Kelele zote ulizokuwa unazisikia mwaka jana ilikuwa ni Confederation Cup.
ukisikia Sakho kashinda goli bora la CAF basi ujue alilipatia kwenye Confederation Cup.
Ukisikia sijui Simba timu ya kwanza kutumia VAR mechi na Orlando, hiyo mechi ni CAF Confederation Cup.
Mwaka huu Yanga imefanikiwa...
Full time
Anakosaaaaaa, kipa wa Azam FC anapangua penati.
90' Al Akhdar wanapata penati.
87' Shambulizi la Al Akhdar mpira unagonga nguzo.
63' Wenyeji wanamiliki mpira na kufanya mashambulizi kadhaa.
50' Azam wameonesha utulivu, mchezo umepungua kasi.
Kipindi cha pili kimeanza
Mapumziko...
Kipindi hicho 2018 Yanga na Al hilal walifanikiwa kuingia group stage 2018 kombe la shirikisho ukilinganisha takwimu zao utagundua kuwa Al hilal ni timu ya kawaida sana Si kama wanavyoipaisha wachambuzi wa kibongo
Ukizungumzia magoli ya CAF CC Aziz Ki ana magoli mengi kuliko SAKHO na yumo kwenye orodha ya wafungaji bora amefunga 3 sawa na nusu ya magoli 6 aliiyonayo Adebayor mfungaji bora.
Mfungaji bora hupatikana kwa takwimu tofauti na goal of the year awards ambalo hutokana na maoni tu ya followers wa...
Wale wanaobeza ushindi wa goli moja wa Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini, ni vizuri wakafahamu kuwa:
2. Kati ya timu NANE zilizoingia robo fainali ni timu MBILI tu zilizoibuka na ushindi kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali, timu hizo ni SIMBA na Al Masry. Al Masry iliifunga...
Kwa kuwa Simba wameingia nane bora ya Caf confederation cup si vibaya tukawaambia kuwa wao siyo wa kwanza kuingia na Mwaka 2016 Dar es salaam Young Africans waliingia nane bora kisha yakapangwa makundi mawili
katika hatua hii Yanga walibahatika kumchapa MWARABU Mo Bejaia ya Algeria bao moja...
Droo ya Robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo saa 10 jioni.
Simba Sports Club wakiwa Wawakilishi pekee wa Tanzania Wanataraji kukutana na timu moja ya TP Mazembe ya DR Congo, Al Ahly Tripoli ya Libya na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Soma...
The knockout stage draw for the 2021-22 TotalEnergies CAF Confederation Cup will be conducted on Tuesday 05 April 2022 in Cairo.
You can watch the draw live on CAF platforms at 15:00 Cairo local time (13:00 GMT).
Eight teams won their ticket for the knockout phase: Al Ahli Tripoli...
Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano
Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli hao hao walichezea kichapo cha bao 2-0 kwa biashara united kwenye hatua za mwanzo mwanzo na...
CAF: SIMBA YAIFUNGA GENDARMERIE 4-0, YAINGIA ROBO FAINALI
Timu ya #Simba imefanikiwa kuingia Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya US Gendarmerie kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, usiku wa Aprili 3, 2022.
Matokeo hayo ya michuano hiyo...
Klabu ya Simba leo Jumapili March 20, 2022 inashuka kwenye Dimba la Stade de L'amitie General Nchini Benin kukiwasha na ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast kwenye mchezo wa marudiano hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC.
Huenda mchezo ukawa mkali na wa kusisimua kwa vile kila...
Leo ni sikukuu kwa wapenda kandanda nchini Tanzania.
Mnyama Mkubwa mwituni, Simba Sc atashuka katika dimba la Benjamin Mkapa kucheza dhidibya RS Berkane ya Morocco majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Simba itaingia dimbani huku ikiwakaribisha nyota wake waliotoka majeruhi...
Leo majira ya saa 4:00 Usiku, RS Berkane watakuwa wanawakaribisha Simba Sc katika mchezo wa tatu wa CAF Confederation Cup katika dimba la Stade Municipal de Berkane, nchini Morocco.
Katika mchezo huu, Simba itawakosa Jonas Mkude, Mugalu na Israel Mwenda kutokana na sababu mbalimbali...
Muda mchache ujao, wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Caf Confederation Cup, Simba SC atashuka dimbani ugenini nchini Niger, kumenyana na wenyeji wao, US Gendermerie katika dimba la General Seyni Kountche ambaye alikuwa kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo na kiongozi wa mapinduzi ya 1974...
Pots kwa ajili ya kupanga michezo ya play-off kwenye kombe la shirikisho barani Afrika imetoka na mchakato wa kupanga mechi hizo za nani anakutana na nani?, Zitafanyika kesho Oct. 26
CAF Confederation Cup Play-off round POTS
Draw Procedure
POT 1 vs. POT 2
POT 4 vs. POT 3
POT 1
7 Highest...
Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui.
Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa.
Ukiwa mkubwa ni mkubwa tu. Maana watu wanaumia na kwa wale mashabiki wenzangu na mi...
fanali ya kombe la shirikisho inapigwa leo Raja casablanka ya morocco vs Js kabliye ya algeria
Mchezo upo unaendelea Raja anaongoza 2-0
kwa wale wazee wakubeti hii mechi itaisha hivi hivi wekeni mizigo
Huu ndio msimamo wa mwisho wa match za makundi za CAF Confederation CUP 2020/2021. Je kwanini Vigogo kadhaa toka nchi za Africa Kaskazini zimetupwa nje ya mashindano?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.