1. Wazungu wana defy covid restriction ili waende beach kuogelea. Wao shida yao ni kustarehe!
Beach partygoers in Barcelona defy Covid-19 restrictions
2. Wahindi wamefanya kitu kinaitwa super spreader kwa kwenda mto Ganges kuogelea ili watakaswe dhambi zao! wao shiida yao ni dini, waondolewe...
Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu.
Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu.
Rais Samia...
Nimewakumbuka hawa watafiti wetu,
Hivi kuna muendelezo wowote juu ya harakati zao za covidol/nimcaf katika kutibu corona.
Vipi msimamo wao juu ya hizi tiba asilia na kupiga nyungu?
Kuna yule mkuu wa mkoa wa Mtwara huko, naye ameshamaliza usajili wa waganga?
Naona wamekuwa kimya kama hakuna...
Nchi za EU wanafikiria kuanzisha mpanga wa covid vaccine passport miongoni mwa nchi wanachama. Hii ni moja ya mkakati wa kukabiliana na covid 19 miongoni mwa raia wao wanaposafiri. TUTAELEWANA TU
======
A patchwork: Europe and COVID-19 vaccination passports
European Union leaders moved...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kwamba wanasayansi nchini humo wamepiga hatua kubwa sana katika kupata tiba dhidi ya Corona.
Katika hotuba kwa taifa jana jumapili, Museveni amesema kwamba wanasayansi nchini humo wamefanyia majaribio tiba hiyo ambayo hakutoa maelezo zaidi, akiongezea...
Rais Vladimir Putin ametangaza kuwa Urusi imeidhinisha rasmi chanjo ya COVID19 iliyotengenezwa na Taasisi ya Galameya iliyopo Mji Mkuu wa nchi hiyo, Moscow
Akizungumza na Mawaziri kupitia mtandao, Rais Putin (67) amesema hii ni mara ya kwanza kwa chanjo dhidi ya CoronaVirus kuidhinishwa duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.