Mbiu ya kampeni ya kugombea urais ya Lissu ilikuwa Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
Pia aliahidi akipata urais atawaachia mashekhe wa uamsho ndani ya siku 100 za uongozi wake...
Habarini wadau,
Naombeni Msaada kulingana na nilivyoeleza hapo juu. Mwenye nayo anitumie kwa email; unclekaso@gmail.com au WhatsApp Na. 0739947397
Nimejaribu kuitafuta kwenye website ya chuo haifunguki. Ahsanteni
Nnalo kwenye sim hili game nashukuru nimevuka hatua kama 4 ila nimekwama hapa kila nikitia mkono nagongwa
kama nguruwe nwaza sijui ningekuwa na watoto wangap😅😅
Msaada wenu tafadhali
nina shida sana na copy ya kitambulisho cha kwaajili ya bank akaunt nilipewa emaili ya meneja wa NIDA wa Iringa lakini maeneo ya kazi wanakwepa kutuma barua ya dharula kwa njia ya email
kuna anayeweza kunitolea copy ya kitambulisho cha nida
humu sipo sana coz simu kubwa sina
ni very serious...
USED HP Deskjet 4515
-Print, scan na copy
-Inaprint black na rangi
-Inaprint two sided
-Ina wireless print access
- 6.73 cm touch screen
-Ipo kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote
-Bei laki mbili na elfu hamsini (250,000/=)
-Mawasiliano: 0658322565
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.