covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    #COVID19 Teknolojia ya 5G haienezi COVID-19

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Virusi vya Corona haviwezi kusafiri kwenye mawimbi ya redio/mitandao ya simu, na kwamba COVID-19 tayari inaenea katika nchi nyingi ambazo hazina mitandao ya simu ya 5G. COVID-19 huenezwa kupitia matone ya kupumua wakati mtu aliyeambukizwa anapokohoa...
  2. J

    #COVID19 Mchakato wa kupata Chanjo ya COVID-19 hauchukui muda mrefu

    Watu wengi wanauliza shughuli nyingi sana kupata chanjo; je, ni lazima mchakato kuchukua muda mrefu? Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha Augusta huko Georgia Nchini Marekani wanasema ingawa chanjo za Pfizer-BioNTech na Moderna huchomwa kwa awamu mbili, mchakato huwa ni wa haraka na...
  3. H

    Samatta, Mwamnyeto na Manura wakutwa na Covid-19

    Kuna taarifa za chinichini kuwa naodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta, beki wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto na golikipa wa Simba Aishi Manura kuwa wamekutwa na Covid-19 huko Madagascar. Je, taarifa hizi zina uhakika kiasi gani?
  4. J

    #COVID19 Mwenye mzio wa chanjo (Allergic reaction) amueleze mtaalamu wa Afya kabla ya kuchanjwa Covid-19

    Inaelezwa kuwa wapo baadhi ya watu ambao wana historia ya kupata matokeo mabaya (Severe Allergic Reaction) kutokana na chanjo wanazochanjwa kipindi cha nyuma. Shirika la Afya duniani linawashauri watu ambao wana historia ya kuwa na mzio wa chanjo nyingine kuwaona Wataalamu wa Afya na kuwaeleza...
  5. J

    #COVID19 Chanjo za COVID-19 hazisababishi mimba kuharibika

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinahimiza wajawazito wote, wanaofikiria kuwa wajawazito na wale wanaonyonyesha kupata chanjo ili kujikinga na #COVID19. Utafiti umegundua kiwango cha kuharibika kwa mimba baada ya chanjo ya #COVID19 ni sawa na kiwango cha kuharibika kwa mimba...
  6. #COVID19 Nimekosa huduma ya afya kwakuwa sijapata chanjo. Je, chanjo ya COVID-19 ni lazima nchini Tanzania?

    Kwa mwenye kufahamu juu ya Hil naomba anifahamishe. Nimekosa huduma moja ya kituo Cha Afya hapa nchini ,sababu sijachoma Chanjo ya COVID-19. Je, hawa watoa huduma wamepata wapi jeuri ya kupinga kauli ya Mh. Rais Ile kauli ya kuwa Chanjo sio Lazima.
  7. J

    #COVID19 Chanjo za COVID-19 zenye virusi hai (viral vector vaccines) hazisababishi mtu kupata CoronaVirus

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC) kimesema chanjo zenye viambata vya virusi hai (viral vector vaccines) havisababishi mtu kupata #coronavirus Chanjo hizi hutumia virusi visivyo na madhara ili kuchochea mfumo wa kinga ili kupambana na kile inachodhani ni maambukizi Karaha...
  8. J

    #COVID19 Chanjo za COVID-19 hazizuii kuchangia au kuchangiwa damu

    Kumekuwapo maswali mbalimbali ya wanajamii wanaojaribu kujiuliza uhusiano uliopo kati ya kuchangia damu ya chanjo ya Covid-19. Watu waliochanjwa wanajiuliza kama endapo wanaweza kuambukizwa corona wanapochangiwa damu na watu ambao hawajachanjwa na wengine wanajiuliza endapo kama hujachanjwa...
  9. J

    #COVID19 Chanjo za COVID-19 haziathiri DNA kwa namna yoyote

    Kumekuwa na mining'ono kuhusu chanjo za COVID-19 kuathiri DNA. Lakini je, hili lina ukweli wowote? Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), hakuna chanjo ya COVID-19 inayoathiri au kuingiliana na DNA kwa namna yoyote ile UNICEF inaeleza kuwa chanjo hufunza seli...
  10. Wajibu washauri CAG achunguze COVID-19 ilivyoathiri Uwajibikaji wa Serikali

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha kushindwa kukagua ofisi 43 za balozi za Tanzania kwa mwaka wa fedha 2019/20 kutokana na janga la #COVID19 Kutokukaguliwa kwa balozi hizo kunafanya wananchi washindwe kujua uwajibikaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na...
  11. J

