covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    #COVID19 Corona bado inafikirisha sana

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwanini wanamichezo hasa wachezaji mpira, riadha n.k hawasumbuliwi na Covid -19? Wengi wamekutwa na virusi lakini hawalazwi wanaendelea na mazoezi au kucheza mechi pia kama vile hawana chochote kwenye miili yao. Wengi pia hupona bila kutumia dawa yoyote maana...
  2. BAK

    #COVID19 Biden administration expected to advise Covid booster shots for most Americans COVID-19

    Biden administration expected to advise Covid booster shots for most Americans 'Screw your freedom': Schwarzenegger calls out anti-vaxxers Washington (CNN)Top health officials in the Biden administration are coalescing around an agreement that most Americans should get Covid booster shots eight...
  3. Naipendatz

    #COVID19 Waziri Gwajima aagiza Askofu Gwajima kukamatwa ili athibitishe kauli anazozitoa dhidi ya Serikali na viongozi kuhusu chanjo ya UVIKO-19

    Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji. Mimi ndiye msemaji wa masuala ya afya nchini, nimechoka kuvurugwa naagiza akamatwe popote na akahojiwe juu ya haya madai - Dk. Gwajima -- Butiama. Waziri wa...
  4. W

    TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

    Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19. Kifo chake kimesababishwa na Mshituko wa Moyo(Cardiac arrest) Mramba aliwahi kuwa Waziri wa fedha, pia Waziri wa...
  5. Suley2019

    #COVID19 Kadi chanjo ya COVID-19 kulipiwa Sh 20,000 Zanzibar

    Unguja. Wakati idadi ya watu waliopata chanjo ya corona Pemba na Unguja ikifikia 10,000, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema waliochanja na kukamilisha dozi zao watapewa kadi maalumu kwa kulipia Sh20,000. Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Nassor Ahmed Mazrui...
  6. L

    #COVID19 Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo: 1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo 2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo 3. Itangaze chanjo kuwa...
  7. kavulata

    #COVID19 Nilivyojisikia baada ya kuchanjwa chanjo ya COVID-19

    Nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa na wasiwasi kuhusu kuchanja chanjo ya covid 19. Hofu yangu kubwa kuliko zote ilikuwa kuganda kwa damu yangu baada ya kuchanja. Lakini Mimi ni miongoni mwa watu waliochanjwa chanjo ya COVID-19 Johnson And Johnson siku ya pili tu baada ya zoezi la kuchanja...
  8. Shadow7

    #COVID19 Amid shortages, Africans scramble to be fully immunized

    KAMPALA, Uganda -- At a COVID-19 vaccination site in the Ugandan capital, Kampala, tempers flared among those waiting for scarce AstraZeneca jabs, with some accusing others of trying to jump the queue. Nurses intervened, telling them the accused had been waiting since the previous day and...
  9. Informer

    #COVID19 Wizara ya Afya: Watanzania 207,391 wamepatiwa Chanjo ya UVIKO-19 hadi Agosti 14, 2021

  10. Memento

    Kuna mambo tuache siasa, Steve Nyerere hafai kuwa balozi wa chanjo

    Kuna vitu vinashangaza sana, wizara ya afya inashangaza sana. Wote tumeshuhudia duniani kote suala la chanjo likiwa mjadala mkubwa sana ambapo kila aina ya utaalam unatumika kwa wanaokubali na wanaoipinga. Hivyo si suala la kisiasa wala propaganda bali ni la kisanyansi, ndio maana niliona hata...
  11. beth

    Iran yatangaza lockdown kudhibiti maambukizi ya Kirusi Delta

    Taifa hilo lililoathirika zaidi ya janga la Corona Mashariki ya Kati litaweka zuio la safari zote za barabara pamoja na Lockdown ya wiki moja Biashara na Ofisi zote ambazo sio za mahitaji muhimu zitafungwa kuanzia Jumatatu (Agosti 16) hadi Agosti 21, ikiwa ni jitihada za kukabiliana na Kirusi...
  12. Midazolam

