covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    #COVID19 Wizara ya Afya: Watu 2,117,387 sawa na 3.67% wamepata dozi kamili ya chanjo dhidi ya Corona

    Kuanzia Januari 29 hadi Februari 6, 2022 visa vipya 252 vya COVID19 vilibainika kati ya watu 8,529 waliopimwa huku Dar es Salaam ikiongoza kwa kuwa na maambukizi 184. Tangu Mlipuko kuripotiwa Machi 2020 hadi kufikia tarehe Februari 6, 2022 jumla ya watu 33,482 (7.6%) kati ya 442,566 waliopima...
  2. beth

    #COVID19 COVID-19 yatishia jitihada za kukomesha vitendo vya ukeketaji

    Mataifa ambayo tayari yanakabiliwa na ongezeko la umasikini, ukosefu wa usawa na migogoro yanashuhudia janga la #COVID19 likitishia zaidi miaka ya maendeleo ya kukomesha ukeketaji Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto (UNICEF) linasema hata kabla ya COVID-19, Wasichana Milioni 68...
  3. beth

    #COVID19 Delhi, India: Maambukizi ya COVID-19 yapungua, migahawa yaruhusiwa kufanya kazi

    Mji huo umeondoa marufuku iliyowekwa kudhibiti mizunguko ya mwisho wa wiki, na kuruhusu Migahawa na Masoko kufunguliwa kutokana na maambukizi kupungua. Hata hivyo, Shule bado zitaendelea kufungwa na migahawa, baa na kumbi za sinema zitaruhusiwa kufanya kazi kwa sharti la kuchukua watu 50% ya...
  4. figganigga

    Je, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni Msaliti wa kupambana na Covid-19 au hujuma?

    Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia Rais, Samia watendaji wako watatuua kwa Corona hadi tuishe. Watatumaliza. Wao sawa wanatibiwa bure, sisi bibi na babu zetu Mkishawaambukiza nani...
  5. J

    #COVID19 Ufafanuzi wa taarifa potofu kuhusu COVID-19 na Chanjo zake

    Kadiri janga la Virusi vya Corona (COVID-19) linavyoendelea, ndivyo pia wingi wa habari zinazohusiana na kusababisha kile kinachoitwa "infodemic'’ unavyoongezeka. Taarifa potofu na za uongo kuhusu COVID-19 zinasambazwa kwa haraka sana mtandaoni na zinaweza kuathiri watu wengi. Hakuna chanzo...
  6. Cathelin

    Mwaka mmoja wa Biden madarakani, amefeli vibaya sana

    Biden alijinasibu na kutoa ahadi kemkemu na kumtupia lawama lukuki Trump Ndani ya mwaka mmoja wa Biden, vifo vya Covid-19 marekani vimezidi vifo vilivyoripotiwa chini ya Trump, wakati Biden kakuta kila kitu,Chanjo, instruments na wamarekani washakuwa na ufahamu wa Covid-19. Mmfumko wa bei...
  7. beth

    #COVID19 Algeria: Shule zafungwa kudhibiti maambukizi ya COVID-19

    Serikali Nchini humo imezifunga Shule kwa muda wa siku 10 na kuimarisha upimaji katika Viwanja vya Ndege kufuatia ongezeko la maambukizi. Uamuzi wa kufungwa Shule umetolewa na Rais Abdelmadjid Tebboune baada ya Kikao cha Dharura na Mawaziri pamoja na Maafisa wa Juu wa Usalama na Afya. Nchi...
  8. Suley2019

    #COVID19 Afrika Kusini: Simba wadaiwa kuambukizwa covid-19

    Simba na Puma katika mbuga ya kuhifadhia wanyamaporinchini Afrika Kusini huenda wameambukizwa virusi vya corona kutoka kwa wamiliki wao, kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi katika chuo Kikuu cha Pretoria. Wanasayansi hao wameonya kuhusu hatari ya kirusi kipya kutokea iwapo virusi...
  9. beth

    #COVID19 Ripoti: Mabilionea watajirika zaidi wakati wa COVID-19

    Ripoti mpya ya Shirika la Oxfam inasema utajiri wa Mabilionea 10 wakubwa zaidi umeongezeka maradufu wakati wa CoronaVirus. Mapato ya chini ya Mataifa masikini zaidi duniani yalichangia vifo vya watu 21,000 kila siku Shirika hilo limeonya kuhusu kukosekana usawa duniani, likisema hali ya sasa ya...
  10. M

    Wabunge wa CHADEMA (Covid-19) Nao Wajiuzulu

    Wabunge 19 wa Chadema maarufu kama Covid 19 nao pia wajiandae kuondoka Bungeni kwani aliyewabeba ameondoka madarakani. Hatima yao kwa sasa itakuwa kwenye katiba , ambayo inasema wazi kabisa kwaba , mbunge anapokosa chama, anakuwa siyo mbunge tena. COVID-19 waachie ngazi mara moja
  11. beth

