covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. Super Sub Steve

    #COVID19 Upendeleo chanjo ya COVID-19 kwa makundi

    Toka zoezi la kupata chanjo lizinduliwe rasmi kuliwekwa vipaumbele kwa makundi matatu. Waliofika miaka 50 na zaidi Wahudumu wa afya Wenye magonjwa ya Mara kwa mara Kwanini wasingesema Kila mtu ambaye yupo tayari kupata chanjo apate? Halafu Kuna watu hawajafika 50, si wahudumu wa afya na...
  2. beth

    #COVID19 UAE: Maambukizi ya Virusi vya Corona yafikia 695,619

    Umoja wa Falme za Kiarabu umerekodi maambukizi mapya 1,334 ndani ya saa 24 zilizopita huku wagonjwa 1,396 wakipona na wanne wakipoteza maisha. Tangu kuanza kwa janga la COVID-19 watu 1,982 wamefariki dunia na idadi ya visa imefikia 695,619. Zaidi ya 80% ya watu UAE wamepata angalau dozi moja ya...
  3. beth

    #COVID19 Civil Servants who won’t take COVID-19 vaccine to face disciplinary action

    All civil servants must now get a COVID-19 vaccine or face disciplinary action. According to a statement from the Head of Public Service Joseph Kinyua, civil servants will now be required to get their vaccinations by the August 23 deadline. Those who do not receive the vaccine by the specified...
  4. bernard10

    #COVID19 Wanaopinga chanjo ya Corona watafute pa kwenda

    Dr Anthony Fauci moja Kati ya madaktari na wanasayansi wakubwa katika nchi ya Marekani pia mshauri mkuu wa Raisi katika masuala ya Afya na bingwa wa magonjwa ya kuambukiza(infectious diseases) na director wa taasisi ya magonjwa ya kuambukiza na (allergy) marekani katika mahojiano yake na NBC...
  5. beth

    Uganda resumes passenger train service after fall in number of Covid-19 cases

    Passenger train services in Uganda's capital Kampala have resumed after the country lifted a 42-day lockdown on July 30 following a reduction in the Covid-19 infection rate. Deo Kyomya, the Uganda Railways Corporation commercial manager, told Xinhua by telephone they had deployed two trains to...
  6. Analogia Malenga

    #COVID19 DC wa Busega azindua utoaji chanjo

    Mkuu wa Wilaya ya Busega Mhe. Gabriel Zakaria amezindua rasmi zoezi la chanjo ya UVIKO 19 (COVID 19) Wilayani Busega, uzinduzi uliofanyika Hospitali ya Wilaya ya Busega, huku akiwataka wananchi kupuuza maneno na taarifa za kizushi zinazoendelea kusambaa kwenye baadhi ya Mitandao kuhusu chanjo...
  7. L

    #COVID19 Ni vizuri maabara zote zinazoshukiwa kuwa chanzo cha COVID-19 zichunguzwe

    Katika wiki za hivi karibuni suala la kutafuta asili ya virusi vya Corona limekuwa likizungumzwa sana katika nchi mbalimbali duniani. Kwa bahati mbaya baadhi ya wanaolizungumzia suala hilo, kuna wale wanaoelekeza hoja zao kwenye mambo ya siasa, na wengine, hasa wanasayansi wameweka mkazo kwenye...
  8. GUSSIE

    #COVID19 If you cannot question it, it's not science, It's propaganda

    Mimi nimechanjwa chanjo ya P fizer muda mrefu wakati hapa kwetu tukihubiri malimao na matangawizi, Tuliimba pambio wote za ujasiri wakati huo kuwa beberu hafai na chanjo hazifai Leo bila aibu na Haya wana CCM tumegeuka ghafla na kuanza kudance ngoma ya mwenyekiti wa chama Nimeandika uzi huu...
  9. beth

    #COVID19 India: Idadi ndogo zaidi ya maambukizi tangu Machi yaripotiwa

    Visa vipya 28,204 vya COVID19 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita, idadi ambayo kwa mujibu wa takwimu za Serikali ni ndogo zaidi kurekodiwa katika Taifa hilo tangu Machi 16. Kwa ujumla, maambukizi yapatayo Milioni 32 yamerekodiwa India hadi sasa. Wizara ya Afya imesema vifo 373 vimeongezeka...
  10. Kibosho1

    #COVID19 Tatizo la UVIKO-19: Mwaka huu Moshi kutaendeka kweli?

