covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. hata mimi

    #COVID19 Mwalimu sichomwi chanjo ng'o na wakibadilisha utaratibu kuwa lazima basi nitakuwa tayari kuacha hata kazi

    Kuna watu wanapenda sana sifa kupitia wenzao sasa nasema rasmi hapa wazi kabisa sitakubali kuchomwa sindano ng'o (maana mmesema ni hiari) Na hata kama mkibadili gia angani (na kufanya ni lazima kwa makundi fulani- ambapo kivyovyote walimu wataingia) basi nitakuwa radhi kuacha kazi nikafanye...
  2. G Sam

    #COVID19 Napendekeza mkoa wa Kilimanjaro uwekwe "lockdown"

    Kiukweli kama tunahitaji usalama basi mkoa wa Kilimanjaro uwekwe lock down. Hali huko ni mbaya kuliko inavyoelezwa. Serikali kama hamtachukua tahadhari mapema msije kusema hamkuambiwa. Wageni wanoingia na kutoka kila siku ndani ya mkoa huo na kusambaa mikoa mingine ni kiama kwa wengine...
  3. Analogia Malenga

    #COVID19 KCMC yakumbwa na uhaba wa oksijeni kwa wagonjwa wa COVID-19

    Mkurugenzi Mtendaji wa KCMC, Profesa Gilleard Masenga amesema mgonjwa mmoja wa #COVID19 anatumia hadi mitungi 10 kwa siku. Hospitali ya Rufaa ya KCMC inzalisha mitungi 400 na idadi ya wagonjwa inazidi kuongezeka hali inayofanya hospitali kuzidiwa. ---- Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini...
  4. L

    #COVID19 Ubinafsi wa baadhi ya wanasiasa unahatarisha mafanikio yanayopatikana kwenye mapambano dhidi ya COVID-19

    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson na serikali yake, wameonyesha msimamo wa ajabu ambao pia unaweza kuonekana kuwa ni ubinafsi, baada ya kuweka kipaumbele zaidi kwenye uhuru wa watu na hali ya uchumi, na sio maisha na usalama wa afya ya wananchi. Mwanzoni Bw. Boris Johnson alishutumiwa...
  5. Analogia Malenga

    Myanmar: Madaktari wajificha huku wagonjwa wa COVID-19 wakiongezeka

    Wagonjwa wa COVID19 wamezidi kuongezeka huku wengi wakiishia kutibiwa majumbani kutokana na hospitali kukosa wafanyakazi na vifaa tiba. Wananchi wameonekana kwa misururu ya foleni wakiwa wananunua gesi ya oksijeni ili kuwanusuru ndugu zao wanaowatibia nyumbani. Wanaharakati wamelaumu jeshi...
  6. Analogia Malenga

    #COVID19 Waziri Mkuu: Tuna wagonjwa wachache COVID-19, tuendelee kuwaombea

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waendelee kuchukua hatua dhidi ya COVID-19. Amesema hadi sasa kuna wagonjwa wachache ambao wanatakiwa kuendelewa kuombewa ili kupona. Amesema hayo katika baraza la eid el-adha baada ya swala ya Eid iliyofanyika Msikiti wa Mtoro, Dar es Salaam.
  7. Miss Zomboko

    Uingereza yaondoa vikwazo vyote vya COVID-19

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuanzia leo kuondoa masharti yote ya kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona. Hata hivyo, hatua hiyo imepingwa na wanasayansi na vyama vya upinzani wakisema kuwa itaiweka nchi hatarini. Kuanzia saa sita ya usiku vilabu vya starehe vyote viliruhusiwa...
  8. U

    Mbowe, unataka tujikinge na Covid-19 au tufanye makongamano?

    Hakuna mahali wala nchi ambapo chanjo ya corona ni lazima. Watu tunajiamulia. Kwangu mimi nimeifanya lazima. Ila mke Wangu na wanangu wao wanaona heri kupima Mara nyingi kwa kuwa hawana uhakika na hizi chanjo na matokeo yake. It’s a free decision. Mwenyekiti wa CDM kafiwa majuzi na ndugu yake...
  9. Miss Zomboko

    #COVID19 Ibada ya Hajj yafanyika kwa utaratibu mpya kufuatia COVID-19

    Maelfu ya mahujaji waliochomwa chanjo ya COVID-19 wamekusanyika mji mtakatifu wa Mecca kwa ibada ya Arafa, huku Wakizingatia umbali wa mtu na mtu na kuvalia barakoa wakati virusi vya corona vikiiathiri kwa mwaka wa pili mfululizo ibada ya Hijja. Ibada hiyo iliyokuwa inawaleta pamoja mahujaji...
  10. L

    China yakaribisha nchi nyingine kujiunga nayo kushirikiana na Afrika katika mapambano dhidi ya COVID-19

    Katika mkutano wa wakuu wa China, Ufaransa na Ujerumani uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya video, rais Xi Jinping wa China alitoa wito kwa Ulaya kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa Afrika, na pia kuisaidia kukabiliana na shinikizo la madeni linalotokana na janga hilo. Juu ya hilo, kuna vyombo...
  11. J

    Mbowe amepambana hadi tumepata Chanjo ya COVID-19; je, na Katiba mpya ataipigania kwa nguvu ile ile?