    #COVID19 Dubai, UAE: Wasiopata Chanjo kutoruhusiwa kusafiri nje kuanzia Januari 10

    Mamlaka za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimesema zitapiga marufuku Raia ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kusafiri nje. Waliopata chanjo kikamilifu wanatakiwa kupata ya nyongeza (Booster) ili kukidhi vigezo vya kusafiri Hata hivyo, marufuku hiyo itakayoanza Januari 10 italegezwa...
  12. L

    #COVID19 Umakini na kujali wengine vitasaidia kutokomeza Covid-19

    Fadhili Mpunji Katika kipindi cha kuelekea sikukuu ya Krismas kumetokea wimbi kubwa la maambukizi ya COVID-19 katika bara la Ulaya na Amerika ya kaskazini hasa Marekani. Wimbo hili limetajwa kutokana na virusi vya aina mpya vya Omicron, ambavyo vimetajwa kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa...
  13. beth

    #COVID19 Ufaransa yatangaza kanuni mpya kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Kanuni mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya COVID19 yatokanayo na Kirusi cha Omicron zimetangazwa Nchini humo Waziri Mkuu wa Ufaransa, Jean Castex amesema kuanzia Januari 03, kufanyia kazi nyumbani itakuwa lazima kwa angalau siku 3 kwa wiki kwa wale wanaoweza. Mikusanyiko ya ndani...
  14. L

    #COVID19 Nigeria yateketeza chanjo ya COVID-19 iliyokwisha muda wake

    Hivi karibuni, Nigeria iliteketeza dozi milioni 1.06 za chanjo ya COVID-19 ya AstraZeneca iliyokwisha muda wake. Wakati virusi vipya vya Corona Omicron vinaenea haraka duniani kote, jambo hilo lililotokea katika nchi ya Afrika, ambako kuna uhaba mkubwa wa chanjo na idadi ndogo ya watu waliopata...
  15. M

    Je, chanjo ya COVID-19 inachukua muda gani hadi kuanza kufanya kazi mwilini?

    Natarajia kuchanja chanjo ya COVID-19. Hivi inachukua muda gani mpaka kuanza kufanya kazi mwilini?
  16. L

    #COVID19 Ushirikiano na Juhudi za Pamoja ndiyo Suluhu kwa Afrika kupambana na Janga la Covid-19

    Mwaka wa 2021 janga la Covid-19 linaendelea kuathiri karibu sekta zote za uchumi na jamii duniani. Watu hawawezi kujizuia kuuliza, je dunia yetu bado ni mahali salama pa kuishi? Tangu kuripotiwa kwa virusi vya Corona barani Afrika, zaidi ya watu milioni saba wameambukizwa virusi hivyo, japokuwa...
  17. Analogia Malenga

    #COVID19 Rais Ramaphosa akutwa na maambukizi ya COVID-19

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na Covid-19 na anatibiwa kwa dalili zisizo kali. Bw Ramaphosa alianza kujisikia vibaya siku ya Jumapili baada ya kuondoka katika ibada ya kumbukumbu ya Rais wa mwisho wa enzi za ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini FW De Klerk mjini Cape...
  18. J

    #COVID19 Ufuatiliaji wa usalama wa chanjo ya COVID-19 ni mchakato endelevu

    Ufuatiliaji wa usalama wa chanjo ni muhimu katika ngazi za kitaifa, kikanda na kimataifa. Baada ya chanjo yoyote kutambulishwa, WHO hufanya kazi na watengenezaji chanjo, maafisa wa afya, kamati za ushauri za kitaifa na washirika wengine kufuatilia maswala yoyote ya usalama kwa kila mara. Maswala...
  19. Sanyambila

    Madarasa kujengwa ndani ya mwezi mmoja inawezekana au ndo siasa?

    Wadau habari za majukumu Napenda nianze kwa kumpongeza Rais wetu Samia kwa kuona changamoto ya upungufu wa madarasa nchini Na ndiyo maana alipo pata pesa za IMF Kupambana na COVID-19 akazipeleka mashuleni kila wilaya kujenga madarasa mapya sasa maagizo ndo tatizo. Madarasa hayo yameamuriwa...
  20. SAYVILLE

    #COVID19 Nilimpinga Hayati Magufuli kwa mengi, ila kwenye COVID-19 labda alikuwa sahihi

    Binafsi sikuwa mfuasi wa sera, mitizamo na style za kuongoza za Rais Magufuli. Nilimpinga waziwazi na sikuacha kutoa nyongo pale nilipoona anafanya mambo ambayo siyo, hasa yale ya kutumia madaraka yake vibaya na kuvunja sheria alizoapa kuzilinda. Lakini lilipokuja suala ya ugonjwa wa COVID-19...
Back
Top Bottom