Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.
Nini maana ya chanjo?
Chanjo ni kitu kinachofanya kazi ya kuupa mfumo wa kinga ya mwili kuzalisha kinga ili kupambana na ugonjwa Fulani.
Chanjo hufanya kazi kwa kuufunza mfumo wa kinga kutambua/kubaini na kukabiliana na vimelea vya magonjwa vinapoingia mwilini.
Historia ya chanjo duniani...
“Msimamo wa Serikali ni kwamba shughuli ziendelee kama kawaida lakini Watu wachukue tahadhari, Wizara ya Afya imeandaa Mdahalo kesho pale Muhimbili wale wote wenye hoja waende wakatoe hoja zao watajibiwa, hoja inajibiwa kwa hoja”
Msemaji Mkuu @MsigwaGerson
My take:
Tusaidieni kuwaambia...
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Zoezi la chanjo litaanza kutolewa kesho kuna vituo kama 550 vilivyoandaliwa, chanjo hazijaleta madhara kwa waliotumia kama tulivyokuwa tunasikia. Chanjo zitaendelea kuletwa baada ya zile dozi milioni 1 kuna nyingine zitaendelea kuletwa
Vilevile Msigwa...
Utaratibu wa Sasa wa mabenki Ni lazima uwe na salio la kwenye line ya simu ndipo uweze kufanya miamala, Kwanza tu hii idea na mfumo wake unaonyesha Tanzania tuna wamiliki wa benk wasiotumia akili na wasiofanya utafiti au wanaoburuzwa. Kwasababu "Nina zaidi ya milioni kumi kwenye akaunti au hata...
Habari ndugu zangu wana Tanganyika na Zanzibar!
Poleni kwa magumu tunayopitia, pia hongereni kwa zawadi ya uhai!
Najua humu JF familia kubwa tunaweza shirikishana Mambo mengi, leo naomba tushirikishane kuhusu Corona.
Wapo waliougua na kufariki( R.I.P), wapo waliougua na kupona, wapo...
Habari gani ndugu zangu wanaJamvi pendwa la Hoja Mchanganyiko.
Natumaini mnaendelea vyema kabisa na mihangaiko ya kila siku na mapambano ya UVIKO-19.
Niende kwenye maada moja kwa moja. Binafs, huu ugonjwa umeniathiri sana katika mahusiano yangu na watu ninao wapenda. Tuanzie hapa, Mwezi June...
1. Rais wa awamu ya 5 Hayati JPM mpaka umauti unamkumba hakubadilisha msimamo wa serikali yake kuhusu chanjo ya UVIKO 19. Alisema wazi kila mahala alipoenda kwamba huu ugonjwa ni hofu inayoenezwa makusudikally kuwatisha watu na kuyumbisha mataifa duniani.
Alienda mbele zaidi kwa kusema Chanjo...
Dkt. Mwamposa aliwahi kuonywa hili, tunashukuru amekuwa msikivu
Ukisikiliza matangazo yake aliwakuwa anatangaza wanaingia saa sita wanatoka 6pm mwisho akanza toa watu saa 3 usiku
Vibaka walijazana sana sana wakaripoti husika, dk anaenda sawa 6pm kwenu
Kuna kanisa Temboni Mh. Makalla, watu...
Timu "chanjo Yes" iongozwe na Dr Gwajima na timu "chanjo No" iongozwe na Askofu Gwajima!
Huo mdahalo mtoto hatumwi dukani. Kuna timu moja naiona haiwezi kuthubutu kutia mguu kwenye mdahalo huo, naiona ina hali mbaya.
Wamiliki wa luninga jaribuni kuzikutanisha timu hizo mbili ili watu wote...
Siyo rahisi mahali popote duniani kwa mtu awaye yote kuweza kuzuia athari hasi (consequences) za machozi ya watu zaidi ya milioni 50. Never!
Watanzania walilia sana mwaka 2020 kuhusu serekali yetu (hususani rais wa wakati huo Magufuli) kuona kuwa ipo kwenye denial state dhidi ya gonjwa baya la...
Baadhi ya Waafrika ni viumbe vya ajabu sana, unapiga piga makelele dhidi ya mambo ya kisayansi wakati mwenyewe kwako huna hata kiwanda cha sindano, kila kitu unaagiza kutoka nje halafu unabwabwaja eti mabeberu wanataka kuwamaliza kwa chanjo dhidi ya corona, ilhali unapokea chanjo aina nyingine...
Biden kutoa dola 100 kwa kila atakapigwa chanjo ya COVID-19
100x2399= 239,900
hii ni kweli?
====
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kila mwananchi atakaekubali kupigwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 atalipwa dola 100. Marekani ni nchi yenye chanjo za kutosha, na idadi kubwa ya watu...
Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha.
Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
chanjo
chanjo ya corona
chanjo ya covid-19
corona
covid-19
covid19
ipi
johnson & johnson
mama samia
president
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
tanzania
uzinduzi
vaccine
wananchi
Kwa mara nyingine tena suala la asili ya COVID-19 limerudi tena katika medani ya kisiasa. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Bw. Zhao Lijian amekuwa akitoa msimamo wa China mara kwa mara kuwa suala hili la kiafya na kisayansi linatakiwa kushughulikiwa na wataalam wa maeneo hayo, kwa...
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte anaonya kuwa Wafilipino ambao wanakataa kupata chanjo dhidi ya coronavirus hawataruhusiwa kuondoka nyumbani kwao kama kinga dhidi ya aina ya kirusi cha delta kinachoenea zaidi.
Duterte alisema kwa njia ya televisheni Jumatano usiku kwamba hakuna sheria...
Kuhusu chanjo ni hiari yako kuchagua kati ya hatari ndogo (Low risk) na hatari kubwa (High risk).
Kila chanjo ina lengo moja tu. Lengo la kuongeza kinga katika mwili wako.
Na kila chanjo lazima iwe na ingredient ya weakened antigen au tinny fragmentation of diseasing -causing organism yaani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa chanjo ni salama na kamwe hawezi kuwaletea chanjo ambayo ina madhara kwa kuwa yeye ni Kiongozi Mkuu wa Nchi anayejali afya za wananchi wake.
Rais Samia ameyasema hayo wakati akipata chanjo ya...
Kwa mujibu wa taarifa hapo juu, Gloves sio lazima kuvaliwa wakati wa kuchoma chanjo ya COVID-19.
Hivyo tunapenda kuwatoa hofu wananchi kuwa Mhudumu aliyewachoma chanjo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine alikuwa anatekeleza majukumu yake kwa kufuata taratibu zote ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.