Huu ni ushauri mkubwa kwa serikali:
Kitaalamu chanjo inatakiwa uchanjwe kama hauna vimelea vya ugonjwa husika.
Sasa iweje watu wanaenda wanachoma chanjo tu bila kujua status zao? Je, Serikali hamuoni kuwa hili ni tatizo?
Hata vifo vinavyotokea kwa walichoma chanjo vinachangiwa na tatizo hili...
Unyanyapaa ni kitu kibaya sana. Hivyo lazima kuepukwa.
Lakini vipi unapokuwa na mate wako ambae aliugua dalili zote za Uviko na bado anakohoa na kupiga chafya.
Akija kazini mnatakiwa kuishi nae vipi? Maana kilia mtu anaogopa huu ugonjwa.
Kumtenga? Ukimtenga atasema mnafanya unyanyapaa.
Leo kuna tukio nimeshuhudia ndani ya daladala asubuhi, tukio ambalo limenipa tafakari ya kujiuliza kweli hii vita dhidi ya COVID-19 tutaishinda kweli; tuko makini sisi kama wananchi na mamlaka kwa ujumla.
Ni hivi daladala limejaa, abiria Wameshona lakini makonda bado wanataka lipakie abiria...
Taasisi ya Chakula na Dawa ama FDA ambayo ndio huithinisha matumizi ya madawa kwa binadamu nchini Marekani inatarajia kuidhinisha matumizi ya dozi ya pili ya chanjo ama booster vaccine shots (kwa waliopata Chanjo ya Johnson and Johnson) ama ya tatu kwa waliopata chanjo nyingine kama Moderna ama...
Tuna zaidi ya wiki sasa tangu tuchanjwe chanjo ya COVID19 kwa mbwembwe sana huku makao makuu ya nchi lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya uhakika juu ya lini na kwa njia gani tutapata hizo kadi za chanjo.
Nikiuliza pale Benjamini Mkapa Hosp naambiwa mara tunasubiri za online mara tunasubiri...
Rafiki yangu mpendwa,
Kama umewahi kudhani kwamba huwezi kuibadili dunia umekuwa unakosea sana.
Kila mmoja wetu kuna kitu anaweza kufanya kuibadili dunia na kuifanya kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi.
Na leo hapa unakwenda kujifunza kitu kimoja unachoweza kufanya hapo ulipo na ukaibadili sana...
Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewataka Watanzania wote kujitokeza na kuchanja ili kwa pamoja tuishinde na kuitokomeza Corona.
Lissu amesema leo hii 09/08/2021 amekamilisha chanjo yake ya Corona kwa kuchoma sindano ya pili na kwamba yeye amechanja aina ya Astra Zeneka.
Mungu ni...
Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu
Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19
Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la...
Niseme tu mimi binafsi sina tatizo lolote na chanjo. Yaani kama ingekua sio huu uoga uliopitiliza wa sindano, mimi ningekua kati ya watu wa mwanzo kabisa kuchanjwa! Lakini mpaka leo bado nambwelambwela kwenda kuchanjwa kisa tu naogopa ile sindano. Kama mliona ile video ya mwanajeshi aliepelekwa...
Wakuu,
Baada ya kukaa likizo bongo kwa wiki tatu nilifanya vipimo vya Corona na kulipia ada ya malipo ya Tsh. 230,000 siku ya Jumatano tarehe 4 ili nijiandae na safari yangu iliyokuwa jana siku ya Ijumaa tarehe 6.
Cha ajabu mpaka ilipofikia lisaa limoja kabla ya muda wangu wa safari bado...
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga.
Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo kuwa hata kama ukipata chanjo hiyo lazima ubaki ukichukua tahadhari kama kuvaa barakoa, kunawa...
Habari wadau, leo nimeona niiweke msimamo wangu juu ya chanjo sababu Maneno yamekua Mengi
Nasema hivi sichanji chanjo yoyote Ile sababu Serikali yangu ilikuwa kila nikilala nikiamka nakuta kuwa chanjo ya Corona haifai na watanzania tusikubali. Ikiwa kama viongozi wote walishiriki kutuambia hayo...
Sitaki kutia neno, Jionee mwenyewe na uchukue hatua.
UPDATE: 06 August, 2021
Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kumsimamisha kazi Mwalimu Omary Abdallahemed Kwesiga ambaye ni Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Aidha...
Ndugu zangu Watanzania. Wakati Bwana Yesu yuko duniani aliwaeleza wafuasi wake kuwa Mafarisayo wameketi kwenye kiti cha Nabii Musa. Wasikilize maneno yao ila wasienende kwa mfano wa Matendo yao.
Leo hii maneno hayo yanatimia kwa Viongozi wa Chadema.
Wamekuwa wakihamasisha sana juu ya chanjo...
Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache nchini Tanzania. Je, nini maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda ! Umepata...
Imeandikwa na JEC
Dunia ina mengi nayo mengi hayana maana, ni msemo ambao unatumika kwa muda mrefu hapa nchini kwetu, lakini kwasasa jambo linalosemwa kwa maneno mengi yasiyo na maana ni chanjo ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Covid-19.
Kila mtu amekuwa na lake la kusema iwe ni mtaani...
Mods and Wachangiaji, ninachoandika hapa ni kitu kikubwa na nashauri tahadhari ichukuliwe mapema. It is very serious.
Siku ya Jana nikiwa kwenye majukumu yangu ya kutafuta riziki, nilipaswa kufika kwenye shule X huko kanda ya MAGHARIBI ili kuonana na Mkuu wa shule kwa akili issue Fulani...
NI UJINGA TU NA UKOSEFU WA MAARIFA NDIO UNAWASUMBUA WAAFRIKA NA WATANZANIA KUHUSU CHANJO YA COVID 19
Na: Shujaa
Ujue kinachofanya Africa kuwa bara maskini tofauti na mengine ya wazungu na Tanzania kuwa miongoni mwa Nchi maskini duniani pamoja na utajiri na rasilimali nyingi walizo nazo Sio...
Watengeneza chanjo ya Covid-19 aina ya Pfizer na Moderna wamepandisha bei ya Chanjo.
Taarifa iliyotolewa leo na jarida ya Financial Times limesema Moderna na Pfizer wameingia mkataba mpya wa bei mpya ya chanjo zao kwa Umoja wa Ulaya.
Pfizer sasa itauzwa Dollar 23.15 (TZS 54,147) ama Euros 19...
Ibada inaendelea.
Askofu Gwajima amesema kamati ya Corona ilipendekeza wananchi washawishiwe na serikali kuvhagua kuchanjwa ama LA na yeye Gwajima amechagua LA niko sahihi.
Rais Samia amechagua kuchanja naye yuko sahihi.
Msinigombanishe na mwenyekiti wangu wa chama.
========
Josephat...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.