Kila mmoja anajua figisu figisu kuhusiana na wabunge hawa 19 almaarufu kama wabunge wa covid 19.
Ni fedheha sana kuona jinsi sheria na kanuni zikipindishwa ili tu kuoneshana ubabe juu ya jambo ambalo liko wazi!
Hii fedheha kwa serikali, bunge na inaelekea pia mahakama huenda ikashiriki...
Wakuu
Baada ya uchaguzi mbovu wa 2020,kulijitokeza dosari kubwa Sana ya uundaji wa serikali KWA mihimili mitatu hasa wa Bunge ambao ulikosa UHALALI wa kisheria KWA kukosa wapinzani wakutosha Bungeni.
KWA kutambua hilo UHUNI ulifanyika KWA mara ya pili KWA KUINGIZA wabunge ambao hawana baraka za...
Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
aibu
barua
chadema
covidcovid19
halima
halima mdee
hii
kesi
kufa
kufukuzwa
kuhusu
kujiuzulu
mahakama
mawakili
mawakili wa serikali
mdee
msaada
serikali
sheria
sikio
spika
spika tulia
tena
uanachama
ubunge
ufafanuzi
ukweli
wabunge
wabunge 19
wenzake
Wakuu Habari!
Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa.
Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
Shirika la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), leo Ijumaa Mei 13, 2022 limethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa Covid-19, ikiwa takwimu za kwanza kutolewa rasmi siku moja baada ya nchi hiyo kuthibitisha mlipuko wa kwanza wa Covid tangu janga hilo lianze.
Watu 187,800 hivi sasa wanapatiwa...
Huu ndio utabiri wangu kwa wale wabunge waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la CHADEMA.
Hata hivyo, Mama kupitia washauri wake, anaweza kuwapa baadhi yao nafaai za uteuzi serikalini hasa Mdee wakiamini kufanya hivyo ni kuwakomoa CHADEMA wakati ni kuwamaliza kabisa kisiasa wanawake hawa.
Muda...
Korea Kaskazini imegundua kisa cha kwanza kabisa cha maambukizi ya Covid-19, kulingana na vyombo vya habari vya serikali, ambavyo viliita hali hiyo "dharura kuu ya kitaifa."
Imeripotiwa kuwa, Sampuli zilizokusanywa kutoka kwa kundi la watu katika Mji Mkuu wa Pyongyang waliokuwa na homa mnamo...
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA
Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama
======
UPDATE:
Halima...
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli aliambukizwa Corona na yeye kujibu ndiyo.
Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
NANUKUU:
Peter: In all honest your predecessor (Magufuli) was not a big friend of Vaccines and of the...
Amani kwenu Wana JF!
Kichwa cha habari chajieleza. Nchi nyingi za ulaya zimeamua kuondoa sheria ama kanuni za kiafya za kujilinda na uviko. Kwa sasa hakuna barako, hakuna kujifungia na kujitenga.
Ni mwendo wa kuishi na corona kama Bongo. Hii inachukuliwa ili kusaidia watu kujitafutia, kuinua...
Hata kama Spika atawachukulia kuwa NI wanachama halali wa Chadema. Chadema imeshatoa ufafanuzi nyaraka zilizotumika kuwaingizwa bungeni zimefojiwa.
Na wanaoandaa nyaraka hizo wameshatoa taarifa za sahihi zao na majina yao kufojiwa. Sijui wanataka Nani aje asibitishe Hilo. Wakati wewe unasema...
Kirusi kipya cha korona kilichotokana na muunganiko wa virusi vya delta na omicron kimegunduliwa huko nchini Cyprus
Kirusi hicho kipya kilichopewa jina la Deltacron mpaka sasa kimegundulika kwa watu 25 tu huko Cyprus na bado haijawa wazi uhatari wa kirusi hiki ukilinganisha na virusi vya delta...
Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto.
Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha maamuzi cha chadema kimalize mchakato wa kuwafuta uanachama hawa covid 19 na tarehe 2 February Chama...
Ili kupata ithibaki inabidi sasa muhamie upande wa kumtetea Rais. Mkibaki kushangaa shangaa mtakuja kupigwa chini Ndugai akiondolewa. Hili nawashauri. Anzeni nanyi kumrushia mawe na madongo akifa huku hamjarusha hata jiwe moja mtaonekana mlikuwa nyuma yake.
Lazima muwe wajanja kama nyoka. Kwa...
Wakazi wa mijini msilaumiwe kwa kuwaua wazazi wenu kwa kuwaambukiza ugonjwa wa Covid 19.
Wazazi wetu ni wazee ambao hawakuchanja korona, hivyo rahisi sana kupata maambukizi ya corona Na mafua makali.
Kama sio lazima sana usiende kijijini, baki mjini kwa maslahi ya babu na bibi zako.
Habari!
Sina maneno mengi nakwenda kwenye mada. Hivi pesa za msaada sijui mkopo zilizotolewa na wazungu kupambana na UVIKO 19 zinatumikaje kujengea madarasa?
Tumeshindwa kujenga madarasa kwa fefha zetu wenyewe huku tukithubutu kununua ndege ambazo ni gharama kuliko hayo madarasa?
Je, elimu...
Moja ya mapendekezo ya Tume iliyomshauri Mhe. Rais kuleta chanjo ilikuwa ni kujenga kiwanda cha chanjo kwa haraka. Napena kusisitiza kuwa pendekezo hili namba 7 lifanyiwe kazi kwa uharaka ule ule ili nchi isiingìe kwenye deni lisilo la lazima.
Zimbabwe imerejesha marufuku ya kutotoka nje na karantini za lazima kwa wasafiri wote huku kukiwa na ongezeko la visa vya Covid ili kuzuia kuenea kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron.
Nchi hiyo imerekodi zaidi ya visa 130,000 vya Covid na takriban vifo 4,700 tangu janga hilo lianze mapema mwaka...
Janga la Covid "litaendelea kwa mwaka zaidi ya inavyotakiwa" kwa sababu nchi masikini hazipati chanjo zinazohitajika, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) linasema.
Dkt. Bruce Aylward, kiongozi mwandamizi wa WHO, alisema inamaanisha janga la COVID-19 linaweza "kujivuta kwa urahisi hadi 2022"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.