Idadi ya vifo vinavyotokana na Ugonjwa huo imezidi 400,000. Nchi hiyo ni ya pili duniani kurekodi vifo vingi zaidi huku ikiendelea kupambana na mpango wake wa utoaji Chanjo.
Ndani ya saa 24 zilizopita vifo 3,001 vimerekodiwa. Bunge la Nchi hiyo limeanza uchunguzi kuhusu namna Serikali...
Wakazi wa Florida wameingiwa na hasira wakati wanasayansi wakijiandaa kuachia mamilioni ya mbu wa ambao wamefanyiwa marekebisho ya jini, kuanza maisha katika maeneo yao, gazeti la The Telegraph limeandika.
Jaribio l utafiti, linaloongozwa na kampuni ya Oxitec, litahusisha takriban mbu milioni...
Wanangu wana jamvi. Wamarekani ni watu wa ajabu sana. Wanasema kwenye nembo ya taifa lao IN GOD WE TRUST.
Ila kiukweli inapaswa iwe IN GUN WE TRUST. Wanapenda sana bunduki kiasi cha kumalizana wenyewe kwa wenyewe. Wanachukia ugaidi wa nje lakini wanafanyiana ugaidi wa ndani kwa kutumia...
Mabibi na mabwana corona imepiga katika mataifa yote, lakini hili la India ni hatari tupu:
https://www.bbc.com/news/world-asia-56919924
Wenzetu India wananyolewa vilivyo hivi sasa. Je sisi tunatahadhari au mikakati ipi kutoangukia kwenye zahama kama hili?
Tume ya Corona ya mama iko wapi...
Ukitembelea tovuti ya Amnesty International ukurasa wa Tanzania utakuta wamebandika andiko wakitaka kamati iliyoundwa ya corona itumike kuhakikisha kuwa Watanzania wanachanjwa chanjo ya corona.
Kinachonishangaza ni kuwa mataifa ya nje yanaongeza sana shinikizo kwa mama kuhusu corona. Wanaingia...
Kumbumbu zangu zinasema CORONA iliingia kwa nguvu toka India mwaka jana, baada ya kuwepo tamasha la Diwali lililoalika watu toka India kwa wingi.
Tanzania na India tuna mahusiano makubwa ya kibiashara na watu wengi huja na wengine kwenda India.
Sasa hivi gonjwa la covid linatesa huko India...
Hivi mimi ni nani hadi nisishuhudie maajabu ya Mungu kwa Nchi yetu!
Kwa sisi tunaosafiri hasa Nchi za wenzetu kwa namna wanavyohangaishwa na Corona na ukiringanisha na namna tunavyoishi hapa kwetu Tanzania hakika mapenzi ya Mungu kwa Nchi yetu ni mema sana.
Hilo la kimbuga Jobo pia kutokuleta...
Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi.
Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims
HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI
Christian Drosten na watengenezaji wenzie wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika...
Sudan Kusini yaharibu chanjo 60,000 Corona.
Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopitaImage caption: Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopita.
Sudan Kusini imeharibu chanjo za virusi vya corona aina ya AstraZenica ikisema kuwasili nchini humo...
Wanafunzi waliomalizi kidato cha nne wamelala katika viwanja vya Uhuru Park jijini Nairobi baada ya kukamilisha mitihani yao ya mwisho.
Hii ni baada ya kushindwa kuendelea na safari yao ya kuelekea nyumbani baada ya muda wa amri ya kutotoka nje kuwapata wakiwa bado hawajaondoka mjini humo...
Habari JF,
Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote
Tanzia nyingi...
CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa! Ulaya sababu ya...
India imerekodi visa 200,739 ndani ya saa 24 zilizopita huku Hospitali nyingi zenye wagonjwa wa Virusi vya Corona zikiripoti uhaba wa vitanda na Oxygen
Taifa hilo linakabiliwa na wimbi jipya la maambukizi ambalo kitovu chake ni Maharashtra, lilipo Jiji la Mumbai. Zaidi ya robo ya maambukizi ya...
Kwa hakika maradhi ya corona yameutikisa ulimwengu pakubwa sana. Kama ilivyo kwa maradhi yenyewe kutokueleweka vyema, pia na chanjo zake zimekuwa za kubahatisha sana kiasa kwamba tunaweza tukaziita chanjo za ovyo.
Chanjo 4 kubwa ndizo ambazo zimeshatangazwa na kuuzwa nje ya nchi...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19
Ametaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na mataifa mengine duniani ili kujikinga ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha...
👉 Upinzani wa mtandaoni (keyboard opposion) ukiongozwa na Kigogo, Maria Sarungi na fatuma karume ulilipigia sana kelele ila sasa hawalizungumzii kabisa licha ya serikali kutokubadilisha msimamamo wake juu ya janga hili
👉 Viongozi mbalimbali wameondoka katika kipindi cha hivi karibuni huku...
Habari Wadau!
Repoti ya CAG imemchafua sana Hayati JPM na kwa kuwa kashakufa hana pa kujitetea wapo tunaotamani hata tukamfufue ili aje kumjibu Kicheree.
Lakini sasa hayupo hata tukimtuhumu ni kazi bure, tunajichumia wenyewe dhambi na malipo ya dhambi ni hapa hapa duniani.
Ila sasa kwa...
Pamoja na kwamba maambukizi ya maradhi ya corona nchini Brazil kutajwa kuwa makubwa na kwamba siku ya Ijumaa pekee watu zaidi ya 4000 walikufa kutokana na athari za maradhi hayo.
Pamoja na hivyo nchi hiyo imeamua kufungua kila kitu ikiwemo mashule na mighahawa ili shughuli ziendelee.
Hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.