Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.
Uganda will receive its second batch of Covid-19 vaccine doses today.
A total of 175,200 doses of AstraZaneca vaccines were donated by the French embassy under the COVAX programme.
Officials from both the Ministry of Health and Unicef Uganda confirmed the development.
Mr Emmanuel Ainebyoona...
Mwenendo wa mlipuko wa COVID19 Nchini humo unaendelea kubadilika na sasa India imerekodi maambukizi mapya 70,421 ndani ya saa 24 zilizopita, ikiwa ni idadi ndogo zaidi kuripotiwa tangu Machi 31.
Taifa hilo limerekodi jumla ya visa Milioni 29.51 na vifo vimefikia 374,305 baada ya vingine 3,921...
Rais Felix Tshisekedi amesema Hospitali za Mji Mkuu wa Kinshasa zimelemewa kufuatia ongezeko la maambukizi ya Corona. Taifa hilo limerekodi visa takriban 35,000 na vifo 830
Kampeni ya Chanjo Nchini DR Congo ilichelewa kwa zaidi ya mwezi mmoja kutokana na hofu juu ya athari za AstraZeneca na...
9 June 2021
The ambassadors answer topics touching Business matters and how Nordic companies operates in Tanzania.
REPOA commissioned a survey on Nordic companies that are in Tanzania and issued a detailed report on business environment, potential areas for investment, skills development...
The United Arab Emirates (UAE) will suspend entry for travellers coming from Zambia, the Democratic Republic of Congo and Uganda starting June 11, as part of efforts to contain the spread of the coronavirus, state news agency WAM said yesterday.
The measure applies to transit passengers, in...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema licha ya mlipuko wa COVID19, Tanzania ni miongoni mwa Nchi chache zilizokuwa na ukuaji wa Uchumi chanya kwa mwaka 2020.
Amesema Pato la Taifa la Tanzania lilikua kwa 4.8% na sekta zilizochangia kwa kiasi kikubwa katika ukuaji ni Ujenzi, Habari na...
IMF imeitega Tz Kwa kutaka kuipa mkopo wa kupambana na C - 19 na kuielekeza jinsi inapaswa ifanye ili ipewe huo mkopo
Ok, pale mwenye nacho anapotaka kumyang'anya zaidi mwenye kidogo, na Masikini
Mtu jasiri akitaka kurogwa na Mchawi huanza kwa kutishiwa tishiwa, mara sijui kesho hutaiona...
Benki ya Dunia (WB) imefungua dirisha kwa Tanzania la kusaidia kukabiliana na athari za ugonjwa wa Uviko 19 katika Sekta mbalimbali ikiwemo ya Utalii, biashara na bajeti ya Serikali.
Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alipokutana na...
Kenya imerekodi maambukizi mapya 148 ya Corona na kufanya kuwa na jumla ya maambukizi 172,639 tangu kuripotiwa COVID19 nchini Kenya.
Ndani ya Saa 24 zilizopita watu 21 wamefariki kwa COVID19 na kufanya idadi ya jumla kuwa 3,308
Aidha wagonjwa 631 wamepona na kufanya idadi kuu ya waliopona...
Kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Mjumbe wa Taifa wa China na Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi amesema China inaona uwezo wa Afrika wa kusimamia COVID-19 ni muhimu katika kusaidia dunia kufufua biashara na uchumi wake.
Serikali ya China imesema Beijing inaiunga mkono Afrika kufufuka...
Uganda's President Yoweri Museveni has shut down schools and suspended public gatherings as the country faces a surge of infections in a second Covid-19 wave.
Public transport between districts will be banned starting Thursday to allow students who are in schools to return home.
Bars, cinemas...
Leo kwa mara ya kwanza nahisi naishi duniani baada ya recovering ya corona.
Nimeugua sana kwa week mbili, ombi langu kwenu wote kama una magonjwa kidogo kama BP, Sugar, TB, HIV nakadhalika, jitahidi kwa nguvu zote kuiepuka Covid19.
Yaani hakikisha haikupati ndugu yangu
Serikali kusema uongo ni kosa. Kamati inayoundwa na Rais wa nchi nzima kusema uongo ni kosa zaidi. Nchi haiwezi kuendeshwa kwa kusema uongo au kupumbaza watu. Chanjo ya korona, tuchague moja. Kusuka ama kunyoa!! Kama haina madhara, ni ya ufanisi kama ilivyopendekezwa na Kamati tuichukue. Kama ni...
Awali wananchi hawa walitakuwa kuchomwa dozi ya pili ya AstraZeneca wiki nne baada ya chanjo ya kwanza dhidi ya virusi vya Corona kukamilika lakini haikuwezekana kutokana na sababu zisizozuilika, wizara ya afya nchini Rwanda ilisema
Rwanda imeanza zoezi la kutoa chanjo ya pili aina ya...
Hadi mwishoni mwa mwezi Mei China ilikuwa imetoa msaada wa zaidi ya dozi milioni 20 za chanjo ya Covid-19 kwa karibu nchi 40 za Afrika ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuhakikisha dunia inasonga pamoja kwenye utoaji wa chanjo.
Kama sehemu ya Ushirikiano wa Kusini na Kusini, China iliahidi...
Shirika la Dawa Ulaya (EMA) limeidhinisha Chanjo ya Pfizer-BioNTech kwa Watoto wa miaka 12-15 ambapo Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zitaamua ikiwa zitaitoa kwa kundi hilo
Imeelezwa, majaribio yameonesha Chanjo kwa kiasi kikubwa inadhibiti maambukizi ya COVID19. Pfizer iliidhinishwa kwa...
China imesema kufanya uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona kuwa suala la kisiasa kutadhoofisha jitihada za kupambana na mlipuko huo
Ubalozi wa Taifa hilo Nchini Marekani umetoa kauli hiyo baada ya Rais Joe Biden kuagiza Ripoti ya jinsi Virusi vilivyoibuka kwa mara ya kwanza ipitiwe
Mara...
Janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 limeongeza mara nne mahitaji ya kila siku ya hewa ya oksijeni kwa wagonjwa katika nchi za kipato cha chini na kati, amesema Philippe Duneton, Mkurugenzi wa UNITAID, ambalo ni shirika tanzu la shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO likiwa na...
Kwema wadau,
Kwa hiari yangu, bila kushurutishwa au kupata ushawishi wowote kutoka kwa mtu, nimechukua chanjo ya Covid-19.
Kuna aina nyingi za chanjo, ila mimi nimechukua Johnson & Johnson (sina uhakika na spellings)
Kwanini Johnson & Johnson, ni kwasababu mimi ni muoga wa sindano sana sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.