Chadema na CCM zimeungana katika kumkemea askofu Gwajima kuhusiana na msimamo wake hasi kuhusu chanjo ya Corona.
Katika mambo ya msingi ni jambo jema kuwaona Chadema na CCM wanakuwa Wamoja katika Umoja.
Mungu ni mwema wakati wote!
Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona!! ROBO TATU ya maambukizi mapya yanawapata waliochanjwa chanjo ya corona. Asilimia 80 ya wanaoelemewa na...
Mazoezi pia ni fursa nzuri ya kujikinga na Corona,
Kwa umoja wetu kuanzia MTAA Tanzania nzima tuhamashishane Sasa kufanya mazoezi ya kutembea angalau km1- 3 kila jmosi ya wiki, itapendeza Sana tukianza jmosi ya week ijayo.
Mazoezi ya kutembea ni mepesi mno hata mzee anaweza kufanya.
Kwa...
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa angalizo kwa wasimamizi wa chanjo kutolipisha watu fedha kwani chanjo hizo ni bure.
Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi wakati wa usambazaji wa chanjo hizo kwenda mikoa...
Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema mikoa itakayoonyesha kusuasua kwenye uchanjaji wa Corona basi watanyang'anywa hizo chanjo na kupelekewa mikoa iliyochangamka katika uchanjaji.
Chanzo: Star tv habari
Mungu ni mwema wakati wote!
Nilizingatia msimamo tuliokuwa nao COVID-19 ilipoingia nchini kwa mara ya kwanza, nilikuwepo wakati wa wimbi la pili la maambukizi, na nashukuru pia nipo kipindi hiki cha wimbi la tatu la maambukizi na hatua zinazochukuliwa.
Najiuliza je, tulifaulu au kushindwa awamu ya kwanza ya COVID-19, na...
Wanabodi
Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri.
Kwenye visions za trends readings zangu, zinanionyesha "Mbunge Wangu wa Kawe, Baba Askofu, Mheshimiwa sana, Dr. Josephat Gwajima" akichanjwa...
Mwezi uliopita nikiwa jikoni naandaa chakula cha jioni kwa ajili ya familia kulitokea ubishani mkali kati yangu mimi na mwanangu Mcdonald kuhusu umuhimu wa yeye kunawa mikono akitoka kwenye michezo yake katika mabishano hayo kijana wangu alijaribu kubishana na mimi asiamini chochote...
Chanjo kama chanjo
Nimekaa na kuleta uzii huu ili tuelezane yaliopo kwenye nafsi zetu kuhusiana na hizi chanjo!
Kwa wasiofahamu! Utengenezaji na research ya Chanjo ya covid 19 haina mdaa mrefu kama tulivozoea kwenye chanjo za awali !
Aina ya chanjo za awali [ English ]
1 BCG vaccine (...
Leo katika uzinduzi wa chanjo. Waziri wa Afya kaongea mambo mengi ili kuhalalisha mchakato huo.
Ameenda mbali na kushawishi watu kuwa kujaza fomu ya kuridhia kuchanjwa ambayo inasema ukipata madhara serikali haitawajibika ni jambo la kawaida kitabibu na hata ukifanyiwa operation basi wewe au...
Je, COVID-19 ni nini?
COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
biashara
chanjo
chanjo ya corona
corona
covid19
fursa
korona
kuhusu
kupima
kutumia
mabeberu
macho
mafua
maoni
matarajio
mawimbi
mipango
mjadala
mtazamo
nje
pesa
risk
tafakari
tanzania
ukweli
uongo
utoaji chanjo
uviko
uviko 19
wako
world
Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali?
Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
Wakati wakazi wa Dodoma nchini Tanzania wakitakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, uongozi wa mkoa huo umesema hospitali zake hazijazidiwa na idadi ya wagonjwa.
Aidha, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma imeanza kufua hewa ya oksijeni ambapo kwa siku wana uwezo wa kuzalisha...
Ukweli ndugu zangu, kila nikihangalia naona Mheshimiwa Al Marhemu Magufuli ni kama ameondoka na neema zake kwani hata radhi yalikuwa hayatusumbui. Je hii serikali iliyoingia na kurithi madaraka imeingia na nuksi au ina nuksi?
Karibu Tanzania itakuwa nchi hatarishi kutokana na gonjwa la Korona...
Habari za mchana ndugu!
Huku mataifa makubwa madaktari wakibishana kupigania chanjo walizozigundua huku madaktari wetu wako kimya.
Ok hiyo sio issue sana maana hata huko nje wapo madaktari ni mizigo pia.
Issue inayonifanya nijute ni sisi waafrika kutwakutwa kujazana upepo kuwa chanjo za...
Wataalam wa History wanasema binadamu alitokana na nyani au sokwe siju miaka maelfu
Kwangu hili halina ubishi maana wengi wetu hapa ukiangalia picha ya bibi yako na ukajiangalia wewe au mtoto wako utagundua kuwa wewe au mtoto wako ni mzuri sana kwa sura na umbo kuliko bibi
yako.
Kuna familia...
Huko New Jersey Marekani, watu 50 ambao wamepata chanjo yote ya Covid 19, yaani wamepata chanjo zote 2 wamefariki kwa Covid 19.
Hivyo kupata chanjo haina maana kua hautaugua covid 19 na haina maana kwamba hutafariki kwa Covid 19.
Ndio maana ukisoma ile form ya kupata chanjo ya serikali...
Itakuwa kujidanganya kama taifa kudhani kuwa tuko vizuri.
Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini.
Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu:
1. Kuhusiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.