Salaamu Watanzania!
Duniani kote, habari kuu ni Wimbi la tatu la Corona, habari hizi zinaendana na mpango wa chanjo, mpango ambao unatumia matrioni ya fedha kufanikisha hili.
Tanzania nayo haikuachwa nyuma, licha kwamba, kipindi cha nyuma huko, mpango huu haukuwa na umhimu wowote zaidi ya...
Serikali imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi na kuzifanya ziwe karibu na wananchi.
Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Afya Prof. Abel Makubi amesema...
Wimbi la tatu la janga la COVID-19 kwa kirusi cha Delta linasambaa kwa kasi barani Afrika na mpaka sasa nchi 16 za bara hilo zimebainika kukumbwa na kirusi hicho.
Kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani (WHO), kirusi hicho kinasambaa kwa kasi zaidi barani Afrika kuliko wakati wowote ukilinganisha...
Kuna huu ujumbe ambao umekuwa ukizunguka kwenye social media. Please mwenye kutoa clarification
"Habari za jioni wapendwa! Hongereni kwa kazi.Nawasihi madaktari wenzangu tujikinge na hili gonjwa,dalili za wave hii zipo so vague.wagonjwa wengi waliokuwa wamekuja Leo clinic waliokuwa wanalalamika...
Ujumbe wa Shirika la Fedha duniani ( IMF) umekutana na Rais Samia Ikulu jijini Dodoma na kumuahidi kusaidia mapambano dhidi ya Corona.
Kadhalika IMF itasaidia kuhuisha shughuli zilizoathiriwa na Corona ikiwemo utalii.
Chanzo: ITV habari
Mh Jokate ndo kwanza una wiki ya kwanza kwenye wilaya hii baada ya uteuzi. Nakushauri ungeanza kujikita na kufanya assesment ya matatizo mbalimbali kwenye wilaya yako na kuyatafutia tiba. Instead umeanza na ileile tabia yako ya kujibrand ili uonekane.
Kumbuka hizi ni zama za Samia Suluhu Hassa...
Habari wakuu,
Huko nchini Indonesia katika mji wa Cipanas wamebuni mbinu ya kuwashawishi wazee (watu wenye umri mkubwa) wabishi wasiotaka kupokea chanjo ya COVID 19 kwa kuwazawadia kuku mmoja pale watakapokubali kuchanjwa chanjo hiyo.
Mbinu hiyo imezaa matunda kwani wazee wengi wamejitokeza...
Muhimbili na KCMC tayari wamepuliza kipyenga cha tahadhari ya Covid 19 na kutoa maelekezo ba muongozo wa nini kifanyike.
Dar inajiandaa na mkusanyiko mkubwa wa maonyesho ya kimataifa ya biashara katika uwanja wa JK Nyerere Kilwa Road.
Tujiulize kuna umuhimu gani wa kufanya haya maonyesho...
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu
Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao watahusishwa au la .
Chanzo : ITV
====
WANAOINGIA ZANZIBAR SHURTI CHETI CHANJO YA COVID-19...
Shirika la Afya Duniani(WHO) limetangaza kuanzisha kituo cha kutengeneza chanjo za #COVID19 zinazotumia mRNA Afrika Kusini
Kituo hicho kitasaidia kuwapa utaalamu na leseni kampuni za Uchumi wa Kati na Chini kuzalisha chanjo hizo
Hadi sasa chanjo zinazotumia mRNA ni Astrazeneca na Moderna...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kazi iendelee.
Ilikuwa ni furaha kutoka Nyanda za Juu Kusini na kuja Ukanda huu wa Kaskazini mwa Tanzania.
Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii.
Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza.
1. Covid 19 imeutesa sana huu...
Serikali ya Saudi Arabia imefuta ibada ya hija kwa mwaka 2021 kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
Hii ni mara ya pili kwa waumini wa dini ya Kiislamu kutotekeleza ibada hiyo kutokana na gonjwa huo ulioanza kutikisa mwishoni mwa mwaka 2019.
Akizungumza na...
Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.
Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.
Hawa mabwana nchi zao zimepiga...
Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?
Bwana...
Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali iliyotolewa tarehe 05 June, 2021 imebainisha kwamba Rais wa JMT amepokea tayari taarifa mbili kutoka katika Kamati aliyoiunda kwa ajili ya kufuatilia na kuishauri Serikali namna ya kupambana na gonjwa la corona. Taarifa ya kwanza ilikua ni yenye maoni ya namna...
Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha kuziweka wazi Mei mwaka 2020...
Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo.
Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata...
Nimefanikiwa kupata chanjo ya Corona hapa napoishi na kufanya kazi Dallas, Texas. Nimepata dose mbili za sindano kwenye bega ya kwanza tarehe 5 mwezi wa pili na ya pili tarehe 4 mwezi wa tatu. Nimepata chanjo kutoka kampuni ya Moderna. Nilivimba kidogo kwenye bega kwa mara zote lakini sijapata...
Miji mikubwa Nchini humo ikiwemo Mumbai na New Delhi imeanza kufunguliwa baada ya wimbi la pili ya Virusi vya Corona ambalo limetajwa kuwa baya zaidi kupelekea vifo vya maelfu ya watu.
Idadi ya maambukizi mapya 100,636 yaliyorekodiwa saa 24 zilizopita ilikuwa takwimu ndogo zaidi kuripotiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.