    Dah! Taarifa za msiba zimekuwa nyingi sana. Kwanza naamini Watanzania wanakufa sababu ya uzembe na kujitakia wenyewe. Mtu anakufa kwa nimonia watu mnajazana msibani kwenda kuzika bila tahadhari yoyote unategemea nini hapo? Umeenda kuzika mara 3 je Disemba utaenda tena. Mkoa wa Kilimanjaro...
  11. pingli-nywee

    Licha ya mapigo ya COVID-19 kwa shughuli za kiuchumi nchini Kenya, 2020 Kenya iliuzia Tz bidhaa za jumla ya thamani ya juu zaidi ya ilizoagiza

    Sikutegemea kwamba mwaka jana tutawapiga majirani bao la kibiashara, kama ilivyo desturi. Ikizingatiwa kwamba wao walinusurika(kwa maombi/tiba za asili n.k.) sie tulipokuwa tukipambana na wimbi la kwanza la janga la kimataifa la Corona. :) Nakumbuka mwendazake akitubeza na kutuponda. Kwamba sie...
  12. beth

    #COVID19 COVID-19 vaccination resumes today

    The government has announced that Covid-19 vaccination will resume today and that medical students will be prioritised in this third rollout of vaccines to allow for the reopening of medical schools. Thie resumption of vaccination comes more than a week after the government received additional...
  13. beth

    #COVID19 Maambukizi zaidi yaendelea kuripotiwa China

    China imeendelea kurekodi maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona, ikiwa ni wiki ya tatu tangu mlipuko mpya kuripotiwa. Visa vipya 125 vimerekodiwa na baadhi ya Miji imeongeza jitihada za upimaji ili kukabiliana nao. Kirusi Delta kimegundulika katika Miji kadhaa Nchini humo tangu Julai 20. Katika...
  14. ndege JOHN

    #COVID19 Msisitizo wa kutumia vitakasa mikono kama ilivyokuwa wimbi la kwanza urudiwe

    Mbona iliwezekana mwaka jana karibu kila duka na kila nyumba ilikuwa hukosi sanitizer nje nadhani ilisaidia sana mwamko ule wa kunawa ungeendelea Basi ingependeza sana. Kwanza hata watoto wetu wanaozaliwa wangekuta tuna utamaduni wa kunawa. Ndugu zangu mikono inashika uchafu mwingi sana...
  15. H

    #COVID19 Wataalam wa Afrika Kusini waukubali Ubora wa Chanjo ya Johnson & Johnson

    Sote tunafahamu kuwa Afrika Kusini ndiyo nchi inayoongoza katika bara la Afrika katika huduma bora za afya na teknolojia ya afya. Afrika Kusini, kwa takwimu rasmi, ndiyo inayoongoza katika maambukizi na vifo vinavyotokana na covid 19, japo kiuhalisia hatujui kama huo ndio ukweli wenyewe au ni...
  16. sinajinasasa

    #COVID19 Vizuizi vinaanza kesho Ufaransa kwa wasiochanjwa COVID-19

    Wenzetu Ufaransa wanaanza rasmi kuwabana wananchi wale ambao wamekataa kuchanjwa chanjo za Uviko19. Restriction hizo ni pamoja na kuzuiwa kuingia kula kwenye migahawa, kupanda usafiri wa kwenda na kurudi kazini, kuingia kwenye ofisi yoyote kupata huduma ikiwa ni pamoja na benk, hospitali nk...
  17. beth

    #COVID19 Chanjo ya Johnson & Johnson yaidhinishwa India

    Serikali Nchini humo imeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo ya Johnson and Johnson dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Hadi sasa Mamlaka za Afya za India zimeidhinisha Chanjo kadhaa ikiwemo AstraZeneca. Taifa hilo limekuwa likirekodi wastani wa Visa vipya 30,000 hadi 40,000 kwa siku tangu mwezi...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini kuchanjwa ni bure, ila kupima COVID-19 ni kwa hela?

    Ndugu Watanzania hebu nijuzeni, kwanini kupima Kama una maambukizi ya COVID-19 ni hela, lakini kuchanjwa ni bure?
  19. C

    #COVID19 Nini kifanyike kuondoa taharuki kwa wanafunzi wanaokimbia ovyo waonapo wageni au magari shuleni?

    Sasa ni taharuki kwa wanafunzi wa shule za msingi wakiwa shule waonapo wageni au magari yakiingia shuleni basi huanza taharuki na kukimbia ovyo. Taharuki hiyo imesababishwa na wazazi wanaowambia watoto wao kuwa serikali inataka kuwachoma chanjo ya Corona kitu ambacho si sahihi. Wazazi hao...
  20. PendoLyimo

    #COVID19 Mbunge Asia Halamga: Chanjo ya UVIKO-19 ni hiari, Serikali haiwezi kuumiza wananchi wake

    Leo Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Asia Halamga akiwa Mgeni Rasmi amefanya Uzinduzi wa Vijana Jogging Club Mkoa wa Kilimanjaro ambao una Kauli Mbiu "Amani Yetu, Maisha Yetu, Chukua Tahadhari Dhidi ya UVIKO-19" Akizungumza na Vijana mbalimbali waliojitokeza kwa wingi kushiriki uzinduzi huo...
Back
Top Bottom