Happy Monday!
Popote ulipo mdau, kama una fursa ya kupata chanjo ya Corona, fanya hima uipate.
Kwa siku zijazo, itakurahisishia sana mambo mengi, ikiwemo safari za kimataifa.
Mimi nimechanjwa licha ya kwamba si mgonjwa.
Sikupatwa na mzio wowote ule kutokana na chanjo hiyo zaidi ya bega kuuma...