Habari,
Kama nilivyotanguliza kichwa cha habari hapo juu nilikuwa na mpango wa kwenda uingereza kukusanya vitu used vya majumbani na viwandani mfano mashine ndogo ndogo na kubwa kwa makubaliana na mwenye nacho na pia vifaa vya majumbani na madukani kwa wale wanaosafisha stoo na wengineo.
Sasa...
Business as usually guys tumepata matumaini mapya sasa tufanye kazi, nitawaletea fursa za connection international and local with conditions to be respective on the agenda.
1)Lets start with kisiwa kinachouzwa Vitnam person owned.
Details:
ISLAND FOR SALE
Province Kien Giang, Vietnam,
114...
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara...
Hivi sasa kutafuta ajira Tanzania ni kazi ngumu sana.
Ukweli ni kwamba kuna watu wengi zaidi wanatafuta ajira lakini wanakosa connection ya watu either hafahamiki na watu wenye potential au hata baadhi ya machimbo ya kwenda kujishikiza hayajui.
Unakuta mtu kamaliza chuo hana hata pa kuanzia au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.