    #COVID19 Ushauri wangu kwa wanaopata COVID-19

    Naomba niwasalimie kwa jina Yesu aliye hai. Naomba kushare na nyie naamini itawasaidia Watanzania wenzangu. Mimi ni moja wapo wa watumishi wa afya na nimekuwa nikuwahudumia watu mbali mbali pamoja na wenye matatizo ya upumuaji, ninachofurahia na kupendeza zaidi sina ubaguzi katika kumsaidia...
  13. Idugunde

    #COVID19 Mwongozo wa Serikali ukoje kuhusu kuzika wafu waliofariki kwa Covid-19?

    Wadau hakuna mahala unaweza kupata updated info kama Jf. Wadau mwenye info kamili atujuze kwa sasa utaratibu uko vipi kuzika mtu aliyefariki kwa covid-19. Ifahamike kwa sasa vifo ni vingi sana uraiani na vina ukaribu na matatizo ya kupumua. Nawakalishe mimi Idugunde
  14. beth

    Rwanda: Huduma ya chanjo kutolewa nyumba hadi nyumba

    Taifa hilo limeanzisha utaratibu wa utoaji chanjo dhidi ya COVID19 nyumba hadi nyumba kwa makundi maalum ya watu ikiwemo Wazee Mamlaka zimesema huduma hiyo imesogezwa nyumbani kutokana na uhitaji mkubwa wa chanjo hususan kwa Vijana, lakini hakuna chanjo za kutosha hivyo wameamua kuanza na watu...
  15. Elisha Sarikiel

    #COVID19 Askofu Kakobe: Chanjo ya COVID-19 siyo chapa ya 666

    TAZAMA VIDEO YA SOMO CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA YA 666 Baada ya maombi ya Maaskofu na Wachungaji kadha wa kadha, wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo; jana Alhamisi 12.8.2021, akiwa ofisini kwake Askofu mkuu Zachary Kakobe amefundisha Somo muhimu, lenye kichwa, "CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA...
  16. JU60_tz

    #COVID19 Chanjo ya Corona imetengenezwa kwa vitu gani?

    Je, vitu hivyo ni siri? ni kwanini viwe siri wakati haya ni mapambano ya Dunia nzima na tunasema kuwa tunashirikiana kupambana na janga hili!? Je, wataalamu wetu wa Afya Tanzania wanavifahamu vitu hivyo? kama ndiyo kwanini wasimwambie MAMA ili tuvipate tuweze kutengeneza chanjo yetu wenyewe...
  17. moyafricatz

    #COVID19 Kurejewa upya kwa gharama za upimaji wa UVIKO-19 kwa wasafiri nchini Tanzania

    Tarehe 11 Agosti, 2021 Dare es Salaam. Kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa UVlKO-19 Duniani, ambapo Tanzania ilipata kisa cha kwanza cha mgonjwa wa UVlKO-19 tarehe 16 Machi 2020, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo upimaji wa wasafiri wanaoingia na...
  18. Suley2019

    #COVID19 Kigoma: Wazazi wavamia shule wakidhani watoto wanachomwa chanjo ya COVID-19

    Picha: Baadhi ya Wazazi wakiwa katika Shule ya Msingi Imanga Wazazi wa watoto wanaosoma Shule ya Msingi Imanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wamezuka shuleni hapo kwa madai ya kuhoji sababu za wanafunzi kupewa chanjo dhidi ya corona bila kupewa taarifa. Hata hivyo...
  19. beth

    #COVID19 Guinea: Watumishi wa Umma watakiwa kuwa cheti cha kupata chanjo ya COVID-19

    Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri Mkuu kuhakikisha Mawaziri wote pamoja na Watumishi wengine Serikalini wanapata Cheti ili kuruhusiwa...
Back
Top Bottom