Samahani naitwa Clause Michael mng'ong'o nipo njombe Makambako,naomba kama Kuna dereva wa it au mtu ana connection na madereva wa it naomba kuwasiliana naye 0765091194 WhatsApp au kawaida.
Habari zenu wanajamvi, kama nilivosema
Nahitaji vifaa jenzi used lakini vilivyo katika hali nzuri kama vile bati za migongo mipana, nondo ml.12, gypsum, tofali n.k
Kwa bomoa bomoa inayoendelea kariakoo vitu hivyo vinaweza kupatikana kwa bei rahisi naomba mwenye connection ani-pm au aweke hapa...
Huu msemo nineukuta kigoma hapa maeneno ya ujiji, nilienda kutembelea njia za watumwa, Livingstone n.k nimeambiwa story ya mzee mmoja aliekuaa anaitwa juma njemba huyu jamaa nasikia alikua noma gwijii, akikwambia leo jioni haifiki ujue umeenda hivyo wala hakuna mjadala, lakini alikua hakupi...
Kwenye Sector ya usafiri kuna Ma mafia wengi sana. I just saw picha ya gari la mzigo tena loose cargo inasafirisha wahamiaji haramu nikashangaa sana.
Yaani gari ukiona mzigo ni bomba za maji zimewekwa kwa kichanja. Ila ndani kuna chumba raia wamepumzika wanasafiri na maisha yanaendelea.
Sasa...
Wakuu,
Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone.
Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo.
Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri...
Habari zenu Wakuu.
Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua.
Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kiasi chochote kulingana na uwajibikaji wangu watakavyoona.
Naishi Dar es salaam, Ni fresh...
Fredick Sumaye aliyekuwa waziri mkuu wa Mkapa aliwahi kusema. Ukitaka mambo yako yanyooke jiunge na CCM. Je, kiboko ya wachawi hakuzingatia huu ushauri?
Pamoja na sababu zote zitakazosemwa ku justify kifungo chake bado kuna wenzake waliotenda mabaya zaidi na bado wanadunda kwa raha zao.
Kuna...
Wakuu Nina mgonjwa anatakiwa operation ya ziwa, naomba nisaidieni agency contact au watu wanaohusika na matibabu ya kwenda India. Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwa waungwana. God Bless You.
Naomba msaada kwa mwenye kujua watu wanao husika na utoaji wa haya mafriji ya vinywajk ya kampuni.
COCACOLA
PEPSI
BEER
Nayahitaji kwa hali na Mali naomba msaada ili niweze fungua biashara ninayoitamani kwa kuanza nayo hayo kisha baadae nitaweka yangu binafsi.
Kuna wengine wanatoa ma Freezer...
Habari
Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania.
Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi kinapatikana na aina ya products inayo zalisha
Hii itasaidia Kwa wale wafanya biashara wanao taka...
Habari
Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania.
Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi kinapatikana na aina ya products inayo zalisha
Hii itasaidia Kwa wale wafanya biashara wanao taka...
Wakuu habari za saizi
Nimekuwa na wakati mgumu sana hivi karibuni.
Nimebahatika kuitwa katika interview zaidi ya 3 lakini zote zimekosa sababu sina expirience yani uzoefu
Naomba kwa yoyote mwenye connection ya sehemu ambayo naweza ku gain and grow up popote pale niongeze uzoefu nitafanya bila...
Siasa hizi jamani! Waliopona uraibu wa madawa ya kulevya waziri mkuu ametoa hoja tamisemi huko wapewe ajira ...vipi inawatazama vipi vijana ambao wanaelekea kutumia hayo madawa sababu ya kukosa muelekeo wa maisha...kumbe wanasuburi waharibikiwe alafu ndo waje watoe ajira Kwa wagonjwa
Wakuu naomba mtu atakayeweza kunipa connection pale ofisi ya utumishi wa umma. Nataka nipate mtu pale anisaidie kupush jambo langu la uhamisho/kubadili kada
Nina kiasi flani naombeni ushauri nifanye biashara gani
Kwa kiasi flani naweza kufanya biashara gani
Nimeachiwa urithi kiasi kadhaa nifanye biasara ipi
Hayo ni baadhi ya maswali yanayoonyesha wazi kwamba mtu hana uzoefu wala connection ya kufanya biashara, watu wengi wa aina hii biashara zao...
RIWAYA YA CONNECTION
Mtunzi: Robert Heriel
Mwaka 2024
Riwaya; CONNECTION
Kazi hii itarushwa katika mitandao kwa akaunti hizi:
Facebook: Robert Heriel Tz
Jamii Forum: Robert Heriel Mtibeli
WhatsApp +255693322300
Maandishi ya Robert Heriel Kwa Lugha ya Kiswahili. Hairuhusiwi kunakili na...
Habari za majukumu wakuu,
Najua ngumu watu kukupa njia ya mafinikio ila najua wapo wanaoweza kunipa.
Nimejaribu kutafuta uzi wa kwenda nchi jirani kusaka vibarua ila naona wengi waliuliza tu namna yakufanya biashara uko kumaanisha kuwa wako vizur kiuchumi.
Mi niko tofauti sina changu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.