corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sam Gidori

    Rais wa Brazil kuchunguzwa kutokana na jinsi anavyopambana na corona

    Mahakama Kuu nchini Brazil imeamuru Baraza la Senate kuchunguza jinsi serikali ya nchi hiyo ilivyodhibiti maambukizi ya virusi vya corona, huku ikikataza makanisa kufunguliwa na kuzidisha uwezekano wa kuongeza mvutano baina ya Rais Jair Bolsonaro na mhimili wa mahakama. Uchunguzi huo utahusisha...
  2. D

    #COVID19 Naomba ufafanuzi kutokana na hali ya Covid 19 nchini Ujerumani

    Jana tarehe 7.4. 2021, Radio DW iliutangazia ulimwengu kwamba Ujerumani imepata maambukizi mapya ya Corona kwa kiwango kikubwa sana na wanajiandaa kusitisha baadhi ya shughuli ili kujikinga na maambukizi. Kutokana na taarifa hiyo, naomba mnisaidie kujibu maswali haya: (1) Je, Ujerumani...
  3. Chaliifrancisco

    Dkt. Hamis Kigwangalla: Msimamo wangu kuhusu tiba ya Corona

    Juzi nilialikwa na kushiriki kwenye mdahalo wa ‘Zoom’ ulioandaliwa na Nadj Media Center. Mjadala ulikuwa mzuri na mkali sana. Kwa kuanzia nataka ieleweke kuwa nilichokisema hakina lengo la kufubaza heshima (legacy) ya mtazamo/msimamo wa hayati Rais John Magufuli hata kidogo. Niliunga mkono sera...
  4. Webabu

    #COVID19 Kamati ya Kuchunguza Covid-19 iwe makini sana na hadidu rejea

    Kamati iliyoahidiwa na mheshimiwa Rais Samia Suluhu ya kuchunguza corona inabidi iweke hadidu rejea zake kwa umakini bila kupendelea upande wowote.Mambo yafuatayo ni muhimu kuyaweka kwenye utafiti wao. Jinsi corona inavyoambukiza watu wa rika tofauti na sababu zake? Je, dawa za kiasili...
  5. Nyendo

    #COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu. Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu. Rais Samia...
  6. Mtini

    #COVID19 Muda ni mwalimu mzuri: Waliochoma chanjo ya Corona pekee ndio watakaoruhusiwa kufanya ibada ya hija

    Tulipopiga kelele kuhusu hili suala tulionekana ni mazuzu, viongozi wa Bakwata walikuwa busy kumsifu na kumtukuza mfalme huku wakisema hili jambo ni story za kitaa. Muda ni mwalimu mzuri, haya wote tuongee lugha moja sasa. ======== Mamlaka za nchini Saudi Arabia zimesema watu waliopata chanjo...
  7. Geza Ulole

    Seven deaths in UK among AstraZeneca jab recipients after blood clots

    Seven deaths in UK among AstraZeneca jab recipients after blood clots SATURDAY APRIL 03 2021 This picture shows vials of the AstraZeneca Covid-19 vaccine in Paris on March 11, 2021.AFP PHOTO By AFP The UK medical regulator said Saturday that out of 30 people who suffered blood clots after...
  8. Analogia Malenga

    Uingereza: Chris Whitty asema hakuna haja ya lockdown, wataishi na Corona kama mafua

    Afisa Mkuu wa Tiba na Mshauri wa Tiba wa Uingereza, Chris Whitty amesema hakutakuwa na lockdown wataishi na #COVID19 kama mafua. Ameshauri Serikali yake kujifunza kuishi na #CoronaVirus pia amesema vinavyotajwa kuwa virusi vipya ni uongo. ====== The idea that Covid variants can be stopped...
  9. Analogia Malenga

    #COVID19 Madagascar yakubali kupata chanjo ya Covid-19

    Madagascar imeamua kubadili mtazamo wake juu ya kukabiliana na virusi vya corona na kujumuika na jitihada za kimataifa kupata chanjo ya corona. "Kuna hatua kadhaa ambazo inabidi kupitia kabla ya kupata chanjo hiyo lakini kujisajili ndio jambo la msingi na hatua muhimu kabla ya kupata chanjo...
  10. Erythrocyte

    Hawa wameanza lini kampeni dhidi ya Corona ?

    Mbona kama sielewi ?
  11. K

    Hatimaye Uingereza yanyoosha mikono na kupendekeza kufuata nyayo za hayati Magufuli kuhusu kupambana na Corona

    Wakuu, Habari za asubuhi, Hayati Magufuli alikuwa anaona mbali sana kuhusu hili gonjwa la corona, japo baadhi ya watu wa ndani ya nchi, mataifa jirani na nchi za magharibu walikuwa wakibeza sana misimamo yake. Mshauli mkuu wa masuala kiafya wa uingereza kaona kujifungia ndani/lockdown...
  12. B

    Covid-19: Madagascar yajisajili kwenye mpango wa chanjo za bure, COVAX

    Mabibi na mabwana pana habari za kutia moyo sana tokea kwa wale magwiji wa tiba ambako mh. Kabudi aliwahi kufuata dawa ya kutibu Corona kwa niaba yetu. Hatimaye Madagascar rasmi wamejisajili leo kwenye ule mpango maarufu wa chanjo za bure COVAX...
  13. MK254

    Raila Odinga anaelekea kushinda vita dhidi ya corona iliyomuathiri, hongera viongozi wetu kwa kuweka kila kitu wazi

    Huu ni mfano mzuri sana kiuongozi, corona sio gonjwa la aibu hadi ufiche fiche mara sijui changamoto la kupumua na pumba zote.... ODM leader Raila Odinga is out of danger, having tested negative for Covid-19. The news was announced on Wednesday, March 31, by the ODM party on social media...
  14. Shadow7

    Mexico wabuni mtindo mpya wa Barakoa dhidi ya Corona

    Watafiti nchini Mexico wanadai kuwa wamebuni mtindo mpya wa Barakoa (mask) ambao utamuwezesha mtumiaji kuweza kula, kunywa na hata kuzungumza huku akiwa bado amejilinda dhidi ya Virusi vya Corona. Barakoa hiyo ambayo imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii na kuitwa ‘maski za pua’ zilionekana...
Back
Top Bottom