Hello Bosses,
Nimeshtushwa na hili. Je, ni halali kwa taasisi ya elimu kuwa chanzo cha mapato kwa Serikali?
Nimeshtuka kuona IFM kutoa gawio karibia billion 2, juzi hapa nimemlipia dogo ada 1,800,000+, ada tu bila hostel hela ya kula na kujikimu.
Tumefika mbali sana hadi elimu ni chanzo cha...