Kwema Wakuu. Nahitaji Mtu wa Kunisaidia Niunganishiwe Huduma Tajwa Hapo Juu (kwa Haraka).
NB:
1. Nyumba Ipo Hapa Arusha (Ya Wapangaji)
2. Mimi ni Muajiriwa Mahali na Sina Muda Wakwenda Kupanga Foleni AUWSA kufuata Procedure/s
Karibu PM tuyajenge/tumalizane
Wakuu Habari zenu
Nina mdgo wangu anahitaji kusoma kosama kozi za afya
Lakini matokoe yake Ya advance pamoja na ukweli na competition... ni ngumu kutoboa tofauti na miaka ile Sisi tunasoma div2 ya 10 unapata kozi yoyote ya afya..
Dogo Kavurugwa anataka kozi za afya
Nime jaribu kumshawish...
Hawa jamaa bana ni miyeyusho yani sijui hata wanafanya vipi kazi. Ukiangalia kwa sasa kasi ya watu kujenga maeneo ya pembezoni mwa mji imekua kubwa lakini hawa jamaa siwaoni kabisa wakitimiza majukumu yao ya kupima viwanja kwa kasi ili watu wanapojenga, haya maeneo mapya angalau yawe na...
Habari ndugu zangu wa JamiiForums, am Mechanical Engineer by professional in oil and gas industries, niko natafatu connection za kazi za nje ya nchi hususani Canada, Belgium, France na Germany.
Msaada kwa mwenye connection.
Sio kwamba nimesimuliwa hapana.
Huyu jamaa yangu alihitimu bcom in accounting kutoka pale udbs miaka kadhaa iliyopita.
Basi majuzi kati tuko nae ghetto tunapiga mvinyo tukaona tangazo kutoka kwenye kampuni kubwa mafuta lenye makao makuu yake huko Uingereza wakihitaji mhasibu kigezo ni uwe na...
Hi!
Hapa Dar kazi nzuri sekta binafsi, NGO's, serikalini zipo za kutosha ila kama huna Connection utaishia kushobokea kazi za kutembeza vyombo vya promotions zinazotangazwa kwenye nguzo za umeme. Wanalipamba tangazo vizuri ukienda ofisini kwao unakutana na mabeseni.
Fursa za scholarship nchi...
Habari wakuu,
Umri wangu ni miaka 28. Nimekuja kwenu kuomba ajira au mtu yoyote anayeweza kunisaidia kupata ajira au Connection.
Jinsia: Me
Elimu: Bachelor Degree of Banking and Finance.
Ninapoishi: Dodoma
Uzoefu wa kazi : Sina uzoefu mkubwa kwenye Carrier yangu zaidi ya kufanya Field mara...
Taarifa hiyo kwamba raia wa Zimbabwe wanauza vidole vyao vya miguuni ili kukabiliana na umasikini imesambaa sana nchini Nigeria.
Mwanablogu mmoja wa Zimbabwe amedai kwamba biashara hiyo inafanyika katika kituo kimoja cha maduka katika mji mkuu Harare. Inanukuua ujumbe wa WhatsApp ukiwa na...
Habari za muda huu 'Wajumbe'.
Heshima yenu nawapa...
Nimekaa na kufikiria sana, nikagundua karibia kila mtu anahitaji mtu mwingine kwa ajili/sababu flani flani ili kuwezeshana kufika mahala fulani.
Maisha ni kutafuta na kutegemeana. Hivyo basi, hata uwe katika hali nzuri sana 'Title', hali ya...
Wastaafu hebu tukutane hapa tupeane taarifa za kupambana mtaani, changamoto mbalimbali na connection mbalimbali na kielekezana na mbalimbali kukabiliana na maisha ya mtaani
Ebu kila mmoja leo ajaribu kushare namna alivyofanya mpaka kupata connection yake iliyompa ajira aliyonayo.
Binafsi najitahidi sana kutafuta connection za ma hr wa kwenye mabank hasa nmb bank but siwapati.
So hebu jaribuni kushare experiences zenu hapa please.
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Ndugu zangu, mimi nataka kununua TV ya mtumba. Ila sijui nianzie wapi. Kariakoo nimeenda ila nimekuta TV nyingi pale ni za dukani (yaani mpya).
Kama kuna chimbo za TV za mtumba pale karikoo basi naombeni mwongozo wenu.
Au kama kuna muuzaji wa TV za mtumba...
Habari za wakati huu;
Ndugu zangu hapa jukwaani nimekuwa nikiona watu wengi wakihangaika juu ya kukosa wateja wa bidhaa au huduma zao na wengine wakilalamika juu ya kukosa connection.
Connection au mtandao nini?Connection au mtandao ni orodha ya watu ambao wana uwezo wa "kukuwezesha".Iko hivi...
Mfano mkubwa Dr. Mwele, Kwa kweli watoto wa Mzee Malecela wana Akili. Sasa nimechoka kwa watu kusema mtu Huyu kapata Hii kazi kwa ajili ya mzee.
Sasa Hivi head lines zote za Dr. Mwele ni mtoto aliyekuwa Waziri Mkuu. Dr. Mwele was bigger than her own father, she was not a politician.
Nakumbuka Makonda alivamia Clouds.
Nape akaingilia kati enzi za mwenda zake.
Nape akoonyeshewa Bastola na mwenda zake akamuondoa kwenye nafasi yake.
Makonda akaendela kushika hatamu/patamu.
Wakati huo magazeti ya Kubenea yakafungiwa enzi za Mwenda zake.
Mama kaingia madarakani....
Kamteua Nape...
Kuna mambo unaweza shindwa elewa yanaendaje hapa nchini
Mimi nimewaza kua Meena Ally kasema ile video sio yake na kasema huyo dada anafananishwa na yeye ila sio yeye.
Swali la kujiuliza ni kwamba Kama huyo mwenye video sio yeye Sasa yeye kafungua kesi ya nin polisi kuhusu hiyo video?
Anataka...
Kwa ufupi unakuta kijana kasoma chuo, kakaaa mtaani zaidi ya miaka tano (5) hana ajira, kijana huyuhuyu unamkuta kwa mangi ama kwenye baa za kawaida anafakamia kongagi ama K- vant kupunguza stress.
Sasa ngoja niwape siri ukitaka kufanikiwa mara moja moja tembeleeni hotel kubwa kubwa mfano ( sea...
Wakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.