PreGE2025 Comrade Samira Amour ni msaada mkubwa wa watu wa mkoa wa Kagera, awafuta machozi wanafunzi

PreGE2025 Comrade Samira Amour ni msaada mkubwa wa watu wa mkoa wa Kagera, awafuta machozi wanafunzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Mwasisi na mmiliki wa taasisi ya Alsamood ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Comrade Samira Khalfan Amour alifika katika ajali ya kuungua mabweni shule ya sekondari ya wasichana Mubaba na kuchangia mashuka 128 ili kuwafuta machozi wanafunzi hao.

Taasisi ya Alsamood inayomilikiwa na Comrade Samira Khalfan Amour ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa wafanyabiashara wa wilaya ya biharamulo amekuwa mstari wa mbele kutatua changamoto mbalimbali za jamii mkoani Kagera
IMG-20250607-WA0020.jpg
a.
 
Anataka kumuondoa nani kwenye ubunge??
 
Back
Top Bottom