course

A full-course dinner is a dinner consisting of multiple dishes, or courses. In its simplest form, it can consist of three or four courses; for example: first course, a main course, and dessert.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Nichague ipi kati ya course hizi?

    Msaada juu ya course ya water Supply Sanitation Engineering na Civil Engineering ipi ni nzuri kusoma
  2. Surveyor_1

    Naombeni ushauri juu ya kozi ya kusoma

    Habari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo kwa sababu kadhaa nikajishughulisha na biashara. Kwa sasa naona kiasi nina utulivu nataka...
  3. I

    Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health.

    Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health. MUHAS Masters of science in monitoring and evaluation in health . Mzumbe UNIVERSITY Masters in Arts in monotoring and evaluation . Open university. Naombeni utofauti wa hizo kozi wadau.
  4. C

    Naomba kujua kuhusu course za biashara kwa mihitimu wa Kidato cha Nne aliye somea science

    Nahitaji kusomea diploma business managing and marketing je, inawezekani?
  5. B

    Course ya Sheria ni nzuri kwa aliyepata div 1 point 6 HKL?

    Na ndugu yangu kapata 1 .6, amesoma taasusi ya HKL, ana mpango wa kusoma UDS sheria. Naomba ushauri wakuu, halafu ukicheki ana aibu sana.
  6. alex001

    Naomba msaada kuhusu course za kusoma chuo kikuu

    Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili?? Naombeni msaada...
  7. W

    Educational Course

    Wapwa nisaidieni ushaur wa course nzuri za fani za kusoma kwa mtu ambae amefeli form 4 lakn anataka asomee fani imsaidie kimaisha
  8. T

    Ipi course nzuri kati ya diploma ya pharmacy na bachela ya land management and evalution

    Za jioni wadau Naomba msaada wenu mimi nina diploma ya pharmacy nimemaliza mwaka jana nikataka kuendelea mwaka huu lakini nilikosa awamu zota tatu. Likaja dirisha la huruma la awamu ya nne kwakuwa nilikuwa na cheti cha form six nikajaribu kuombea nacho pale ardhi (nilifanya kama kujaribu tuu...
  9. pCpCp RICH THINKER

    Mambo 10 magumu kwa wanafunzi wa 'short course' wanaosoma VETA Kama huyawezi usiende; tafuta njia nyingine ya kusoma

    Una mpango wa kusoma Short Course V.E.T.A ? Na ni mtu mwenye majukumu yako?! Basi, tambua: 1. Utalazimishwa kuvaa sare. Hauko tayari kuvaa sare mazingira yako ni magumu. Hakuna cha 'bring-bring' wala nini! 2. Utanyoa Kama mtoto, kama mwanafunzi haswaa. Kama unauchebe, uchebe wako utaambiwa...
  10. KingOligarchy

    Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) watangaza Securities Investment and Trading Course kuanza mwezi Novemba

    DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Nilifanya course iliyopita na kwakweli madini niliyoyapata yalikuwa yamesimama. huwa naattend sana forums nyingi za investments na personal finance lakini hii course ilinifanya nijue kiundani jinsi soko la mitaji linavyofanaya kazi...
  11. She Quoted you

    Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

    Habari humu, mdogo ameshachaguliwa kujiunga C.O pale TTCIH morogoro, ila anataka aache ili akasome short course ya miezi mi3 flight operation pale TCAA uwanja wa taifa. Kwa wanaoifahamu hii kozi, vipi ajira zake ndani na nje? Wanasema Kupata nje dubai ni rahisi. Points za dogo kuacha medicine...
  12. peno hasegawa

    PENDEKEZO: Masomo ya uwakili yafundishwe kwenye course ya Sheria Chuo Kikuu kwa mwaka wa Nne. Law school ifutwe

    Kwa hali iliyopo na inayoendelea TLS ninashauri Law school ifutwe na badala yake degree ya sheria iliyokuwa inasomwa kwa miaka mitatu sasa isomwe kwa miaka mine Ili mwaka wa nne wasome masomo ya Law school wakiwa chuo kikuu husika. Wanafunzi akishamaliza degree ya sheria awe tayari amemaliza...
  13. Nicksoni Audax

    Hivi PCM ukipata division two ya point 10 form six course gani inafaa hapo

    nisaidieni hapo wakuu nielewe PCM ambapo ufaulu ni CDC
  14. P

    English course Arusha

  15. S

    Je, kuna kozi fupi kuhusu Afya ya Ngozi (Skin Care)?

    Mimi ni mwanafunzi ninayesoma Utabibu, je, kuna short course ya Afya ya Ngozi (skin care) au mpaka niwe specialized doctor wa ngozi? Lengo langu kubwa ni kuwa mfanyabiashara mkubwa wa masuala ya vipodozi, sasa ili niwe na utaalamu wa kumshauri mtu kipodozi kipi atumie na kipi asitumie inabidi...
  16. S

    Je, mhitimu wa kozi ya “Education with Religious Studies” anaweza kufanya kazi gani?

    Ufafanuzi
  17. Vigo Mnyama

    Nataka kusoma course ya Fine Arts and Design naomba ushauri

    Niko combination ya science nataka nikasomee Bachelor of fine art and design.. Ninakipaji cha kuchora.
  18. Wababa13

    Ukisoma course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology inakupa opportunity ya kufanya kazi sehemu zipi?

    Jamani naomba kufahamishwa kwa anayeifahamu kwa ukaribu course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology.. mtu aliyesoma hii course ni kwamba anakuwa Sociologist na Economist kwa wakati mmoja? Naomba majibu tafadhari
  19. nemnunu

    Ushauri kuhusu course za afya diploma

    Habarini wana jamvi, Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C. Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?
  20. D

    Course ya kusoma Chuo Kikuu

    Wakuu habari. Kuna mtu kaniomba ushauri hapa course za kusoma kwa vyuo vikuu vilivyo hapo Dar. Yeye ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo wa HKL, ni course gani asome yenye tija wakuu. Kujipanga mapema ni kheei zaidi maana wengi hukosea kwa kukurupuka pale wanaporuhusiwa kuomba. Ushauri wenu...
Back
Top Bottom