Jana nimeanza kuitumia simu hiyo ila dosari iliyopo haiwezekani kupiga,kupokea simu,sms wala net.
Je, kunanamna ya kuondoa hilo tatizo? Ikumbukwe nilinunua nikijua ni kopi
Wanasemaga huwezi kujua thamani ya kitu mpaka kipotee, ukiwa nacho waweza kukichukulia poa lakini kipotee sasa, tena kiwe na attachment yako ya maisha yako, historia, mali zako, elimu, n.k.
Binafsi nkumbuka kuna siku nimeenda jengo flani nikapaki gari huku nimeacha laptop, ile narudi nakuta...
Hope Mungu ni Mwema kila wakati
Na wale wagonjwa na walioko Gerezani Mungu awafanyie wepesi ili mpate kupona na kuishi katika Faraja
Naomba Mtu mwenye kitabu Cha Oedipus of the king soft copy anitumie natanguliza Asante na Neema za Mungu ziwe Juu yenu watu wa Mungu.
Habar Wana jf,
Kwa wenye ufahamu zaidi kuhusu hili je unaweza kusajiliwa chuon Kama una copy ya Chet Cha form four kwa mtu aliyepotelewa na Chet original au haiwezekan mpk Chet chenyewe ndo unasajiliwa nasemmea kwa first year wakat wa kuliport chuon
Urgent: ninahitaji id copy ya NIDA,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata
Najua humu kuna watu wa aina mbalimbali,na wenye uwezo tofauti
Naomba msaada
Amina, arusha Tanzania
Urgent: ninahitaji ID COPY ya NIDA, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata.
Najua humu kuna watu wa aina mbalimbalina wenye uwezo tofauti
Naomba msaada
Amina, Arusha tz
Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
Mrisho Mpoto alianza enzi na mashairi yaliyomleta kwenye ramani akianza na lile la "Mpendwa mjomba, tumetengenishwa na ukuta..."
Watu wakamuelewa na namna yake ya kughani, wimbo wa mwisho wa aina hiyo ilikuwa Sizonje, baada ya hapo naona hali imekuwa tofuati.
Sidhani kama anaweza kukaa...
Msaada:
Naomba kuuliza ofisi za Copy Cat Tanzania ziko wapi maana kwenye mtandao hawapatikani na pale ofisi zao Victoria hawajaweka bango kuonyesha wamehamia wapi
Asante
Send an electronic message to the President
Before sending a message to the President via electronic form, make sure you read the following information.
1. Messages sent in electronic form to the official presidential website are sent first to the Presidential Directorate for Correspondence from...
Kuna Nyuzi zangu Kama nne nimeona watu kama sita wana copy na kutumia,
1.Nilileta ule wa MOSCOW na DR SHIKA watu wakaenda kuifanya Simulizi YouTube wakapata Viewes bila hata kuni acknowledge...
Wakuu,
Nilinunua simu Redmi Note 10 pro ila sidhani nasema sidhani kama hii ndio simu yenyewe.
Kama vile sijapenda Camera, battery ni 5,000Mah lakini haikai saana, camera ni 108px ila na yenyewe kama vile siielewi.
Sijawahi kutumia hii product na hii ndio mara ya kwanza. Nawezaje kuitumbua...
Habari wadau.
Nani anajua vizuri hizi airpods pro copy. Naona kila anaeuza zake zina utofauti tofauti. Sasa nashindwa kujua ipi ni bora kwa sasa.
Naombeni ushauri wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.