Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.
Wabunge na wahudumu wa bunge waliopatikana na corona wameshauriwa kujitengaImage caption: Wabunge na wahudumu wa bunge waliopatikana na corona wameshauriwa kujitenga
Taarifa iliyotolewa na Bunge inasemabunge hilo litafungwa kuanzia wiki ijayo tarehe 28 Juni , Jumapili hadi tarehe 11 Julai ili...
Kwa sasa wizara, mahospitali TVs na radio kelele ni kujikinga au kuchukua tahadhari za wimbi la tatu la Covid-19.
Lakini tahadhari hizi sioni kama zina maana yeyote kwa mwananchi sababu watu wanaendelea na maisha kama kawaida inasaidia nini? Hutoi takwimu ili watu wajue kuwa mdudu kashaingia...
Mamlaka za Cuba zimesema majaribio ya Chanjo ya COVID-19 iitwayo Abdala yameonesha kuwa na ufanisi wa 92.28%
Chanjo ya Abdala inakamilika baada ya mtu kupata jumla ya dozi tatu. Takriban Raia Milioni moja Nchini Cuba wameshapata Chanjo
======
Cuba said on Monday that its three-shot Abdala...
Hizi ni Takwimu za bara Africa kufikia jana/leo
Source: https://www.worldometers.info/coronavirus/
Nimejaribu ku highlight nchi za Mashariki mwa Africa
Hapa ni ranking ya cumulative cases za ujumla, Tangu corona ianze
Hapa ni Active cases, Yani ukiondoa wale waliopona, ni wangapi ndo...
Mamlaka za Afya Nchini Zambia zimeeleza wasiwasi wake juu ya ongezeko la vifo vitokanavyo na Virusi vya Corona wakati huu ambapo Taifa hilo linapambana na wimbi la Tatu la Maambukizi
Waziri wa Afya, Dkt. Kennedy Malama amesema vifo 407 vimeripotiwa ndani ya wiki tatu za wimbi hilo. Jumla ya...
Magufuli aliliona hili mapema
========
Dar records 8-year high coffee exports thanks to COVID-19
Tanzania has recorded an eight-year high coffee export this season thanks to lockdown which spiked coffee drinking rates due to the Covid-19 pandemic.
The export in the 2020/21 season was...
Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino ametishia kuwafunga jela watu watakaokataa kupata Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 wakati Taifa hilo likipambana na mlipuko mbaya zaidi Barani Asia
Kufuatia Ripoti za idadi ndogo ya wanaojitokeza katika Vituo mbalimbali vya Chanjo Jijini Manila, Rais amesema...
Baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hasani kuruhusu chanjo ya COVID-19 nchini baada ya kushauriwa na watalaamu wetu, na kwamba mashirika ya kimataifa yalioko hapa nchini yanaruhusiwa kufanya chanjo hiyo kwa wafanyakazi wake.
Sasa kitu ambacho sijakielewa/Sikifahamuni kuwa je ni hospitali gani...
Baada ya Wizara ya Afya kutoa tahadhari ya kuwepo kwa viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid 19, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Dk Shedrack Mwaibambe ameshauri Serikali kuweka wazi hali ya ugonjwa huo nchini.
Akizungumza na Mwananchi jana Jumapili Juni 20, 2021 Dk Mwaibambe...
Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al Thani, amesema watu waliopata Chanjo dhidi ya COVID19 pekee ndio wataruhusiwa kushuhudia Kombe la Dunia mwaka 2022.
Taifa hilo limesema lipo katika majadiliano ili kupata Dozi Milioni 1 ili kutoa Chanjo kwa baadhi ya watu...
Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kuenda.
Uthibitisho wa hili ni idadi ya waomba kazi ikilinganishwa na nafasi zilizotangazwa.
Sekretarieti ya ajira imekuwa ikiita watu kwenye usaili Dodoma na Dar es Salaam.
Idadi hii ni kubwa sana kama wahusika wote...
Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa Corona Nchini Brazil imefikia 500,000 huku Wataalamu wakionya janga hilo linaweza kuwa baya zaidi kutokana na kasi ndogo ya utoaji Chanjo
Maelfu ya watu wameandamana Jumamosi dhidi ya Serikali wakitaka mabadiliko katika programu ya Chanjo. Miji...
The death of 234 Ugandans due to Covid-19 in the last one month has forced President Museveni to declare a total lockdown in Uganda, six months after the state had made pronouncements of a gradually phased re-opening.
‘‘All cross boundary and inter-district movement of public or private...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema idadi ya watu waliolazimika kukimbia makazi yao duniani kwasababu ya mapigano na ukiukwaji wa Haki Za Binadamu imeongezeka kufikia Milioni 82, licha ya athari za mlipuko wa COVID19.
UNHCR imesema licha ya ugumu wa kwenda maeneo...
Mkuu wa shirika la afya duniani kanda ya Afrika Matshidiso Moeti amesema Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya COVID-19 kwa mataifa maskini wa COVAX.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliunda tume ya ushauri kuhusu janga la virusi vya corona iliyotoa...
Ni wazi kuwa Tanzania tangu ugonjwa huu mkubwa ulipuke duniani kote tumeendelea kuchukua tahadhali ikiwa njia ya kutumia dawa zetu za kienyeji pamoja na kujifukiza hii njia ilituvusha mwaka 2020 na ndiyo maana hatukuweza kufungiwa majumbani na maisha yaliendelea kama kawaida.
Baada ya hayati...
Kutokana na mlipuko wa tatu wa Ugonjwa wa COVID19 kuripotiwa Mataifa Jirani, Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wake kuchukua tahadhari
Chuo hicho kimetoa rai ya uvaaji barakoa, unawaji mikono kwa maji tiririka, matumizi ya vitakasa mikono na...
ABOUT THE FOOTAGE below:-
In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body.
This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek umewekwa Lockdown kwa wiki 2 ambapo wananchi hawatoruhusiwa kuingia au kutoka kufuatia ongezeko la maambukizi na vifo vya COVID19
Mbali na hayo, mauzo ya pombe nayo yamedhibitiwa kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi ambapo zitauzwa kwa mfumo wa 'take-away'. Viongozi...
Mwaka 1991, Jumuiya ya Nchi Huru za Afrika (AOU) ambayo sasa inajulikana kama Umoja wa Afrika (AO), ilitangaza Juni 16 kila mwaka kuwa Siku ya Mtoto wa Afrika, ikiwa ni kumbukumbu ya mauaji ya Soweto, nchini Afrika Kusini Juni 16, 1976 ambapo polisi waliwashambulia kwa risasi wanafunzi waliokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.