    Wakati Freeman Mbowe anapambania chanjo ya Corona wengi walimdharau lakini serikali ikamuelewa na chanjo za hiyari zinakuja. Katiba mpya je? Mwamba atatuvusha?!
  12. A

    mtazamo wa watu kwenye trend ya COVID-19

    hivi kwanini kila serekali inapo zungumzia kuhusu COVID-19 aidha idadi ya wagonjwa, au kuhusu chanjo au kuchukua tahadhari, basi watu wanakuja na hoja za "wanaipigia debe COVID-19 ili wapate mikopo sijui nn na nn.. njia gani itumike kuwaelemisha watu juu ya hili suala?
  13. A

    SoC01 Kwanini unatakiwa kusaini makubaliano kabla ya kuchoma chanjo ya COVID-19?

    Rejea picha hapo juu (picha kutoka mtandaoni) Hayo ni makubaliano ambayo unahitajika kusaini kabla ya kupokea chanjo, kwamba uko tayari kwa lolote lile litakalo tokea na serekali haito wajibika. Je, hii ina maana gani? Je, ni kwamba Serekali haina imani na chanjo hiyo? Au wanafahamu wao kwamba...
  14. I

    #COVID19 Wataalamu nisaidieni: Hivi ni sahihi kuanzisha kodi mpya katikati ya janga la Corona?

    Kwanza naomba ku-declare interest. hii serikali siipendi. Baada ya hapo niende kwenye mada moja kwa moja. Baada ya kifo cha kiongozi wetu aliekuwa anazipinga waziwazi conspiracy theories karibu zote zinazohusu corona. Mrithi wake kaja na wazo tofauti. yeye anazikubali pamoja na mambo yake...
  15. N

    SoC01 Uwekezaji duni wa afya ya msingi, ulivyoathiri mapambano dhidi ya COVID-19 nchini

    Uboreshaji Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention) Afya ya msingi inayoanzia katika jamii ni muhimu sana na hasa ndio msingi ambao unawagusa wananchi moja kwa moja hususa ni walioko maeneo ya...
  16. Mathanzua

    Ultimate proof: Covid-19 was planned to usher in the New World Order

    1. Medical doctors declare that the pandemic was planned. A group of over 500 medical doctors in Germany called ‘Doctors for Information’ made a shocking statement during a national press conference: (1) ‘The Corona panic is a play. It’s a scam. A swindle. It’s high time we understood that we’re...
  17. jingalao

    Chinese companies to supply millions of COVID-19 vaccines to COVAX

    Hatimaye China imeingia mkataba wa kusupply chanjo ya corona kwa mpango wa covax. Kampuni za utengenezaji chanjo za china hatimaye zimeula! KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA! ====== Chinese pharmaceutical companies including Sinopharm and Sinovac signed agreements to supply millions of doses of...
  18. Stevenbee

    #COVID19 Je, COVID-19 ni hadithi tu za hekaya?

    Habari zenu wapendwa natumaini mpo wazima wa Afya, Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu kuhusiano na ugonjwa wa uviko ulioanza mwanzoni mwa 2020 kwa Tanzania. Kwanza ningependa kufafanua kwanini nimeuliza swali la namna hiyo? Naomba tiririka na Mimi katika kisa hiki kifuatacho...
  19. safwaboe

    #COVID19 Covid-19, Symptoms and type of Group of people who are most dangerous to be affected

    Corona virus is the disease caused by virus known as SARS-COV-2 which was errupted in Wuhan china on december 2019. Corona Virus is the respiratory disease that attacks the respiratory system and causes a person to fail to breath and lastly to die. Corona Virus belongs to the family...
  20. Matanga

    #COVID19 Serikali moja ya Dunia na chanjo ya COVID-19

    TAARIFA KWA UMMA wa na [emoji1621][emoji1241]Dr Lugendo Karibuni, SERIKALI MOJA YA DUNIA NA CHANJO YA COVID-19 Hii ni mada ndogo iliyo katika MADA kubwa isemayo “ KUNA NINI NYUMA YA CORONA ?” ndiyo tunayoendelea nayo. Hebu tutazame kidogo yanayoendelea ulimwenguni. Huko Marekani: “Juni 23...
Back
Top Bottom