    #COVID19 Chanjo za COVID-19 hazisababishi kuibuka kwa aina (variants) mpya za Coronavirus

    Kumekuwa na taarifa nyingi za kupotosha kuhusu chanjo za COVID-19. Mojawapo ni uvumi kuwa chanjo za COVID-19 zinasababisaha kuibuka aina (variants) nyingine za coronavirus. Lakini je, ni kweli? Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC), Chanjo za COVID-19 hazitengenezi au...
  12. #COVID19 Wasiwasi waongezeka Ujerumani kuhusu wimbi la nne la COVID-19

    Idadi ya kila siku ya maambukizo mapya ya virusi vya corona nchini Ujerumani imefika kileleni. Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya kuambukiza, Robert Koch, imerikodi maambukizi mapya 33,949 ndani ya siku moja. Hayo ni maambukizo 172 zaidi ya yaliyorekodiwa mwezi Desemba 2020. Hata hivyo...
  13. J

    #COVID19 Chanjo ya COVID-19 haisababishi usumaku mwilini

    CHANJO YA COVID19 HAISABABISHI USUMAKU MWILINI Kituo cha CDC kinasema chanjo ya COVID19 haisababishi mwili au sehemu ya mwili iliyochomwa sindano kutengeneza nguvu ya usumaku Chanjo hizo hazina viambata vyovyote vyenye asili ya chuma ====== Can receiving a COVID-19 vaccine cause you to be...
  14. #COVID19 Mlipuko wa COVID-19 unaweza kuongeza maambukizi ya Virusi vya UKIMWI Afrika

    Ukanda wa Afrika Magharibi na Kati unaweza kushuhudia ongezeko la maambukizi na vifo vinavyohusiana na VVU katika miaka mijayo kutokana na Huduma za Afya kuathiriwa na Mlipuko wa Virusi vya Corona. UNAIDS imesema Huduma za Afya zimeathiriwa kwa kiasi kikubwa na janga hilo, hali iliyolazimu...
  15. J

    #COVID19 CDC: Chanjo za COVID-19 hazitumiki kufuatilia mienendo ya watu

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kinasema Chanjo za COVID-19 zimetengenezwa ili kupambana na magonjwa na hazijapandikizwa ‘microchips’ ili kufuatilia mienendo ya watu Chanjo hufanya kazi ya kuchochea mfumo wa kuzalisha kingamwili, kama ambavyo mwili hufanya pindi unapopata maradhi...
  16. Blacks getting different COVID-19 vaccine than whites?

    A Black woman in Brooklyn, New York, reveals that she finally decided to go get a COVID-19 vaccine, and felt the Moderna would be the one she wanted. So instead of going to get the vaccine in her (Black) neighborhood, where she feared it wasn't being done right, she decided to go to what she...
  17. L

    #COVID19 Wanaolaumu sera ya “maambukizi sifuri” ya China hawaelewi mazingira ya China

    Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari za nchi za magharibi vimejaribu kuibeza China kwa kusema sasa itabaki peke yake kwenye iliyokuwa ngome ya nchi zinazotekeleza sera ya maambukizi sifuri ya COVID-19, baada ya nchi nyingine zilizokuwa kwenye ngome hiyo (Australia, Korea Kusini, Japan nk)...
  18. Ushauri kwa Rais Samia: Fedha za COVID-19 ungezitumia kuandaa mtaala mpya wa elimu kuliko kujenga madarasa

    Mama yangu, kuliko kuboresha elimu mbovu, mbaya, iliopitwa na wakati, isioajirisha, mzigo kwa taifa! Ni bora fedha zingetumika kuandaa mtaala mpya kabisa ambao ungesaidia vijana kujiajiri!elimu yenye vitendo zaidi kuliko huu upumbavu na ujinga wa kukariri unaohalalishwa na utaahira unaoitwa...
  19. #COVID19 President Museveni: Economy to fully reopen in January 2022

    President Museveni has revealed that schools and the rest of the economy will be fully reopened in January 2022, urging Ugandans to flock the nearest health centres for vaccination. He said that by the end of December 2021, the government will have received about 23 million doses of Covid-19...
  20. #COVID19 ILO: COVID-19 imeumiza mataifa kiuchumi

    Takwimu mpya kutoka kwa shirika la Umoja wa taifa la wafanyakazi ILO zinaonyesha kwamba sekta ya ajira imekuwa na kasi ndogo katika kurejea kwenye hali ya kawaida baada ya janga la Covid 19, wakati mataifa yanayoendelea yakisemekana kuathirika zaidi yakilingaishwa na yale yalioendelea. Wachumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…