapa ndipo tulipogundua wasanii walivyoiba style za wasanii wa nje then joti akawa anawa expose, mpoki kumuiga marehemu...
Kwa muda mrefu sasa kila ninapokutana na video clip ya EFM radio ni ya watangazaji wake wakiwa wanafanya comedy. Hii redio wamehamia rasmi kufanya comedy? Kama hawajahimia mazima kwenye comedy Majizo afikirie kuigeuza EFM jukwaa la Comedy huenda akapata faida zaidi kuliko sasa.
Nahisi huu uzi utafutwa. Napata tu hizo hisia kutokana na mwenendo wa JF miaka hii.
Vijana wanamwona Rais anafanya comedy. Imenifikirisha sana. Sisi tunachukulia serious wao wanaona ni comedy.
Sorry wadau mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ...nina kipaji cha kuchekesha lakini nakosa namna au njia ya kufikisha kwa jamii mana hata chuo nilipo hakuna majukwaa yanayoandaliwa kwa ajili ya burudani . Na nimejarbu kutumia mitandao ya kijamii naona inakua ngumu .naomba kama naweza pata promoter...
Nipo nafwatilia all stars comedy ni mbaya mpaka sasa hakuna cha maana ni wanalia watu pesa zao comedy hawana new things or thoughts 💭 ambazo zina washawishi watu wanaanza kuleta mambo ya mitano tena
Kama huyu comedy si mkubali na sijawai mwelewa kabisa kanajikuta nyodo nyingi kisa kalio
Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimisha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
Imekuwa too much sasa,
Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira
Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
Huu moto wa CHADEMA ni Kuni za moto wa kijani ndani ya CCM kati ya Tanganyika na Zanzibar.
Tutaongea lugha moja ya kupindua meza na kurejesha mamlaka na kufanya marekebisho ya katiba haraka sana.
Embe chini ya mnazi haitatokea Tena.
Sio mimi ni malaika wa bwana wameona mbali.
Pang Fung Mi
Sijui kama jukwaa hili linafaa kwa aina huu ya uzi ila kama mods wataona hapa siyo mahala sahihi basi waupeleke pale panapostahili.
Nataka kuanziasha show ya live stand comedy, mfano wa cheka tu au watu baki. Kwa upande wangu nimejipima nimeona naweza kufanya kitu na watu wakakipenda...
Tunapitia wakati mgumu wa kuchunga kauli zetu tunapozungumza na media au tunapokuwa kwenye majukumu yetu.
Binafsi naendelea kuitafakari kauli ya CEO Kasongo kutupiga marufuku wasemaji kufanya mzaha kwenye statements rasmi za klabu. Ni kweli kuna kundi la watu hatuwatendei haki kwa kufanyia...
BEN STILLER
Miongoni ya Movies zake:
1: Night at the museum
2: Along came Polly
3: Meet the Fockers
4: Tropic Thunder
5: Zoolander
ADAM SANDLER
Miongoni ya movies zake:
1: Anger Management
2: Grown ups
3: Zohan
4: Just go with it
5: Blended
Salute.
Kuna wakati huwa najiuliza sana juu ya huyu jamaa, aliwahi kuwa marufu sana hadi mwishoni mwa miaka ya 2011 kama sijakosea. Ni muda sasa sijawahi kusikia anaendeleaje. Sijui nani anataarifa zake jamani. Mashabiki tunataka kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna ajuaye atakufa lini, ila kuna life style usipozingatia unajiwahishia mwenyewe kaburini,
Tupac nilijua atauliwa tu baafa ya diss track ya Hit them up, Amina Chifupa alijua atakufa baada ya kusema atawataja wauza udaga, Langa, Mangwea walijiwahisha mbele za haki sababu ya udaga, huenda...
Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu.
Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana wachekeshaji (comedian) kila kona ya Tanzania. Ukiwakuta vijana wana camera mtaani lazima tu watakuwa...
Zangu ni
1: Dumb and Dumber 1 and 2
2: Anchorman 1 and 2
3: Ace Ventura 1 and 2
4: Superbad
5: Stepbrothers
6: Scary Movie 3 na 4
7: Naked Gun zote
8: Tropical Thunder
9:Blended
10: Friday
Mm napenda a good laugh,hasa nikishamoka,pembeni nipo na juisi yangu pendwa ya miwa na vichapuza,then niweke muvie Kali ya komedi nichekee mpaka basi.
Katika safari yangu ya kucheka nimegundua kuwa kucheka sio rahisi kwani movie itakayokuchekesha Leo kesho utaona ya kitoto so laughing is hard...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.