Namungo FC watakutana uso kwa uso na Primeiro de Agosto ya Angola katika hatua ya mtoano ya mashindano ya Kombe la shirikisho barani Afrika.
Timu hiyo ya Ligi Kuu ya Tanzania ambayo inacheza mara ya kwanza katika hatua hii, itacheza ugenini kabla ya mechi ya nyumbani ambapo mchezo wa kwanza...
Kama tunavyojua kwa sasa, marais wa Jumuiya waliamua kuwa kongamano la kisiasa (confederation) itakuwa muungano wa kisiasa wa mpito wa kukaribisha shirikisho la kisiasa (federation). Tofauti kubwa kati ya kongamano la kisiasa na shirikisho la kisiasa ni kuwa uanachama wa au kuondoka kongamano ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.