Mwasisi na mmiliki wa taasisi ya Alsamood ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Comrade Samira Khalfan Amour alifika katika ajali ya kuungua mabweni shule ya sekondari ya wasichana Mubaba na kuchangia mashuka 128 ili kuwafuta machozi wanafunzi hao.
Taasisi ya Alsamood inayomilikiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.